Kwanini upo single?

Kwanini upo single?

Mie nazani wengi wetu tulazamisha mapenzi kwa kupenda usipo pendwa matokeo yake ni full maumivu na kuyachukia mapenzi
 
Nipo single kwa sababu sijampata anayeendana na mimi, ambaye hapendi utumwa wa kutegemea mshahara tu, na anayenipenda kwa dhati
 
Usingle inategemeana kuna dadaangu alikua na marafiki. Zake walioolewa km wawili ndoa zao zilikuwa shida, mara mume atembee na huyu mara binti wa kazi, mara jirani, mke. Akiongea lolote kuhusu michepuko ni kipigo mpaka hawa mmoja kaaachika mngine alifariki inasadikika kwa. Kupigwa na mumewe. Huyo mmoja mmew e alikuwa anatembea na binti jirani mara mke kamfumania watu kibao, binti kamshushia matusi mke, mumeo alinambia k yako imeharika ni mbaya. Haina shape ndo maana ananipenda mimi, mke kusikia kazimia, mpaka leo dadaangu ana 43 hataki kabisa wanaume na virgn kabisa
 
Back
Top Bottom