Kwanini Ushoga unauma kuliko lolote!?

Kwanini Ushoga unauma kuliko lolote!?

JUHA WEWE ULAYA UNAENDA KUGAWA TIGO TU.

KAZANA UOLEWE HUKO HUKO UPEWE CHEO CHA UMALKIA WA WASENGE.
Naona umeanza kuwageuka wasenge wenzio mnaoteteana humu. Wewe akili zako zimeshakengeuka, laana ya ushoga mbaya sana
 
Achana na asili inayoshikamanishwa na dini, ustaarabu na historia, Jikite katika asili ilinayoshikamanishwa na Biolojia, mleta mada nisaidie kufahamu ni sababu zipi zilipelekea mtu ME akazaliwa na Uume na mtu KE akazaliwa na Uke? Na Je kibailojia tendo la kujamiiana hutoa matokeo mangapi? Yataje, Je mtu KE na ME wakifanya mapenzi kwa kupitia Uke wanapata matokeo gani? Yataje na Mtu ME na ME wakifanya mapenzi wanapata matokeo gani? Yataje, Baada ya hapo umegundua nini, Eleza.

Otherwise mnaweza kuendelea kufanya ushoga ila msilazimishe kuungwa mkono na kila mtu.
 
Wewe punga watu tunaenda europe kama kuingia bafuni kuoga, kama kwenda ulaya kwako ni jambo la kufikirika hizo ni miongoni mwa laana za kujihusisha na ushoga
Hili Jamaa ni Li-Punga aisee, sio bure.
Wale wanaomsupport hapa huwafuata Inbox kuomba contact
 
Achana na asili inayoshikamanishwa na dini, ustaarabu na historia, Jikite katika asili ilinayoshikamanishwa na Biolojia, mleta mada nisaidie kufahamu ni sababu zipi zilipelekea mtu ME akazaliwa na Uume na mtu KE akazaliwa na Uke? Na Je kibailojia tendo la kujamiiana hutoa matokeo mangapi? Yataje, Je mtu KE na ME wakifanya mapenzi kwa kupitia Uke wanapata matokeo gani? Yataje na Mtu ME na ME wakifanya mapenzi wanapata matokeo gani? Yataje, Baada ya hapo umegundua nini, Eleza.

Otherwise mnaweza kuendelea kufanya ushoga ila msilazimishe kuungwa mkono na kila mtu.
Shida nikutaka waungwe mkono hamna aliyewakataza. Mbona matendo mengine ya ngono ni siri huko
 
Kinachi nishangaza ni kuwa tunatakiwa tupige chabo ili tujue wanatumia tundu lipi, wanalalana kweli wanaume kwa wanaume? Muda wa kwend kupiga chabo ili ujionee ndio nashangaa unatoka wapi, kama wangekuwa wanafanya nje naona ndio ingekuwa tatizo lakini kwenda kuchungulia ili uthibitishe for what? watajua wenyewe na Mungu wao mradi wasifanye watoto wadogo kama wanabandua walio na akili na uelewa tena kwa hiari yao watajua wenyewe si suala la kitafa kwa kweli.
 
Achana na asili inayoshikamanishwa na dini, ustaarabu na historia, Jikite katika asili ilinayoshikamanishwa na Biolojia, mleta mada nisaidie kufahamu ni sababu zipi zilipelekea mtu ME akazaliwa na Uume na mtu KE akazaliwa na Uke? Na Je kibailojia tendo la kujamiiana hutoa matokeo mangapi? Yataje, Je mtu KE na ME wakifanya mapenzi kwa kupitia Uke wanapata matokeo gani? Yataje na Mtu ME na ME wakifanya mapenzi wanapata matokeo gani? Yataje, Baada ya hapo umegundua nini, Eleza.

Otherwise mnaweza kuendelea kufanya ushoga ila msilazimishe kuungwa mkono na kila mtu.
MADAM,

MASHOGA HAWAHITAJI KUUNGWA MKONO NA YEYOTE AU KUSHABIKIWA.

