Wkingz
JF-Expert Member
- Dec 10, 2022
- 487
- 1,220
Uyu kijana sijui nimtupie msalaba wa wizy.it depends, juzi udsm ilikua aliesaini wa kwanza ndo anaitwa wa kwanza
Ayaaa tuliokuwa tunamtafuta wizy tumempata jamani🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣.
Uyu kijana sijui nimtupie msalaba wa wizy.it depends, juzi udsm ilikua aliesaini wa kwanza ndo anaitwa wa kwanza
Pole na hongera ulikuwa kada gani?Niwe muwazi
leo nimefanya Oral serikalini kwa mara ya 1
Kama nikijirate
Confidence [emoji3581]
Apperance [emoji3581]
(japo sijui kama wanaangalia maana walienda direct kwenye maswali)
Maswali
1[emoji3581]
2[emoji3581]
3[emoji3581]
4 [emoji777]
Nimekandwa swali moja
it was interesting na kama sitapata hii itakuwa mara yangu ya mwisho kufanya Interview za utumishi nimezeeka.
Assistant nilisikia Weeks 2 arafu Officer Weeks 8 lkn sina uwakika km ipo hvyoWale TRA waliopita walitumia muda gani for training?
Assistant nilisikia Weeks 2 arafu Officer Weeks 8 lkn sina uwakika km ipo hvyo
Niwe muwazi
leo nimefanya Oral serikalini kwa mara ya 1
Kama nikijirate
Confidence [emoji3581]
Apperance [emoji3581]
(japo sijui kama wanaangalia maana walienda direct kwenye maswali)
Maswali
1[emoji3581]
2[emoji3581]
3[emoji3581]
4 [emoji777]
Nimekandwa swali moja
it was interesting na kama sitapata hii itakuwa mara yangu ya mwisho kufanya Interview za utumishi nimezeeka.
Sure kk, km ipo ipo tu,Usiwaze kiongozii
Amini umepitaa
Mimi nliingia nkajibu swali la kwanza fresh then kwetu najua walituwekea swali la pili gumuu na kusudi kutuvuruga maana lilikuwa out of our position tuliyoomba ila nliwaambia tu waskip to next question watarudia, hayo matatu yaliyobaki yalienda tena kwa kurelax then wakarudi pale nkawapigia point 3 za kuunga out of 4. Sasa ngekazania kukumbuka point za hilo swali ndo mwanzo wa kupanic na huku kwingine pia ndo unavurundaa.
As long as umeongea hujaacha swali ni better kuliko kutojibu kabisa watakuconsider kuwa hujui. Maajabu yapo pale unapoona hujpiga vzr ila PDF ikaja ukakuta imekubeba
samahani kwa sababu fulani sitataja kada na maswali specificPole na hongera ulikuwa kada gani?
Tunaomba utume maswali uliyoulizwa kwenye oral
Daah Ahsante sana mkuu lets hope soUsiwaze kiongozii
Amini umepitaa
Mimi nliingia nkajibu swali la kwanza fresh then kwetu najua walituwekea swali la pili gumuu na kusudi kutuvuruga maana lilikuwa out of our position tuliyoomba ila nliwaambia tu waskip to next question watarudia, hayo matatu yaliyobaki yalienda tena kwa kurelax then wakarudi pale nkawapigia point 3 za kuunga out of 4. Sasa ngekazania kukumbuka point za hilo swali ndo mwanzo wa kupanic na huku kwingine pia ndo unavurundaa.
As long as umeongea hujaacha swali ni better kuliko kutojibu kabisa watakuconsider kuwa hujui. Maajabu yapo pale unapoona hujpiga vzr ila PDF ikaja ukakuta imekubeba
Huyo ni Mmbea mkuu achana nae kabisa😂😂samahani kwa sababu fulani sitataja kada na maswali specific
Acha hizo jamaa, taja hata yale general, hayo technical ukae nayo....samahani kwa sababu fulani sitataja kada na maswali specific
Kuna ukwel gan kuhusu hiloPlacements ni Kesho na Jumatano....
Tujiandae kisaikolojia,kama Taasisi yako au Yangu itakuwa imefikiwa au Bado tutaendelea kuvuta Subra.......
#Mapambano yaendelee
Kesho mwenyewe Nina Imani hyo Ila Leo ni moja ya siku ya kipuuzi sana . Hamna lolote lilePlacements ni Kesho na Jumatano....
Tujiandae kisaikolojia,kama Taasisi yako au Yangu itakuwa imefikiwa au Bado tutaendelea kuvuta Subra.......
#Mapambano yaendelee
Mimi nilianzia kutaja Chuo niliishia Olevel.
Nimeangalia Trend ya Placements pale ....Kuna ukwel gan kuhusu hilo
Zipoje mdau?Nimeangalia Trend ya Placements pale ....
😂😂😂😂nakubal nakubal hiyo inaitwa happy valentines #jiandae😂Placements ni Kesho na Jumatano....
Tujiandae kisaikolojia,kama Taasisi yako au Yangu itakuwa imefikiwa au Bado tutaendelea kuvuta Subra.......
#Mapambano yaendelee
Hongera sna .ninaomba kujua swali ambalo lipo general ,kada zingne pia waweza ulizwaNiwe muwazi