kwetumasoko
JF-Expert Member
- Aug 24, 2016
- 866
- 517
Mi nipo single kwa sababu nna kabamia!
niko single sababu mimi ndo mwenyekiti ngazi ya taifa CHAPUTA( NYETO)
we jamaa fala sanaSii kwamba sitaki mechi za ugenini tu, yaani ukaribu wowote na mwanaume sipendi wala kutaka.Yeah ni bora upige mechi za ugenini siku moja moja
Hamna cha mechi wala chochote.Mechi za kirafiki kama kawa au nazo huzitaki?
hehehhe dah watu man majibuMimi nipo single kwasababu hatuko wawili!!!
🙂🙂🙂🙂🙂
Ukitaka iwe kubwa Dawa yake ndogo sana hiyo:Mi nipo single kwa sababu nna kabamia!
kwa nn ww usimpe izo pesamimi nipo single ila nataman kumpata anipendaye kwa dhati na mtoa mizingaaa
Kama kawaZa mchangani unapiga?
Ya kweli haya kutoka ndani ya moyo kabisa![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Mungu anakuona lian
Hujaelewa soma tena uelewe vizuriKhaa usinambie hujawai mpata nguvu hizo wataka abebe nyumba au?
Stress tu. Ndoa lazima uwe mvumilivu, na mm siko tayari kuvumilia ujinga ujinga wa wanaume mwisho wa siku niugue magonjwa sugu bure, huko hukoTatizo la undani ni nini sasa hebu baelezee
Heshima yako mkuu.nipo cngo coz hatukuzaliwa mapacha
Huwa unaonekana unapenda mwenye hela, ivo ndo ulivyo?kwa sababu sijapata anaenipenda jinsi nilivo
Wee ndo walee laaana yenu ipo juu juu zaidi pole sanaHamna cha mechi wala chochote.