Kwanini Ushoga unauma kuliko lolote!?

Kwanini Ushoga unauma kuliko lolote!?

KUHUSU MASWALI YAKO, SIKUYAJIBU MAANA NIMESHAJIBU MASWALA YA SAMPULI HIYO ZAIDI YA MARA MIA MOJA.

WATU WAWILI WENYE UTASHI NA AKILI TIMAMU, WAKIAMUA KUTUMIA MIILI YAO KWA NAMNA YOYOTE ILE HAWAPASWI KUGHASIWA BILA KUJALI MATUMIZI NI YAPI YA MIILI YAO.

SIO WAJIBU WA SERIKALI AU WA MTU YEYOTE KUSIMAMIA NAMNA YA KUTUMIA VIUNGO VYA SIRI.

Unadhani majibu uliowajibu wengine ni majibu ya maswali yangu?

Mbona suala la consent btn two adult umelirudia zaidi ya mara 200 na haujachoka. Nilipoona hujajibu nilisema alamsiki pia hukuelewa maana yangu? Narudia tena Alamsiki.
 
Kwa ujumla Binti kiziwi Makonda ametuletea shida zisizo za lazima. Badala ya kufanya jambo hili kuwa la mafirauni hao limekuwa swala la kitaifa .
Jambo linapokuwa midomoni mwa watu kila wakati, impacts zake ni kubwa kwa jamii husika.

Maelezo uliompa huyo jamaa ni very scientific na ukweli mtupu. Lakini mashoga na ma Basha ni watu walio changanyikiwa na hawawezi kukuelewa kwa namna ya kawaida. Ni watu walioiga vitu na wamekengeuka . wao swala la kizazi si kipaumbele mradi wanafirana .
Kwa ujumla Makonda anatakiwa kuwa controlled, vinginevyo ataendelea kuzua mambo.
MIMI NADHANI WEWE NDIO ULIYECHANGANYIKIWA NA KUWEHUKA, NA SI AJABU BAADA YA MUDA UTAANZA KUOKOTA MAKOPO.

THESE ARE TWO CONSENTING ADULTS , WAMERIDHIANA KWA UTASHI NA MAAMUZI HURU HAWAPASWI KUAMULIWA MATUMIZI YA VIUNGO VYAO WAKIWA FARAGHA

PERIOD.
 
Nataka nipate majibu ya kitaalamu kuhusu uchungu mioyoni mwa watu juu ya ushoga.

Mjadala huu usihusishwe kwa vyovyote na mambo ya uswahili swahili na dini zilizokuja na meli. Nchi hii ni SECULAR hivyo kila mtu ana imani yake. Zile hadithi za kale za sodoma na Gomora waweza kuzitupa jalalani!

Nahitaji nijue falsafa juu ya hasira zinazosababishwa na kusikia fulani ni shoga!?? Utasikia, fulani ni shoga huyu, analeta ukame nchini.. . (Hahhahahaa)

Ok.. let's go!

Hivi watu wawili wakiamua kuffirrana kwa hiari yao, kwanini liwe ni jambo la ajabu sana!?

Hawajamuibia mtu, hawajamtesa mtu, hawajakwapua mali ya umma.....???? Wanatumia miili yao tu kwa hiari yao!

