Kwanini Ushoga unauma kuliko lolote!?

Kwanini Ushoga unauma kuliko lolote!?

Najua umesema hutaki stori za Sodoma na Gomora OK basi tufanye ni uwongo na ww umesema huna dini, lkn wewe ni Muafrika na unakabila, hivi jiulize ktk kabila hivi mila na desturi zenu zinaruhusu huu upuuzi unaoutetea.

Ujue vitu vingine kujiendekeza lkn kabla hawajakuja hao Wazungu na Warabu kusambaza dini, sifa kubwa ya mwanaume wa Kiafrika ilikuwa kufanya kazi kwa bidii, kuoa wanawake wengi na kuzaa watoto wengi na trend ilikuwa hiyo hiyo vizazi na vizazi so hiii inaonyesha sio tabia yetu Wafrika na sio asili yenu,so huko nyuma mwanaume wa Kiafrica alikuwa shababy.

Usitetee huu upuuzi sometime hizi exposure walizozipata huko nje zinawafanya watu wawe wehu na kujiona wanaenda na wakati kumbe ni upuuzi na ni kinyume cha asili yetu sisi Wafrika.

Kitu cha msingi tujiulize kama jamii tumekosea wapi, wakati huko nyuma huu upuuzi ulikuwa hamna yaani tumezidiwa mpaka na mababu zetu ambao walikuwa hawana elimu, ila sisi na vielimu vyetu tunatetea ujinga.

Hii kitu ni laana kwani ni kinyume na asili yetu sisi Wafrika na kinyume na Mungu, tutimize wajibu wetu kama kuwalea watoto kwenye maadili, turudishe jando na unyago ili watoto wajitambue nini wajibu wao kama mwanamke au mwanaume kwenye familia na kila mmoja amchukulie mtoto wa mwenzie kama wake, kwani mababu zetu huko nyuma waliweza kwa nn ww ushindwe, ila kuitetea hii tabia ni upuuzi WEWE HUNA DINI ILA WW NI MUAFRIKA NA ASILI HUWEZI IBADILI, ACHA KUTETEA UPUUZI.
ASILI YETU PIA NI KUVAA MAGOME YA MITI.

ASILI YETU NI KUUA MAALBINO WANAOLETA NUKSI KWENYE JAMII.

ASILI YETU NI KUKEKETA WANAWAKE.

ASILI YETU NI KUPIGA WANAWAKE NA KUFANYA DOMESTIC VIOLENCE.

ASILI YETU NI KUTOA KAFARA ZA BINADAMU.
 
Mwili wa serikali roho ya Mungu , nafsi yakwako.
Ukijikata mkono kwa makusudi je, serikali itakuacha?
Ushoga huleta magonjwa ya kimwili. Hivyo kufanya ushoga unajidhuru, wapaswa kushitakiwa.
HATA UFUSKA NA UMALAYA UNALETA MAGONJWA KAMA UKIMWI NA KISONONO.

KWAHIYO, TUWAKAMATE WAZINZI WOTE TUWATUPE JELA?
 
OK

OK lkn amber ruty hakufanya hadharani ilkuwa faragha na video imevuja bahati Mbaya kama tu mavideo ya kina nandy seputenga na wengineo
Ni matumaini yangu hukumu ya wema sepetu na amber rutty itakuwa ni moja maana wote wameamua kuvujisha faragha zao...
 
Inawezekana kabisa kwenye jamii uliyolelewa hukuwahi kuona wala kusikia lakini haimaanishi kuwa hakuna jamii ya kiafrika karibu yako ambayo kuna ushoga ndani yake maana hii kitu ni siri. Na zamani tulikuwa tuna usiri sana sio kama sasa hivi.
Hata mimi mpk nakua mkubwa sijawahi ona ushoga katika familia yangu/ukoo hata jamii inayonizunguka.
Lakini siamini kwamba eti haya mambo yameanza hivi karibuni bali yalikuwepo lakini yalikuwa yanafichwa na kipindi hicho unachozungumzia ilikuwa ni aibu..sasa hivi utandawazi umefanya aibu za watu zipungue wanajianika.
.
.
Hakuna anayetetea bali nyie mnaopinga mmekosa mbinu za kutokomeza.
Kulikuwa hamna, nimetumia nusu ya maisha yangu kuishi na babu zangu naelewa ninachikiongea na nayajua majukumu yangu kama mwanaume, kwani mafunzo yao ndio yaliyonikuza HUKO NYUMA HUU UPUUZI MNAOUTETEA ULIKUWA HAMNA KWA SISI WAFRIKA. Swala la kuletewa dini sijalizungumzia mimi nimezungumzia asili, mila na desturi zetu Wafrika.
 
ASILI YETU PIA NI KUVAA MAGOME YA MITI.

ASILI YETU NI KUUA MAALBINO WANAOLETA NUKSI KWENYE JAMII.

