Kwanini Ushoga unauma kuliko lolote!?

Kwanini Ushoga unauma kuliko lolote!?

HOJA ZA DINI HAZIWEZI KUFUA DAFU HAPA.

TAFUTA HOJA ZINGINE TOFAUTI NA HIZO UCHWARA UCHWARA ZA GOMORA.
Hakuna sheria ambayo ipo juu ya sheria za Mungu. Hizo unazoita hoja zinazotokana na hekima ya kibinadamu ndo upuuzi
 
Subiri siku ugongewe hodi mwanao John kaja kutolewa pesa aolewe uje ufungue uzi wa pongezi..... hivi wewe babako angefirana waziwazi ungetembea kifua mbele?
 
Umesoma comments zangu lakini hujanielewa na si lazima unielewe. Ushoga sio kitu kizuri lakini hakuna binadamu atakayeweza kuutokomeza. Hata mpige makelele kiasi gani haitakuja kufanikiwa.
Maadili nayajua na watoto wangu nitawafundisha.
Lakini sitakuja kumhukumu Shoga hata siku moja kwasababu sijui kwanini amekuwa hivyo ni Mungu mwenyewe anajua.
Ni muda sasa umefika taifa lifanye mambo ya msingi zaidi kuliko kupeleka mashoga jela au kuwanyooshea kidogo.
Na kama unaijua dini vizuri..who are u to judge?
Tekeleza wajibu wako wa kuwafundisha watoto wako yaliyo mema, huku ukiomba Mungu hilo janga liwapitie mbali.
Siwezi kutumia nguvu zangu kupinga kitu ambacho siwezi kubadili.
.
.
Shoga ni binadamu kama wewe, wengine ni watu wazuri tu kwenye jamii iweje kinyeo chake ndo kitupelekeshe weee tushindwe kufanya mambo mengine? Let us ignore them na maisha yaendelee.
Unajifanya kipofu inamaana hata ulichokiandika hukijui,kwa taarifa yako nimesoma comment yako ya kwanza mpaka ya mwisho.

Badilika dada yangu si ujanja kutetea hivi vitu kwani nikunyume na asili yako,timiza wajibu wako kama mzazi kwa watoto wako na kama mlezi kwa watoto wa majirani zako,pigana kizazi hiki kisipotee ,kwani sio kwa kila anachofanya mtu mweupe basi ukione cha maan vingine ni upuuzi,Hili swala ukiacha laana hata kwa upande wa kiafya lina madhara.
 
Ushoga ni ugonjwa unaosababisha MTU kumtamani MTU wa jinsia yake, ni nguvu mbaya inamvaa mtu akiwa Mdogo, inadaiwa single parent kids wanaadhiriwa sana na hilo, kwa kawaida ugonjwa unatakiwa utibiwe na sio ushabikiwe, sijawahi kusikia wanyama wakifanya hilo,

Kuna aina za majini yanayopiga watu na nguvu ya ushoga, unajikuta unasisimuliwa na mtu wa jinsia yako. Suluhisho ni matibabu ya kimwili au kiroho.

Nirudi kwenye swali lako: watanzania wanashabikia sana ngono kwa kujifanya kuwa wanaichukia, mf kwenye ushoga wanamsema yule anaeingiliwa, huyo ndio shoga, lakini muingiliaji anasifiwa, utashangaa amber Ruty ndie anaepelekwa mahakamani, ila yule mfiraji anasifiwa.

Mawazo ya watz ni ufiraji tu, mtu akipelekwa polisi, akitekwa, akipotea, akiuawa, cha kwanza kuuliza ni kama aliingiliwa kinyume au la, na hapo huanza kusisimkwa...na tamaa!!!????
 
Alisema saa 9 mbona bado shwari?
Hlf mbona sijaona conclusion ya hii mada?
Hii mada ishajibiwa muda mrefu, kinachoendelea sasa ni kuchangamsha genge tukisubiri ile Melo ametupatia alert ya JF malware testing.
 
