HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Wapambanaji.

Huu ni mpango kazi wa NAOT kwa miaka 5, kuanzia 21/22 hadi 25/26. Hii screenshot niliipiga siku nyingi wakati nawasubiri PSRS wafanye yao.

Hapo nilipohighlight, wanasema ifikapo mwaka 2026 wawe wameshaajiri watu 450.

Mwaka 2020, 2021 na 2022 walishatangaza kazi na tayari washaajiri ila sijajua idadi ya waajiriwa wa mwaka 2020 na 2021, isipokuwa mwaka 2022 nafasi zilikuwa 104.

Kwa hiyo kwenye idadi ya 450 kwenye mpango kazi, nina imani bado zipo nafasi hazijatangazwa.

Ninachopenda kuwaambia ni kuwa zikitangazwa, zipambanie. Msikate tamaa kwenye kupambana, ninawaombeeni.
Screenshot_20221105-143306.jpg
 
ECONOMIST GRADE 2 MDAs & LGAs___[emoji120]

1.introduce yourself
2.difference between micro and macro economics
3.individual reason of holding money
4.method for calculating national income
5. Government usually use two economic policies to regulate economy. Mention them
Huu usahili form six leaver wa ECA au HGE anajibu na anapata 100% kabisa mim sio mchumi ila knowledge yangu ya advanced level economics tena ile ya kitabu cha ambikile ningetoboa
 
ECONOMIST GRADE 2 MDAs & LGAs___[emoji120]

1.introduce yourself
2.difference between micro and macro economics
3.individual reason of holding money
4.method for calculating national income
5. Government usually use two economic policies to regulate economy. Mention them
uko smart sana afsa. ni imani yangu huachi hta moja hpa ,the same 2me kama ningekua miongoni
 
Jamani chungulieni huko Utumishi hakuna pdf yoyote ya placements.
mazaga one umekuwa adimu.
@Mfwende nae sijui kaenda Uhamiaji
Twinawe ndo kakimbia jahazi kabisa baada ya TRA kumtosa
ila haya maisha tunatofautina kama vidole mkononi kwa kwel mm hata oral tu sijawahi kuingia naona wenzangu humu kila mtu anaongelea placements tu hahahah
 
Utaingia tu, mimi nimechezea ndoige kadhaa, ila sasa nimeweza ingia oral, kesho pia nina oral.

Mfano oral ya jana ilikuwa ya kawaida, kesho namalizia ya pili na kikubwa wametwambia ni week tatu tu, placement tayari.
 
Hizo habari za week 2 au 3 labda wabadilike Sasa baada ya Viongozi kuwasemasema Ila fahamu kuwa Ndio kawaida yao.
Kuna jamaa angu alifanya saili kazi za SUA Toka tar 28 November 2022, Ile siku ya Oral waliambiwa Vivyohivyo Matokeo baada ya week 2 Ila mpaka sekunde hii navyotype hapa hawajui lolote kuhusu placements, miezi mi3 Sasa halafu nafasi zenyewe kwa kila kada ni 1 au 2.

Bila shaka mazaga one atakubaliana na Mimi alikuwa kwenye mkando wake wa Oral hizo tarehe japo kada/taasisi aliyofanyia siijui
 
.

Hahahaha uko sahihi kabisa....Hujakosea
 
Hebu tusubirie huu mkwara wa Mama, tuone kama ni siasa....
 
Utaingia tu, mimi nimechezea ndoige kadhaa, ila sasa nimeweza ingia oral, kesho pia nina oral.

Mfano oral ya jana ilikuwa ya kawaida, kesho namalizia ya pili na kikubwa wametwambia ni week tatu tu, placement tayari.
Inawezekana sasa hivi ni week 3 kweli maana hata zilizofanyika dar duce walibold hilo swala la matokeo kutoka baada ya week 3.
 
Back
Top Bottom