ASILI YETU NI KUKEKETA WANAWAKE.

ASILI YETU NI KUPIGA WANAWAKE NA KUFANYA DOMESTIC VIOLENCE.

ASILI YETU NI KUTOA KAFARA ZA BINADAMU.
Zote hizo ni asili yetu sijakataa,wewe umesema huamini katika dini,lkn wewe umezaliwa katika ardhi ya Afrika,so asili yako ni Afrika ambayo mila na desturi zetu zinapingana na hii tabia,JE WEWE HII TABIA IMETOKEA WAPI WAKATI SI ASILI YETU? Najua utasema biological factor JE HIYO BIOLOGICAL FACTOR INAIHUSU KIZAZI CHA SASA ILA CHA NYUMA HAKIUSIKI? na HII TABIA YA KUWATETEA HAWA MASHOGA IMEITOA WAPI AU NAWE NI MSHIRIKI WAKATI NI KINYUME NA ASILI YAKO?
 
Inawezekana kabisa kwenye jamii uliyolelewa hukuwahi kuona wala kusikia lakini haimaanishi kuwa hakuna jamii ya kiafrika karibu yako ambayo kuna ushoga ndani yake maana hii kitu ni siri. Na zamani tulikuwa tuna usiri sana sio kama sasa hivi.
Hata mimi mpk nakua mkubwa sijawahi ona ushoga katika familia yangu/ukoo hata jamii inayonizunguka.
Lakini siamini kwamba eti haya mambo yameanza hivi karibuni bali yalikuwepo lakini yalikuwa yanafichwa na kipindi hicho unachozungumzia ilikuwa ni aibu..sasa hivi utandawazi umefanya aibu za watu zipungue wanajianika.
.
.
Hakuna anayetetea bali nyie mnaopinga mmekosa mbinu za kutokomeza.
HAMNA KITU KAMA HICHO,alafu usiseme nimekosa mbinu,sema wewe ndiye umekosa mbinu.Kwenye posti yangu kasome paragraph ya mwisho utaona nilichoshauri,ACHA KUTETEA UJINGA.
 
Ulitaka majibu ya Kizungu? Kama unaona ushoga ni jambo lisilo na ubaya wowote siku moja mjaribu baba yako hata mdogo wake/mkubwa wako akufirrre au umfirre mbona unapata hasira kuhusu ushoga?

Mfirre mzazi wako si mtakuwa Mmeamua sisi itatuumiza kwa lipi?
Tena watakuwa wameimarisha undugu, kuliko kuanza kuangalia watu wa pembeni wa kukufira / kuwafira.
 
Kama mwili wako una hiari nao basi kajinyonge halafu upone kisha ukutane na Dola
 
HIZI NI HADITHI ZA KALE TU ZISIZO NA MANTIKI YOYOTE.
Tatizo nyie mashoga huwa mnajiona mnajua kila jambo, cha muhimu ni kuacha ushoga na kufanya toba ya kweli kutoka moyoni kuliko kutafuta njia ya kujihalalisha na kutafuta sympathy kutoka kwa watu jambo ambalo halitawasaidia kujiepusha na laana.
Soma hapo chini uone jinsi hili la ushoga lilivyo miongoni mwa machukizo mabaya kupindukia

You shall not lie with a man, as with a woman: it is abomination. Leviticus 19:22

If a man also lies with a man, as he lies with a woman, both of them have committed an abomination: they shall surely be put to death; their blood shall be upon them. Leviticus 20:13
 
Ni matumaini yangu hukumu ya wema sepetu na amber rutty itakuwa ni moja maana wote wameamua kuvujisha faragha zao...
Uko sawa ila kwa double standard za bongo sahau kuhusu hilo mnyonge rutty kabebeshwa na zigo la wengine
 
Nataka nipate majibu ya kitaalamu kuhusu uchungu mioyoni mwa watu juu ya ushoga.

Mjadala huu usihusishwe kwa vyovyote na mambo ya uswahili swahili na dini zilizokuja na meli. Nchi hii ni SECULAR hivyo kila mtu ana imani yake. Zile hadithi za kale za sodoma na Gomora waweza kuzitupa jalalani!

Nahitaji nijue falsafa juu ya hasira zinazosababishwa na kusikia fulani ni shoga!?? Utasikia, fulani ni shoga huyu, analeta ukame nchini.. . (Hahhahahaa)

Ok.. let's go!

Hivi watu wawili wakiamua kuffirrana kwa hiari yao, kwanini liwe ni jambo la ajabu sana!?

Hawajamuibia mtu, hawajamtesa mtu, hawajakwapua mali ya umma.....???? Wanatumia miili yao tu kwa hiari yao!

Kuna shida gani mtu akitumia mwili wake jinsi apendavyo??
alfu lela ulela,hekaya za abunuasi,esopo,kalume kenge..............in aggrey's voice
 
Back
Top Bottom