Fact.
Ushoga ni ugonjwa unaosababisha MTU kumtamani MTU wa jinsia yake, ni nguvu mbaya inamvaa mtu akiwa Mdogo, inadaiwa single parent kids wanaadhiriwa sana na hilo, kwa kawaida ugonjwa unatakiwa utibiwe na sio ushabikiwe, sijawahi kusikia wanyama wakifanya hilo,

Kuna aina za majini yanayopiga watu na nguvu ya ushoga, unajikuta unasisimuliwa na mtu wa jinsia yako. Suluhisho ni matibabu ya kimwili au kiroho.

Nirudi kwenye swali lako: watanzania wanashabikia sana ngono kwa kujifanya kuwa wanaichukia, mf kwenye ushoga wanamsema yule anaeingiliwa, huyo ndio shoga, lakini muingiliaji anasifiwa, utashangaa amber Ruty ndie anaepelekwa mahakamani, ila yule mfiraji anasifiwa.

Mawazo ya watz ni ufiraji tu, mtu akipelekwa polisi, akitekwa, akipotea, akiuawa, cha kwanza kuuliza ni kama aliingiliwa kinyume au la, na hapo huanza kusisimkwa...na tamaa!!!????
 
Umesoma comments zangu lakini hujanielewa na si lazima unielewe. Ushoga sio kitu kizuri lakini hakuna binadamu atakayeweza kuutokomeza. Hata mpige makelele kiasi gani haitakuja kufanikiwa.
Maadili nayajua na watoto wangu nitawafundisha.
Lakini sitakuja kumhukumu Shoga hata siku moja kwasababu sijui kwanini amekuwa hivyo ni Mungu mwenyewe anajua.
Ni muda sasa umefika taifa lifanye mambo ya msingi zaidi kuliko kupeleka mashoga jela au kuwanyooshea kidogo.
Na kama unaijua dini vizuri..who are u to judge?o
Tekeleza wajibu wako wa kuwafundisha watoto wako yaliyo mema, huku ukiomba Mungu hilo janga liwapitie mbali.
Siwezi kutumia nguvu zangu kupinga kitu ambacho siwezi kubadili.
.
.
Shoga ni binadamu kama wewe, wengine ni watu wazuri tu kwenye jamii iweje kinyeo chake ndo kitupelekeshe weee tushindwe kufanya mambo mengine? Let us ignore them na maisha yaendelee.

Hatujaambiwa tu hukumu,lakni tumeambiwa tukemee.Sijajua dini yako lakini mimi ni mkristo kwa kubatizwa kwangu nimpakwa mafuta so nimefanywa kuwa nabii,nikapewa mshumaa nikaangaze neno la Mungu.Niwajibu wangu kukemee nionapo tabia ipo kinyume na mafundisho sababu mimi ni Nabii,hata Yesu alikemea dhambi na kuwakemea wasiotaka kubadilika,Elia naye alikemea dhambi na kukemea wasio badilika.

.Kwa hiyo wewe ni wajibu wako kuhubiri,kufundisha,kurekebisha na kukemea na si kuhukumu.Mimi siwezi kuignore ushoga ever ,niatongea sehemu yoyote nitakemeea na kukosoa kwa sababu mamlaka hayo nimepewa kupitia ubatizo wangu na si kosa kwa imani yangu.Shoga kweli ni binadamu na kweli na Mungu hataki bindamu yoyote apotee,so kwa imani uliyopewa ni wajibu wako kumrudisha katika kundi ,ikishindikanaa ikemee tabia yake wazi wazi ili watu wengine wajue ni kosa mbele za Mungu.
 
HEKAYA TU HIZI... BLAH BLAH BLAH BLAH BLAH
Njoo nikupe wa kutifua huo mtaro wako if you think it's funny...
Mk*undu hauna kilainishi kama cha K, hilo eneo lina nerve endings nyingi hivyo maumivu ni lazima labda utumie kilainishi, hilo eneo lina misuli ya kuzuia nya isijitokee, kukiburuzwa sana mtu anapoteza uwezo wa kubana mavi, ni rahisi sana hilo eneo kupata michubuko na kusambaza magonjwa.
Mwisho kabisa ni asili kiumbe mke kuingiliwa na me.... no wonder wanaume wa kuanzisha nao mahusiano wamekua adimu sababu wengine mamarioo wengine wafiranaji hata k hawaoni kama ni ishu. One f your sons should be gay.
 
Back
Top Bottom