Tz mbongo
JF-Expert Member
- Mar 12, 2015
- 15,096
- 8,902
Sijasema kiubaguzi ila kama umewahi kumuona mwanaume aliyeathiriwa na ushoga utaona amepitiliza hadi ule uwanamke,mwanaume shoga ni legevu kuliko hata mwanamke.Huo ni ubaguzi. Kwanini uone bora mwanamke malaya lkn sio shoga?
Ina maana hakuna madhara kwa mwanamke akiwa malaya.
Ni sawa na kusema bora mwanamke afumuliwe marinda na si mwanaume. Kitu ni kile kile
Hasara za mwanaume wa aina hiyo ni afadhali ya mwanamke malaya.