pique3
Senior Member
- Jul 25, 2016
- 154
- 131
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Nipo single kwasababu ya pesa ya kuhinga[emoji22] [emoji22] [emoji22] yani nikipigwa mzinga nakuwa kama mgonjwa wa kifadulo
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Nipo single kwasababu ya pesa ya kuhinga[emoji22] [emoji22] [emoji22] yani nikipigwa mzinga nakuwa kama mgonjwa wa kifadulo
Najitolea kukupenda usiwe single tena. Naanza na Lunch kesho.kwa sababu sijapata anaenipenda jinsi nilivo
Pole sana binti wa kirombo, Scorpion wako kashakamatwa yupo ananyea debe so usijali jipange upya jiandae utampata wa kwako mpyaaa tena wa peke ako na atakusahaulisha yale yote maudhi na mabaya ya Scorpion
Weka pichakwa sababu sijapata anaenipenda jinsi nilivo
hahaha mkuu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] we jamaa fala sana
lunch saa hizi?Najitolea kukupenda usiwe single tena. Naanza na Lunch kesho.
hebu nioneshe sehemu moja tu nilishawai kuzungumzia mwanaume mwenye hela. kuna tofauti ya mwanaume mwenye hela na mwanaume anaejali maiosha ya mwenzake .kwanza kuna mtu hana hela siku hizi?Huwa unaonekana unapenda mwenye hela, ivo ndo ulivyo?
utakuwa una matatizo wewe maana hata mke wa mtu ukimtongoza anadai yupo single.jipange utakataliwa sanaHivi na wanawake walio single wapo maana huku mtaani wanajibu nina mchumba.
ukimpata unitafutie pacha wakemimi nipo single ila nataman kumpata anipendaye kwa dhati na mtoa mizingaaa
https://www.jamiiforums.com/index.php?threads/1091024/Hujaelewa soma tena uelewe vizuri
wewe ni single?Weka picha