Kuna shida gani mtu akitumia mwili wake jinsi apendavyo??
- DAWA YA MASHOGA, WASAGAJI, WAZINIFU. HII HAPA.
Pale mtu anapoumwa ugonjwa huwa anahitaji dawa au matibabu, lengo la kuhitaji matibabu ni ili kuondoa ugonjwa, na ugonjwa hauwezi kuondoka bila dawa. Lakini katika matibabu hayo ziko dawa ambazo huwa zinafeli kuondoa ugonjwa, lakini pia zipo dawa ambazo zinafanya kazi kwa ufanisi mkubwa sana na matokeo ya kuondoa ugonjwa ni asilimia kubwa.
Mimi leo nakupa dawa ya USHOGA, USAGAJI, UZINIFU NAKILA NAMNA YA UOVU UNAOFANANA NA HAYO.
Haya unajua ni matatizo sugu sana kwa wanadamu, na wanadamu wengi huwa yanawakela sana, na hata selikari haiyataki yawe yanafanyika katika jamii. Mana yanahalibu tabia nzuri za watu wengi na si usitarabu wala kawaida yetu hasa sisi waafrika. Pia matendo na tabia hizi zinawakela wengi na ni Miongoni mwa dhambi mbaya sana mbele za Mungu.zinazosababisha laana na maangamizo kwa wanadamu. Mfano nyakati za sodoma na gomola ndizo dhambi zilizochochea hasira ya Mungu na kuangamiza ile miji ya sodoma na gomola kwa moto na kiberiti. Hu hu USHOGA, USAGAJI, ULAWITI, UZINIFU NA KILA NAMNA YA UOVU. kama una biblia angalia hapa.
(mwanzo 19:4-25Hata kabla hawajalala, watu wa mji, wenyeji wa Sodoma, wakaizunguka nyumba, vijana kwa wazee, watu wote waliotoka pande zote.Wakamwita Lutu, wakamwambia, Wa wapi wale watu waliokuja kwako usiku huu? Uwatoe kwetu, tupate kuwajua.) haya matendo si kushusha tu hasira Mungu, lakini ni matendo yanayosababisha laana mbaya kwa wayafanyayo, na kwa nchi pia. Pale yanapoachwa yaendeelee bila kupingwa na kukemewa. (angalia pia hapa warumi 1:26-27) kadili siku zinavyozidi kwenda ndivyo matendo haya yanazidi kupata washabiki na waungaji mkono. Wapingaji wapo, lakini wanazidiwa na waungaji mkono kwa kisingizio cha haki ya binadamu, Na kila mtu anao uhuru wakutumia mwili wake atakavyo. mbona wavuta bangi na madawa yakulevya., majizi, vibaka nk. Nao si wanautumia mwili wao kama watakavyo. Nao waungwe mkono basi, ili watumie miili yao kwa uhuru. Unajua, pale unapomtetea SHOGA, MSAGAJI, NA MZINIFU NK manake nawewe uko hivo kama huyo alivyo. Na tena wewe unayewapinga wafanyao hayo ukisema wafungwe gelezani bado si dawa. Ndo mana wengi wakitoka jela, bado wana endeleza- Matendo yao maovu. Najua unatamani kujua dawa ya hawa watu ni ipi.
Dawa hii inafanya kazi %100 na imebadilisha wengi na imekuwa inabadilisha wengi, tangia waanze kuitumia. Mimi mwenyewe imenibadilsha na sasa ni mpya si yule wa zamani tena. Dawa hii unakunywa mlengwa peke yako bila kuangalia wengine wanakunywa au wanatema, inakuhusu wewe unayesoma hapa, sio yule unayemjua. Wewe si unajijua jinsi ulivyo, kunywa dawa hii na matokeo ni dhahili. Ukiinywa lazima uwe tayari kufuata mashariti ili iendelee kufanya kazi sawasawa.

Kinachomfanya mtu Azini, afnye usagaji au awe Shoga au afanye lolote tendo ovu ni kile bibblia insema MALADHI YA MOYO. nikisema maladhi ya moyo utadhani ni ugonjwa wa moyo huu wakawaida, hapana simanishi hivo. Namanisha MALADHI YA MOYO YANAYO MFANYA MTU AFANYE MATENDO MABAYA KAMA USHOGA, USAGAJI, UZINIFU NA HATA NAMNA ZOTE ZA DHAMBI ALAFU YEYE AFURAHIE HATA KAMA KWA WENGINE AU KWA MUNGU NI MACHUKIZO. HAYO YANAITWA MALADHI YA MOYO. angalia hapa katika biblia(1wafalme 8:38-39maombi yo yote au dua yo yote ikifanywa na mtu awaye yote, au na watu wako Israeli wote pamoja, watakaojua kila mtu maradhi ya moyo wake, na kuikunjua mikono yake kuielekea nyumba hii;
basi, usikie huko mbinguni, makao yako, ukasamehe, ukatende, ukampe kila mtu kwa kadiri ya njia zake; wewe ujuaye moyo wake; (maana wewe peke yako ndiwe uijuaye mioyo ya wanadamu wote))
Haya maladhi ya moyo hayaponywi wala kutibowa katika hospitali yoyote ile duniani, .mana hata madakitari hawa wengine nao wanayo haya MALADHI YA MOYO. Dakitari bingwa wa haya maradhi haya ya moyo ni mmoja tu TABIBU WA AJABU YESU KRISTO, Ndomana biblia inasema yeye alijalibiwa bila kufanya dhambi. Waebrania 4:14-15Basi, iwapo tunaye kuhani mkuu aliyeingia katika mbingu, Yesu, Mwana wa Mungu, na tuyashike sana maungamo yetu. Kwa kuwa hamna kuhani mkuu asiyeweza kuchukuana nasi katika mambo yetu ya udhaifu; bali yeye alijaribiwa sawasawa na sisi katika mambo yote, bila kufanya dhambi.
Dawa hii inafanya kazi kwa wewe kujua ni mwenye dhambi na umekosa mbele za Mungu na wanadamu pia, huwezi kuzishinda hizo dhambi, manake wewe ni dhaifu. Huwezi kwa nguvu zako kuacha USHOGA, USAGAJI, UZINIFU NA DHAMBI ZINGINE ZOTE. alafu UNATUBU DHAMBI HIZO KWA DHATI NA KUMWAMBIA BWANA YESU AKUSAMEHE NA KUKUPA KUZISHINDA, UWEZO WAKUSHINDA USHOGA, USAGAJI NA UZINIFU NA KILA NAMNA YA UOVU UNAPATIKANA BURE KWA YESU. Dini yako haitakusaidia hata, elimu yako haitakusaidia, hata ukipewa adhabu kali yoyote haitasaidia. ukishitakiwa na ukafungwa gerezani bado haitasaidia. Lakini ukinywa dawa hii UTAPONA MALADHI HAYO, angalia hawa
Tito 3:3-5 Maana hapo zamani sisi nasi tulikuwa hatuna akili, tulikuwa waasi, tumedanganywa, huku tukitumikia tamaa na anasa za namna nyingi, tukiishi katika uovu na husuda, tukichukiza na kuchukiana.
Lakini wema wake Mwokozi wetu Mungu, na upendo wake kwa wanadamu, ulipofunuliwa, alituokoa;
si kwa sababu ya matendo ya haki tuliyoyatenda sisi; bali kwa rehema yake, kwa kuoshwa kwa kuzaliwa kwa pili na kufanywa upya na Roho Mtakatifu;
Ni dawa bora sana sana. Wote tulioinywa imefanya kazi. Kunywa dawa ya USHOGA, USAGAJI, UZINIFU NA KILA NAMNA YA UOVU.
TUBU LEO DHAMBI UPONE BURE.
Baada yakuinywa njoo katka kanisa la full gospel bible felowship. Tupo kila mahali tz, au tembelea www.fgbfchurch.org
KUNYWA DAWA UPONE
 
