Kwanini upo single?

Kwanini upo single?

Biashara matangazo haya fursa fursa fursa hizooooooo
 
Niko single kwa kua bado sijampata msichana sahihi mwenye mapenzi ya dhati
 
Mlio single bila kupenda poleni sana...

Hope mta find love soon,nawaombea iwe hivyo....
 
Ukitaka iwe kubwa Dawa yake ndogo sana hiyo:

Chukua pilipili 6, kitunguu saumu 1 na tangawizi 1 kubwa, changanya vyote uvitwange hadi vilainike lainiiiiiiii halafu jipake vizuri huo mchanganyiko kwenye hicho kibamia chako chote asubuhi na jioni. Naamini kitakua kama tango na utawapata tu.
Ha ha ha ha!
 
Dah! mimi niko singo kwa sababu ambazo sizijui ..yani sijui ni kwanini niko singo.
 
Nipo single kwa sababu nilimtongoza kidogo lakini jamaa alimtongoza mpaka alitumia mifuko yake ya suruali na ATM ndipo nikatoswa
 
fulsa ndo hii sasa yakuchagua unae umpendae hapa kwasababu umeshajua watafutao wenzako.
 
Back
Top Bottom