Mbaga Jr
JF-Expert Member
- May 28, 2018
- 52,068
- 125,930
Ntakushangaza 😎Niko kikomando nakungoja farasi wewe😁
Ntakushangaza 😎Niko kikomando nakungoja farasi wewe😁
Hauna maajabu😝Ntakushangaza 😎
Ni heri kufia "mtindini" mwa mumama mrembo kama wewe.😉Na ntakuua kweli we mtoto!
Hahaha njoo uyonye zinga za nyuki😁Ni heri kufia "mtindini" mwa mumama mrembo kama wewe.😉
Huyu sio taipuu yanguToka leo ukaoshe macho
View attachment 3651496
Kwa nini, unaogopa kuuza nyumba ya urithi?Huyu sio taipuu yangu
We haya tuu 😂Hauna maajabu😝
Hatuna nyumba za urithiKwa nini, unaogopa kuuza nyumba ya urithi?
Hayo hayo mapori, unaweza kuuzaHatuna nyumba za urithi
Tuna mapori ya akiba.
Nitafutie watejaHayo hayo mapori, unaweza kuuza
Tumia hayo mashamba kwa kulima mahindi ili tuweze kusafirisha nje na kupata fedha za kigeni.Nitafutie wateja
Yapo Kisarawe
Hekari moja milion 70
Hutaji tena nipate hela, nije mjini kumuona huyo bonge nyanya?Tumia hayo mashamba kwa kulima mahindi ili tuweze kusafirisha nje na kupata fedha za kigeni.
npo home nimepigika sijielewi,no jobUpo chimbo gani?
ha ha haHutaji tena nipate hela, nije mjini kumuona huyo bonge nyanya?
Pole mkuu, unaweza kutembeza kahawa maeneo ya stendi?npo home nimepigika sijielewi,no job
Nimechoka mwenzenu
hahaha mkuu hata kaz ya ka dukaPole mkuu, unaweza kutembeza kahawa maeneo ya stendi?
Nyingi ni za kutembeahahaha mkuu hata kaz ya ka duka
Huwa wanakuhonga bia?huwa napenda sana vibe la walevi
sasa mkuu nitoke bush kwenye jembe alafu nije kutembeza kahawa dah nachoka mwenzenuNyingi ni za kutembea