James88
JF-Expert Member
- May 14, 2017
- 1,700
- 1,761
Pia hata nandy alipaswa kufikishwa mahakamani kipindi kile...Uko sawa ila kwa double standard za bongo sahau kuhusu hilo mnyonge rutty kabebeshwa na zigo la wengine
Pia hata nandy alipaswa kufikishwa mahakamani kipindi kile...Uko sawa ila kwa double standard za bongo sahau kuhusu hilo mnyonge rutty kabebeshwa na zigo la wengine
Hukumu za binadamu hizo... ambao nao mwisho wa siku watachomwa tu motoNdiyo, kupigwa mawe hadi kufa
Mungu alisema wapigwe mawe hadi kufa au ni sie binadamu tuliamua iwe hivyo?
Soma hapo chini.Hukumu za binadamu hizo... ambao nao mwisho wa siku watachomwa tu moto
Tumekosa mbinu?Inawezekana kabisa kwenye jamii uliyolelewa hukuwahi kuona wala kusikia lakini haimaanishi kuwa hakuna jamii ya kiafrika karibu yako ambayo kuna ushoga ndani yake maana hii kitu ni siri. Na zamani tulikuwa tuna usiri sana sio kama sasa hivi.
Hata mimi mpk nakua mkubwa sijawahi ona ushoga katika familia yangu/ukoo hata jamii inayonizunguka.
Lakini siamini kwamba eti haya mambo yameanza hivi karibuni bali yalikuwepo lakini yalikuwa yanafichwa na kipindi hicho unachozungumzia ilikuwa ni aibu..sasa hivi utandawazi umefanya aibu za watu zipungue wanajianika.
.
.
Hakuna anayetetea bali nyie mnaopinga mmekosa mbinu za kutokomeza.
Kwa mantiki hiyo unamuhukumu mtu kwa basis ya dini... je kila mtu anafungamana na dini unayoiamini ww?Soma hapo chini.
You shall not lie with a man, as with a woman: it is abomination. Leviticus 19:22
If a man also lies with a man, as he lies with a woman, both of them have committed an abomination: they shall surely be put to death; their blood shall be upon them. Leviticus 20:13
Nataka nipate majibu ya kitaalamu kuhusu uchungu mioyoni mwa watu juu ya ushoga.
Mjadala huu usihusishwe kwa vyovyote na mambo ya uswahili swahili na dini zilizokuja na meli. Nchi hii ni SECULAR hivyo kila mtu ana imani yake. Zile hadithi za kale za sodoma na Gomora waweza kuzitupa jalalani!
Nahitaji nijue falsafa juu ya hasira zinazosababishwa na kusikia fulani ni shoga!?? Utasikia, fulani ni shoga huyu, analeta ukame nchini.. . (Hahhahahaa)
Ok.. let's go!
Hivi watu wawili wakiamua kuffirrana kwa hiari yao, kwanini liwe ni jambo la ajabu sana!?
Hawajamuibia mtu, hawajamtesa mtu, hawajakwapua mali ya umma.....???? Wanatumia miili yao tu kwa hiari yao!
Kuna shida gani mtu akitumia mwili wake jinsi apendavyo??
Tatizo nyie mashoga huwa mnajiona mnajua kila jambo, cha muhimu ni kuacha ushoga na kufanya toba ya kweli kutoka moyoni kuliko kutafuta njia ya kujihalalisha na kutafuta sympathy kutoka kwa watu jambo ambalo halitawasaidia kujiepusha na laana.
Soma hapo chini uone jinsi hili la ushoga lilivyo miongoni mwa machukizo mabaya kupindukia
You shall not lie with a man, as with a woman: it is abomination. Leviticus 19:22
If a man also lies with a man, as he lies with a woman, both of them have committed an abomination: they shall surely be put to death; their blood shall be upon them. Leviticus 20:13
Kwani wamekunyea?Tumekosa mbinu?
Ulitaka tuwaweke vizibo?
Wema atakuwa charged kwa kosa moja "moja ya makosa ya kimtandao"Uko sawa ila kwa double standard za bongo sahau kuhusu hilo mnyonge rutty kabebeshwa na zigo la wengine
MIMI NAABUDU MITI.Huna maarifa ya elimu ya Mungu na maana ya uumbaji, umeitegemea akili yako na hivyo umeachwa upotelee mbali.Rudi Mungu akupe akili ya kujua mema na mabaya.
Ushoga ni laana.
Soma hapo chini.
You shall not lie with a man, as with a woman: it is abomination. Leviticus 19:22
If a man also lies with a man, as he lies with a woman, both of them have committed an abomination: they shall surely be put to death; their blood shall be upon them. Leviticus 20:13
HIVI VIFUNGU UCHWARA VYA BIBLIA NI KWA AJILI YENU NYIE WATUMWA NA MISUKULE WA DINI ZA WAZUNGU.Soma hapo chini.
You shall not lie with a man, as with a woman: it is abomination. Leviticus 19:22
If a man also lies with a man, as he lies with a woman, both of them have committed an abomination: they shall surely be put to death; their blood shall be upon them. Leviticus 20:13
Wanatembea wanatoa harufu, hili hata mkuu wa mkoa alilisemaKwani wamekunyea?
NANI ANAYEPIGA MAWE?Ndiyo, kupigwa mawe hadi kufa
HAMNA KITU KAMA HICHO,alafu usiseme nimekosa mbinu,sema wewe ndiye umekosa mbinu.Kwenye posti yangu kasome paragraph ya mwisho utaona nilichoshauri,ACHA KUTETEA UJINGA.
Sasa unapopata malipo ya kufanya ushoga na kuabudu miti usipige kelele, kaa kimya hivyo hivyo sindano ikuingieSASA MKUU HIYO BIBLIA SI NI KWA AJILI YENU NINYI WAFUASI WA NABII TITO?
MIMI NAABUDU MITI.
Sawa wewe unaabudu mti na mpaka sasa baadhi ya mababu zetu wanaubudu miti,wanaiomba na mvu zinanyesha.SASA MKUU HIYO BIBLIA SI NI KWA AJILI YENU NINYI WAFUASI WA NABII TITO?
MIMI NAABUDU MITI.