Kwanini upo single?

Kwanini upo single?

MNAOSEMA MPO SINGLE MNATAKA KUSEMA HAKUNA ANAYEGEGEDWA HUMU WALA KUGEGEDA? SASA OLE WENU NIJE PM MSEME MNA MABWANA
[emoji1] [emoji1] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Kwa Vile nilipenda wasichana single, Waliopenda Usingle Zaidi kuliko kuwa mama wa familia.
 
mimi kiukwel cpo cngle ila nataka nijitahidi niwe cngle kama nitaweza, sababu zamimi kutaka kuwa cngle nihuyu mpenz wangu anaongea sana nanimgomv sana yaan akikuta text yamcchana kwasimu yangu inageuka vita, atanikwida namimi huwa ckubali dem anikwide hapo ndipo vita inapoanzia, nimeshampiga sana nayeye alishaniuma meno sana ila sasa nahisi nimechoka ninavyoona nitakuja kumuumiza au hata kumuua kabisa niende jera bure, sasa nataka niwe cngle2
 
Nipo single kwasababu ya pesa ya kuhinga[emoji22] [emoji22] [emoji22] yani nikipigwa mzinga nakuwa kama mgonjwa wa kifadulo
Hahaaaaa kapyungu umenikosha kweli kweli, yaani mnaanza vizuriiiii na siku zinasonga ila siku akiingizia tu beb naomba 50,000 ya saloon unatoka ndukiiiii[emoji23] [emoji23] [emoji1] [emoji1] [emoji125]
 
Nipo single coz ..... Bado cijapata nliyempenda ile serious ..japo ...mechi za kirafiki nikialikwa kwakwel sikataagi
 
Kinachofurahisha kwenye huu uzi ni pale muke za watu zinaposema zipo single wakati harusi zao tulishachangia.....Hahahahaaa.
Kwi kwi kwi kwiii[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Back
Top Bottom