Kwanini Ushoga unauma kuliko lolote!?

Kwanini Ushoga unauma kuliko lolote!?

OK
Shoga na mwanamke anayeingiliwa kinyume na maumbile ni wale wale tu.
OK lkn amber ruty hakufanya hadharani ilkuwa faragha na video imevuja bahati Mbaya kama tu mavideo ya kina nandy seputenga na wengineo
 
OK

OK lkn amber ruty hakufanya hadharani ilkuwa faragha na video imevuja bahati Mbaya kama tu mavideo ya kina nandy seputenga na wengineo
Kwanini unahisi ni bahati mbaya, yoyote mwenye guts za kuliwa Tumbo hashindiwi kutupia video zake kwa mitandao
 
Kati ya baba yako na wewe yupi shoga?
Nataka nipate majibu ya kitaalamu kuhusu uchungu mioyoni mwa watu juu ya ushoga.

Mjadala huu usihusishwe kwa vyovyote na mambo ya uswahili swahili na dini zilizokuja na meli. Nchi hii ni SECULAR hivyo kila mtu ana imani yake. Zile hadithi za kale za sodoma na Gomora waweza kuzitupa jalalani!

Nahitaji nijue falsafa juu ya hasira zinazosababishwa na kusikia fulani ni shoga!?? Utasikia, fulani ni shoga huyu, analeta ukame nchini.. . (Hahhahahaa)

Ok.. let's go!

Hivi watu wawili wakiamua kuffirrana kwa hiari yao, kwanini liwe ni jambo la ajabu sana!?

Hawajamuibia mtu, hawajamtesa mtu, hawajakwapua mali ya umma.....???? Wanatumia miili yao tu kwa hiari yao!

Kuna shida gani mtu akitumia mwili wake jinsi apendavyo??
 
Kuna ushahidi wowote kuwa zamani hakukuwa na ushoga Africa? Au ni vile tumeanza kuuona kwa wazungu kutokana na maendeleo yao?
Inashangaza pia unavyoiamini dini ambayo ni huyu huyu mzungu ametuletea.
Kama ni kurudi kwenye enzi na mila zetu basi hata hizi dini tulizoletewa hazitufai. Wametuletea dini wametuachia tunahangaika nayo ihali wao hawaichukulii uzito tena.

Najua umesema hutaki stori za Sodoma na Gomora OK basi tufanye ni uwongo na ww umesema huna dini, lkn wewe ni Muafrika na unakabila, hivi jiulize ktk kabila hivi mila na desturi zenu zinaruhusu huu upuuzi unaoutetea.

Ujue vitu vingine kujiendekeza lkn kabla hawajakuja hao Wazungu na Warabu kusambaza dini, sifa kubwa ya mwanaume wa Kiafrika ilikuwa kufanya kazi kwa bidii, kuoa wanawake wengi na kuzaa watoto wengi na trend ilikuwa hiyo hiyo vizazi na vizazi so hiii inaonyesha sio tabia yetu Wafrika na sio asili yenu,so huko nyuma mwanaume wa Kiafrica alikuwa shababy.

Isitete huu upuuzi sometime hizi exposure walizozipata huko nje zinawafanya watu wawe wehu na kujiona wanaenda na wakati kumbe ni upuuzi mtu na ni kinyume cha asili yetu sisi Wafrika.

Kitu cha msingi tujiulize kama jamii tumekosea wapi, wakati huko nyuma huu upuuzi ulikuwa hamna yaani tumezidiwa mpaka na mababu zetu ambao walikuwa hawana elimu, ila sisi na vielimu tunatetea ujinga.

Hii kitu ni laana kwani ni kinyume na asili yetu sisi Wafrika na kinyume na Mungu, tutimize wajibu wetu kama kuwalea watoto kwenye maadili, turudishe jando na unyago ili watoto wajitambue nini wajibu wao kama mwanamke au mwanaume kwenye familia na kila mmoja amchukulie mtoto wa mwenzie kama wake, kwani mababu zetu huko nyuma waliweza kwa nn ww ushindwe, ila kuitetea hii tabia ni upuuzi WEWE HUNA DINI ILA WW NI MUAFRIKA NA ASILI HUWEZI IBADILI, ACHA KUTETEA UPUUZI.
 
Mwili wa serikali roho ya Mungu , nafsi yakwako.
Ukijikata mkono kwa makusudi je, serikali itakuacha?
Ushoga huleta magonjwa ya kimwili. Hivyo kufanya ushoga unajidhuru, wapaswa kushitakiwa.
 
Kuna ushahidi wowote kuwa zamani hakukuwa na ushoga Africa? Au ni vile tumeanza kuuona kwa wazungu kutokana na maendeleo yao?
Inashangaza pia unavyoiamini dini ambayo ni huyu huyu mzungu ametuletea.
Kama ni kurudi kwenye enzi na mila zetu basi hata hizi dini tulizoletewa hazitufai. Wametuletea dini wametuachia tunahangaika nayo ihali wao hawaichukulii uzito tena.
Kulikuwa hamna, nimetumia nusu ya maisha yangu kuishi na babu zangu naelewa ninachikiongea na nayajua majukumu yangu kama mwanaume, kwani mafunzo yao ndio yaliyonikuza HUKO NYUMA HUU UPUUZI MNAOUTETEA ULIKUWA HAMNA KWA SISI WAFRIKA. Swala la kuletewa dini sijalizungumzia mimi nimezungumzia asili, mila na desturi zetu Wafrika.
 
Ushoga ni laana ndo maana hukumu yake ni tofauti na dhambi au uovu mwingine ambapo mtu alikuwa anapewa nafasi ya kufanya toba. Ila kwa mashoga hukumu ilikuwa ni hapohapo kupigwa mawe hadi kufa, hawakustahili kuendelea kuishi
Hukumu ya ushoga ni tofauti na dhambi zingine???
 
Back
Top Bottom