Mungu ana watu wengi sana, sampuli zote.. huwezi kosa mwenye ego mwenzako mkaegoane😂Ego ipo juu sana mahi😅😅
🔥🔥🔥🔥🔥 woyoooooooo🥰🥰View attachment 3607621 😁
I lay my love on you
It's all I wanna do
Every time I breathe I feel brand new
You opened up my heart
Show me all your love and walk right through
As I lay my love on you
PoleeMasomo, udomo zege, na pia bado hatujatoboa
Mume gani tenaAsante sana. Kila la kheri na kwako pia na mumeo.
Karibuu
Ngoja tuoneMungu ana watu wengi sana, sampuli zote.. huwezi kosa mwenye ego mwenzako mkaegoane😂
Mume gani tena
Nimechekaa😅😅
Acha uoga bhna 😅Gharama ya kufuga ng'ombe wa maziwa ni kuliko kununua maziwa yenyewe.........ngoja Poor Brain Mbaga Jr dronedrake wasijekuona koment yangu
🔥🔥🔥🔥🔥 woyoooooooo🥰🥰
Hata sijuiUnacheka nini? 😊
Wewe ni mwanamke mzuri, unakosaje mume/mchumba?
Jichanganye uone wakati huo mi sipoAcha uoga bhna 😅
Fireeeee 🔥🔥🔥🔥View attachment 3607626 😊
My love is knocking on your door
I'm standing all alone
On my own nne nne
Don't you see I'm waiting for so long
Don't let this love to fall
Don't keep me waiting under the rain
Biko Ifunanya Ifunanya Ifunanya
SawaaJichanganye uone wakati huo mi sipo
Mizagamuo hapa hamna tunauliza why upo single?Jumapili na maswala ya mizagamuo
Fireeeee 🔥🔥🔥🔥
Nzuri sana hii ngoma ♥️
Mimi nimefika mbali aisee nipo single na sielewi kwaniniMizagamuo hapa hamna tunauliza why upo single?
Hata sijui
sema time imeenda ningeenda kwa mwamposa leo ujue😅😅😅