Kwanini Ushoga unauma kuliko lolote!?

Kwanini Ushoga unauma kuliko lolote!?

Nataka nipate majibu ya kitaalamu kuhusu uchungu mioyoni mwa watu juu ya ushoga.

Mjadala huu usihusishwe kwa vyovyote na mambo ya uswahili swahili na dini zilizokuja na meli. Nchi hii ni SECULAR hivyo kila mtu ana imani yake. Zile hadithi za kale za sodoma na Gomora waweza kuzitupa jalalani!

Nahitaji nijue falsafa juu ya hasira zinazosababishwa na kusikia fulani ni shoga!?? Utasikia, fulani ni shoga huyu, analeta ukame nchini.. . (Hahhahahaa)

Ok.. let's go!

Hivi watu wawili wakiamua kuffirrana kwa hiari yao, kwanini liwe ni jambo la ajabu sana!?

Hawajamuibia mtu, hawajamtesa mtu, hawajakwapua mali ya umma.....???? Wanatumia miili yao tu kwa hiari yao!

Kuna shida gani mtu akitumia mwili wake jinsi apendavyo??
Huyo anayefirwa mwisho wa siku atakuja kumfira mtoto wako au amwambie mtoto wako amfire tabia ikiachwa inaenea ndani ya jamii baada ya muda inakua fashion kupigwa dudu
 
WEWE UMESHAWAHI KUFIRWA NA BABA YAKO?
Huyo anayefirwa mwisho wa siku atakuja kumfira mtoto wako au amwambie mtoto wako amfire tabia ikiachwa inaenea ndani ya jamii baada ya muda inakua fashion kupigwa dudu
 
Wanatibiwa na kupewa madawa. Kama mna nia ya kutokomeza ushoga anzeni na hilo.wale ni waathirika
Tulipokuwa tunapingana ni pale mlipokuwa mnasema hili jambo ni la kawaida tu kwamba ni starehe zao kwa makubaliano yao,
 
Kila mtu akifuata dhamiri yake pasipo na sheria yeyote hata kuua litakuwa jambo la kawaida.
Ushoga Si jambo zuri maana hata ukisikia mwanao wa kiume anafanyiwa hivyo hakika utajisikia vibaya.

Kuachilia Mungu hata Sheria ya nchi inakataa ushoga.
 
SI KILA SHERIA YA NCHI INAPASWA KUWA SHERIA HALALI.

NDIO MAANA KUNA SHERIA ZA HOVYO KAMA CYBER CRIMES ACT NA ONLINE CONTENT REGULATIONS ZA 2018.

THIS IS A MATTER OF JURISPRUDENCE SIO BLAH BLAH ZA LAYMEN.

Mbna jamaa amekujibu vizuri.. kwamba hawezi kuwa na rational decision kwa kifupi sheria inatambua kwamba makubaliano yoyote ambayo unafanya na yeye ni umemrubuni... Pia do you think wewe na mtoto wa miaka 14 mkifanya kosa linalolingana hukumu yenu itakuwa moja???

Naona umeenda mbaaali.... hoja yako ni nini?
Hoja yangu imeanza pale mtu anaposema watu waachwe tu kufanya ushoga kwa sababu wamekubaliana wenyewe,ndio maana nikaleta hoja ili kuonesha kuwa makubaliano sio point ya msingi ya kuachia watu washiriki ushoga.
 
WATU WAWILI WENYE AKILI TIMAMU WAKIAMUA KUFIRANA KWA RIDHAA YAO, WEWE UNAUMIA NINI?
Tulipokuwa tunapingana ni pale mlipokuwa mnasema hili jambo ni la kawaida tu kwamba ni starehe zao kwa makubaliano yao,
 
Nataka nipate majibu ya kitaalamu kuhusu uchungu mioyoni mwa watu juu ya ushoga.

Mjadala huu usihusishwe kwa vyovyote na mambo ya uswahili swahili na dini zilizokuja na meli. Nchi hii ni SECULAR hivyo kila mtu ana imani yake. Zile hadithi za kale za sodoma na Gomora waweza kuzitupa jalalani!

Nahitaji nijue falsafa juu ya hasira zinazosababishwa na kusikia fulani ni shoga!?? Utasikia, fulani ni shoga huyu, analeta ukame nchini.. . (Hahhahahaa)

Ok.. let's go!

Hivi watu wawili wakiamua kuffirrana kwa hiari yao, kwanini liwe ni jambo la ajabu sana!?

Hawajamuibia mtu, hawajamtesa mtu, hawajakwapua mali ya umma.....???? Wanatumia miili yao tu kwa hiari yao!

Kuna shida gani mtu akitumia mwili wake jinsi apendavyo??
Ngoja wafia dini waje wakupe povu la kufulia kesho
 
Hoja yangu imeanza pale mtu anaposema watu waachwe tu kufanya ushoga kwa sababu wamekubaliana wenyewe,ndio maana nikaleta hoja ili kuonesha kuwa makubaliano sio point ya msingi ya kuachia watu washiriki ushoga.
SASA HAPO KWENYE MAKUBALIANO NDIPO PALIPO MSINGI WA FALSAFA NZIMA YA UTETEZI WA USHOGA.

WATU WAWILI, WENYE UMRI HALALI WA KUFANYA MAAMUZI HURU NA BINAFSI, WANAPORIDHIA KWA HIARI YAO KUTUMIA MIILI YAO KWA NAMNA YOYOTE YA KUFANYA MAPENZI HAWAPASWI KUBUGHUDHIWA.

MWISHOWE WATU WATAKATAZWA MPAKA KUPIGANA DENDA.
 
SI KILA SHERIA YA NCHI INAPASWA KUWA SHERIA HALALI.

NDIO MAANA KUNA SHERIA ZA HOVYO KAMA CYBER CRIMES ACT NA ONLINE CONTENT REGULATIONS ZA 2018.

THIS IS A MATTER OF JURISPRUDENCE SIO BLAH BLAH ZA LAYMEN.
Madawa ya kulevya natumia mwenyewe yananiathiri mwenyewe lakini yanapigwa marufuku kwanini.?

Uhuru unamipaka yake si kila kitu uwe huru tu kufanya unachotaka maana uhuru unaweza kukutumu kuua mwanao au mke/mume, au kujiua mwenyewe.
 
Back
Top Bottom