Kwanini upo single?

Kwanini upo single?

Mimi nalazimika kusema nipo singo kila mara sababu nikimjibu mwanamke nina mtu wangu nitamkosa kizembe[emoji1] [emoji23]
 
Mkuu mleta uzi bado hujachangamkia fursa tu??
Fursa nimeziona mkuu daby ila nawavutia speed waje waje kwanza kama Ali kiba
Si unajua wahenga walisema haraka haraka haina baraka.
So nasubiri wajae ili niwachuje vizuri.
 
Nipo single kwa sababu kila nikitongoza nakataliwa hii inatokana na kuwa sina swaga na pia sura yangu mbaya
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
[emoji3] [emoji3] unahitaji kuwa jasiri tuu
 
Mwanaume unakuwahe single?? Labda hauna confidence aka money ya kuwa MC kwenye shoo ndgndg hizi
 
Hatuaminiani unakaa kimachale na mwandani wako ndio unaamua tu uwe mwenyewe
 
katika ukoo wako wote hakuna alie hata robo yangu kwa uzuri pita kulee
Kwa kujisifia tu hujambo! Ila uhakika wa yale usemayo ndiyo shida kuyaamini maana sampuli za watani zangu wachagga sinaeleweka mnavinasaba vya wahindi[emoji116] [emoji116] [emoji116] chagga eti
1475773769917.jpg


sample ya kitu cha ukoo wangu [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116]
1475773871472.jpg
 
Back
Top Bottom