PoleeDomo zege
SawaNdio hali yetu ya uchumi inaruhusu, ukiwa na buku jero unalewa hadi kujikojoleaa π
Tonight.Haya bhnaπ
Sibeko goldHakikisha haupo single, ikiwezekana bandika bandua, hakun kukaa single hata kwa usiku mmojaπ
Punguza kidogo uache kulala peke yakomy standards come with background checks and credit scoresπ
AsantePolee
π₯π₯π₯ nomaaa
Unawaza isidingo tuSibeko gold
Hahahaha unanikumbusha enzi hizo ,bills na hard rock
Kwa afya gani sasa!! Tutapata murder case π€£π€£π€£Siku tulichangie tulipige aisee!π«’
Sanaaa π₯π₯π₯π₯π₯ nomaaa
Aje kuokoa jahazi.Kwamba π ?