Million dollars
JF-Expert Member
- Jul 20, 2016
- 1,508
- 2,070
Nipo single coz nimejiwekea sheria demu mpya lazima awe mkali kuliko wa zamani so nipo nafanya msako mkali.. Forward ever backward never



Mapenzi ya dhat yapoKwa sababu mapenzi ya dhati ni adimu
Single unaelewaje mkuu ni mtu ambae hajaoa au kuolewa yaani hata kama ana girlfriend au boyfriend anakua ni wa mpito tu si wa kuishi naeMNAOSEMA MPO SINGLE MNATAKA KUSEMA HAKUNA ANAYEGEGEDWA HUMU WALA KUGEGEDA? SASA OLE WENU NIJE PM MSEME MNA MABWANA
Hahahhhwewe ni single?
Duh!!!!Nahisi majin/mashetanii walinywea supu ubavu wangu!!!
Hahahaa sawamimi kiukwel cpo cngle ila nataka nijitahidi niwe cngle kama nitaweza, sababu zamimi kutaka kuwa cngle nihuyu mpenz wangu anaongea sana nanimgomv sana yaan akikuta text yamcchana kwasimu yangu inageuka vita, atanikwida namimi huwa ckubali dem anikwide hapo ndipo vita inapoanzia, nimeshampiga sana nayeye alishaniuma meno sana ila sasa nahisi nimechoka ninavyoona nitakuja kumuumiza au hata kumuua kabisa niende jera bure, sasa nataka niwe cngle2
Dah so soon utatupotea humu?Hahahhh
Single niliye sokoni.
Muda wowote nanunuliwa na mteja wangu special.
Ila kuwa single raha sana, nilikuwa narudi muda ninaotaka.
Nipike au nisipike hakuna wa kuniuliza.
Nilale nje au ndani, hakuna wa kunihoji.
Nasafiri popote ninapotaka.
Nzuri kuliko zote, nachagua tu wa kulala nae siku hiyo.
Ndo basi tenaaaaa..
Ndio yapo lakini adimuMapenzi ya dhat yapo
Hahahaa mkuu tupo single lakini hatupo huko tuna videmu vya kuzugia tuKwa wanaume wote mlio single humu karibuni CHAPUTA fanyeni application mapema fomu ni chache
Humu kama mume mwenza, lazima awekewe zamu.Dah so soon utatupotea humu?
Unaweza kua ni ndugu yangu weweAsante kwa kunipa moyo nami naamini ipo siku yangu nitasahau machungu yote niliyopitia nitangara kama dhahabu..hakika naamini ipo siku yangu
hahahaaaaaaHuu uzi utakuwa na fursa kibaooo..sibanduki