Kwanini Ushoga unauma kuliko lolote!?

Kwanini Ushoga unauma kuliko lolote!?

UKIZAA WEWE INATOSHA.

KAMA HUYO MUNGU WAKO ANGETAKA KILA MTU AZAE PASINGEKUWEPO NA WAGUMBA.
Yoote Tisa. Kumi ufiraji haufai na DJ tumia nafasi hiyo kuasa watu. We we kuzaliwa sio matokeo ya ushoga, Bali mwanamke na mwanaume. Sex for reproduction zaeni mkaongezeke. Sio starehe tuuuu
 
Mimi ni Muafrika naamini katika mila na destruri za Kiafrika,kwa hiyo huwezi kuabadili asili yangu kwani asili haibadiliki (ata kama ukiabudu mungu wa kiislam au wa kikristo).Asili yetu waafrika ni kufanya kazi kwa bidii,kuwa na wanawake,wengi na watoto kwa kifupi mimi ni bonge la shababy najivunia hilo na najivunia kuzaliwa Africa.Ila nashukuru kwa kukubali kwa mara ya pili kwa maneno yako WEWE NI SHOGA,KWA HIYO WEWE SHOGA SABABU MUNGU WAKO MTI ANATAKA WEWE KUWA SHOGA ILA WEWE MWENYEWE HUPENDI USHOGA si unamaanisha hivyo..
UNGEZALIWA ULAYA UNGEKUWA SHOGA????
 
Mkuu kwani ukichukua kikombe cha maji ya kunywa ukaenda kukitumia chooni,nafsi na wanaokuzunguka wanakuchukuliaje?
Kwa kifupi elewa matumizi sahihi ya viungo vyako basi.
 
INAWEZEKANA TUMEKUBALIANA NA KURIDHIA KUKITUMIA KIKOMBE CHA MAJI YA KUNYWA KWA MATUMIZI YA CHOONI.

THAT'S FINE.
Mkuu kwani ukichukua kikombe cha maji ya kunywa ukaenda kukitumia chooni,nafsi na wanaokuzunguka wanakuchukuliaje?
Kwa kifupi elewa matumizi sahihi ya viungo vyako basi.
 
UNGEZALIWA ULAYA UNGEKUWA SHOGA????
Hasa ulaya mimi ningefikaje wakati baba yangu mwenywe mkulima,kazaliwa Bush,jando nimepigwa ya Kisu na kupewa mafundisho yake kama mwanaume wa Kiafrika sasa mimi ulaya ningefuata nini.Acha USHOGA NDUGU ,PAMOJA MUNGU WAKO MTI ANARUHUSU USHOGA LAKINI ni kinyume na asili yako ya Kiafrika
 
BILA SHAKA UNGEZALIWA ULAYA UNGEKUWA MSENGE WEWE MAANA UNAISHI KULINGANA NA MAZINGIRA KAMA KINYONGA BADALA YA KUWA NA MAWAZO HURU.
Hasa ulaya mimi ningefikaje wakati baba yangu mwenywe mkulima,kazaliwa Bush,jando nimepigwa ya Kisu na kupewa mafundisho yake kama mwanaume wa Kiafrika sasa mimi ulaya ningefuata nini.Acha USHOGA NDUGU ,PAMOJA MUNGU WAKO MTI ANARUHUSU LAKINI ni kinyume na asili yako ya Kiafrika
 
BILA SHAKA UNGEZALIWA ULAYA UNGEKUWA MSENGE WEWE MAANA UNAISHI KULINGANA NA MAZINGIRA KAMA KINYONGA BADALA YA KUWA NA MAWAZO HURU.
Sasa ulaya mimi nifuate nini kaka eti,mimi kwetu huko Moro ndani ndani.Alafu kwani walio zaliwa wote ulaya ni mashoga? Ukilijua hili ndio utajua USHOGA NI KUUENDEKEZA na ni upuuzi na wanao utetea ni wapuuzi,ILA WEWE SIKULAUMU UMEKUWA SHOGA SABABU MUNGU MTI WAKO UNAYEMUABUDU ANARUHUSU USHOGA,pole sana sometimes basi kaa chini utafakari asili yako labda unaweza ukabadilika kwani hujachelewa .
 
Kama unatumia iphone na unatumia nguvu nyingi kuupinga ushoga, hujui utendalo.

(sio kwako mwanzisha uzi, nataka kuongeza kufikirisha kadamnasi)
 
KAMA ULAYA NI HALALI KUWA SHOGA LAKINI SI KILA MTU NI SHOGA, INAKUWAJE USHANGAE TANZANIA SIO HALALI KUWEPO MASHOGA LAKINI MASHOGA WAPO?

DRAW YOUR PREMISES ACCURATELY.

NDIO MAANA NASEMA WEWE UNGEZALIWA ULAYA UNGEKUWA MSENGE MAANA UNAAMINI KULE USENGE NI RUKSA.

Sasa ulaya mimi nifuate nini kaka eti,mimi kwetu huko Moro ndani ndani.Alafu kwani walio zaliwa wote ulaya ni mashoga? Ukilijua hili ndio utajua USHOGA NI KUUENDEKEZA na ni upuuzi na wanao utetea ni wapuuzi,ILA WEWE SIKULAUMU UMEKUWA SHOGA SABABU MUNGU MTI WAKO UNAYEMUABUDU ANARUHUSU USHOGA,pole sana .
 
KAMA ULAYA NI HALALI KUWA SHOGA LAKINI SI KILA MTU NI SHOGA, INAKUWAJE USHANGAE AFRIKA SIO HALALI KUWEPO MASHOGA LAKINI MASHOGA WAPO?

DRAW YOUR PREMISES ACCURATELY.

NDIO MAANA NASEMA WEWE UNGEZALIWA ULAYA UNGEKUWA MSENGE MAANA UNAAMINI KULE USENGE NI RUKSA.
Hebu nionyeshee sehemu au kwenye komenti yangu yoyote ile, niliposema USHOGA RUKSA au niliposema ulaya ushoga ruksa.WEWE MWENYEWE UMESEMA ,WEWE NI SHOGA SABABU MUNGU WAKO MTI ANARUHUSU USHOGA.
msh.PNG
 
Shikilia maadili yako na wafundishe wanao yaliyo mema, wajibu wako ni huo tu usiumize kichwa na fantasy za binadamu wengine
Basi nawe iweje upinge upingwaji wa ushoga?maana wenye kupinga wana sababu zao kama ilivyo kwa wanaotaka ushoga usambae.
 
Hebu nionyeshee sehemu au kwenye komenti yangu yoyote ile, niliposema USHOGA RUKSA au niliposema ulaya ushoga ruksa.WEWE MWENYEWE UMESEMA ,WEWE NI SHOGA SABABU MUNGU WAKO MTI ANARUHUSU USHOGA.
KWAHERI.
 
Back
Top Bottom