Unadhani majibu uliowajibu wengine ni majibu ya maswali yangu?

Mbona suala la consent btn two adult umelirudia zaidi ya mara 200 na haujachoka. Nilipoona hujajibu nilisema alamsiki pia hukuelewa maana yangu? Narudia tena Alamsiki.
WASALIMIE UENDAKO.
 
RUBBISH.
 
SASA HAPO KWENYE MAKUBALIANO NDIPO PALIPO MSINGI WA FALSAFA NZIMA YA UTETEZI WA USHOGA.

WATU WAWILI, WENYE UMRI HALALI WA KUFANYA MAAMUZI HURU NA BINAFSI, WANAPORIDHIA KWA HIARI YAO KUTUMIA MIILI YAO KWA NAMNA YOYOTE YA KUFANYA MAPENZI HAWAPASWI KUBUGHUDHIWA.

MWISHOWE WATU WATAKATAZWA MPAKA KUPIGANA DENDA.
Kwenye madawa ya kulevya hamsemi kuwa mtu anavuta kwa hiari yake mwenyewe,mnajenga hoja ya nguvu kazi ya taifa ila kwenye ushoga ndiyo mnasema watu wamekubaliana wenyewe.

Hivi unafikiri toka dunia ianze ushoga ungekuwa ndio umetapakaa na kuwa jambo la kawaida,unafikiri hali ingekuaje?
 
KWAHIYO UNATAKA TUJADILI VITU VYA KUFIKIRIKA?
Kwenye madawa ya kulevya hamsemi kuwa mtu anavuta kwa hiari yake mwenyewe,mnajenga hoja ya nguvu kazi ya taifa ila kwenye ushoga ndiyo mnasema watu wamekubaliana wenyewe.

Hivi unafikiri toka dunia ianze ushoga ungekuwa ndio umetapakaa na kuwa jambo la kawaida,unafikiri hali ingekuaje?
 
Kwa ujumla Binti kiziwi Makonda ametuletea shida zisizo za lazima. Badala ya kufanya jambo hili kuwa la mafirauni hao limekuwa swala la kitaifa .
Jambo linapokuwa midomoni mwa watu kila wakati, impacts zake ni kubwa kwa jamii husika.

Maelezo uliompa huyo jamaa ni very scientific na ukweli mtupu. Lakini mashoga na ma Basha ni watu walio changanyikiwa na hawawezi kukuelewa kwa namna ya kawaida. Ni watu walioiga vitu na wamekengeuka . wao swala la kizazi si kipaumbele mradi wanafirana .
Kwa ujumla Makonda anatakiwa kuwa controlled, vinginevyo ataendelea kuzua mambo.

Na anafahamu ni kwanini hajayajibu maswali yangu, kuhusu kiranja wa Dar mi huwa naona anamatatizo fulani yanayompelekea kukurupuka katika mambo mengi kama si yote, sijui ana tatizo la ufahamu ama anafanya makusudi kuvuruga mambo, Binafsi ana nikera sana na si mfuasi wake, nilimuunga mkono katika siku za mwanzo za vita ya madawa ya kulevya kwakuwa niliona ni threat hivyo inahitaji nguvu kubwa kupambana nayo, baadae nilvyokuja kugundua mambo fulani fulani nikakaa pembeni. Muda mwingine unaweza kugundua unacheza ngoma kwa faida ya wengine.
Kwa hili pia kama ulivyosema amevuruga mambo na ametuletea shida hii kama inayotokea katika huu uzi.
 