WANACHOHITAJI NI KUACHWA WAISHI MAISHA YAO BILA KUZONGWAZONGWA.

NI HILO TU.
 
KABISA MKUU.

HAWA NI WATU WENYE MAAMUZI HURU, TUWAACHE WABANDUANE HUKO VYUMBANI KWA RAHA ZAO MADHALI TU WAMERIDHIANA NA HAWAVUNJI HAKI ZA WATU WENGINE.

NI RAHISI HIVYO TU.
 
HILO NDILO LA MSINGI.

Sir hujaona maswali au umeamua kwa makusudi kuyaacha, hiyo ilikuwa frame work ya discussion yangu, kwakuwa hujajibu.. Alamsiki.
 
Achana na asili inayoshikamanishwa na dini, ustaarabu na historia, Jikite katika asili ilinayoshikamanishwa na Biolojia, mleta mada nisaidie kufahamu ni sababu zipi zilipelekea mtu ME akazaliwa na Uume na mtu KE akazaliwa na Uke? Na Je kibailojia tendo la kujamiiana hutoa matokeo mangapi? Yataje, Je mtu KE na ME wakifanya mapenzi kwa kupitia Uke wanapata matokeo gani? Yataje na Mtu ME na ME wakifanya mapenzi wanapata matokeo gani? Yataje, Baada ya hapo umegundua nini, Eleza.

Otherwise mnaweza kuendelea kufanya ushoga ila msilazimishe kuungwa mkono na kila mtu.
Kwa ujumla Binti kiziwi Makonda ametuletea shida zisizo za lazima. Badala ya kufanya jambo hili kuwa la mafirauni hao limekuwa swala la kitaifa .
Jambo linapokuwa midomoni mwa watu kila wakati, impacts zake ni kubwa kwa jamii husika.

Maelezo uliompa huyo jamaa ni very scientific na ukweli mtupu. Lakini mashoga na ma Basha ni watu walio changanyikiwa na hawawezi kukuelewa kwa namna ya kawaida. Ni watu walioiga vitu na wamekengeuka . wao swala la kizazi si kipaumbele mradi wanafirana .
Kwa ujumla Makonda anatakiwa kuwa controlled, vinginevyo ataendelea kuzua mambo.
 
KABISA MKUU.

HAWA NI WATU WENYE MAAMUZI HURU, TUWAACHE WABANDUANE HUKO VYUMBANI KWA RAHA ZAO MADHALI TU WAMERIDHIANA NA HAWAVUNJI HAKI ZA WATU WENGINE.

NI RAHISI HIVYO TU.
Vyumbani wapi, wakati mashoga yanajianika hadharani hadi kufanya shereha na kuharibu maadili ya vijana. Whether unafanya hadharani au chumbani laana ya ushoga ipo pale pale
 
Sir hujaona maswali au umeamua kwa makusudi kuyaacha, hiyo ilikuwa frame work ya discussion yangu, kwakuwa hujajibu.. Alamsiki.
KUHUSU MASWALI YAKO, SIKUYAJIBU MAANA NIMESHAJIBU MASWALI YA SAMPULI HIYO ZAIDI YA MARA MIA MOJA.

WATU WAWILI WENYE UTASHI NA AKILI TIMAMU, WAKIAMUA KUTUMIA MIILI YAO KWA NAMNA YOYOTE ILE HAWAPASWI KUGHASIWA BILA KUJALI MATUMIZI NI YAPI YA MIILI YAO.

SIO WAJIBU WA SERIKALI AU WA MTU YEYOTE KUSIMAMIA NAMNA YA KUTUMIA VIUNGO VYA SIRI.
 
Vyumbani wapi, wakati mashoga yanajianika hadharani hadi kufanya shereha na kuharibu maadili ya vijana. Whether unafanya hadharani au chumbani laana ya ushoga ipo pale pale
NAOMBA USIRUDIE KUNI-QUOTE TENA TAFADHALI.

HII IWE MARA YA MWISHO.
 
Back
Top Bottom