Kwa ujumla Binti kiziwi Makonda ametuletea shida zisizo za lazima. Badala ya kufanya jambo hili kuwa la mafirauni hao limekuwa swala la kitaifa .
Jambo linapokuwa midomoni mwa watu kila wakati, impacts zake ni kubwa kwa jamii husika.

Maelezo uliompa huyo jamaa ni very scientific na ukweli mtupu. Lakini mashoga na ma Basha ni watu walio changanyikiwa na hawawezi kukuelewa kwa namna ya kawaida. Ni watu walioiga vitu na wamekengeuka . wao swala la kizazi si kipaumbele mradi wanafirana .
Kwa ujumla Makonda anatakiwa kuwa controlled, vinginevyo ataendelea kuzua mambo.
Upo sawa kabisa, mamtu yanayofanya ushoga yamekengeuka akili kiasi kwamba ni vigumu kuyashawishi kuacha huo uchafu. Laana inayaandama na yanafikiri kutafuta namna ya kujihalalisha au kutafuta kuungwa mkono na watu kutayafanya yapate relief ya nafsi zao kumbe yanajidanganya tu.
 
Mkuu hata wewe ukiwa teja mie siumii kitu chochote wala hunilazi njaa kwa wewe kuwa teja.
UKIFA AU UKIWA TEJA UTAPUNGUZA NGUVU KAZI YA TAIFA NA UTALETA ATHARI KWA WANAOKUTEGEMEA.

FIKIRI KAMA TUNA MATEJA ISHIRINI AMBAO HUENDA WANGEKUWA WANAJISHUGHULISHA NA SHUGHULI ZA BIASHARA NA UZALISHAJI MALI? HUONI HIYO NI HASARA KUBWA?

ZAIDI SANA, BIASHARA YA MADAWA YA KULEVYA INASABABISHA FEDHA CHAFU NA KUDUMAZA UZALISHAJI WA HUDUMA NA BIDHAA HALISI KITU AMBACHO NI HATARI KWA UCHUMI WA NCHI.

KWA MSINGI HUO, MADAWA YA KULEVYA NA USHOGA NI VITU VIWILI TOFAUTI VISIVYOFANANA KWA NAMNA YOYOTE.
 
Endeleeni kupinga. Mkifanikiwa mniite nije kuwapongeza. Kiukweli nitawapongeza.
Hadi kufika leo tumefanikiwa vuta picha dunia ingejaa mashoga kutokana na mitazamo ya kuwa ushoga ni jambo ni jambo la kawaida tu la makubaliano ya wawili,unadhani hali ingekuwaje?

Ndio maana sasa kuna baadhi ya watu wenye nia ovu wanatumia uwezo wao kusambaza ushoga na kuonekana jambo la kawaida kwa sababu zao.
 
ANGALIA HAPO JUU NIMEKUJIBU KUHUSU MADAWA YA KULEVYA.
Hata nimekujibu kuhusu madhara ya ushoga endapo utaachiwa usambae na kuonekana ni jambo la kawaida,ila unasema ni jambo la kufikirika ndio maana nikasema basi hata madawa nayo kuuwa nguvu kazi ya taifa ni jambo la kufikirika.
 
Watu wengine mbona hamueleweki? kama umeamua kutangaza biashara yako ya ushoga si utangaze tu, utawapata mnaoendana kuliko kujizungusha na kuwachosha watu na maswali yasiyo na kichwa wala miguu.
 
Nataka nipate majibu ya kitaalamu kuhusu uchungu mioyoni mwa watu juu ya ushoga.

Mjadala huu usihusishwe kwa vyovyote na mambo ya uswahili swahili na dini zilizokuja na meli. Nchi hii ni SECULAR hivyo kila mtu ana imani yake. Zile hadithi za kale za sodoma na Gomora waweza kuzitupa jalalani!

Nahitaji nijue falsafa juu ya hasira zinazosababishwa na kusikia fulani ni shoga!?? Utasikia, fulani ni shoga huyu, analeta ukame nchini.. . (Hahhahahaa)

Ok.. let's go!

Hivi watu wawili wakiamua kuffirrana kwa hiari yao, kwanini liwe ni jambo la ajabu sana!?

Hawajamuibia mtu, hawajamtesa mtu, hawajakwapua mali ya umma.....???? Wanatumia miili yao tu kwa hiari yao!

Kuna shida gani mtu akitumia mwili wake jinsi apendavyo??
Naomba nikubandue
 
Back
Top Bottom