La gioconda
JF-Expert Member
- Nov 30, 2015
- 678
- 1,285
isiyo na kilevi au gmMimi natumia Altar Wine.
isiyo na kilevi au gmMimi natumia Altar Wine.
Na wewe lazima utakuwa mlevi kiasihuwa nafuata vibe la walevi
Tupo uchumi wakati mkuu, wakutafuta masoko na watejasasa mkuu nitoke bush kwenye jembe alafu nije kutembeza kahawa dah nachoka mwenzenu
hapanaNa wewe lazima utakuwa mlevi kiasi
Kwa siku ukiuza laki 5, kwa mwezi utalipwa milioni 2sasa hii ya kuuza kahawa si nitaambiwa mshahara 20k per month?
Hakikisha wanakula nyama choma kila wikiendi, stress zitapungua.Nakwepa stress home
hahahaa imposible mkuuKwa siku ukiuza laki 5, kwa mwezi utalipwa milioni 2
Maeneo mengi naona wahudumu wamejazia kweli, tutajenga kweli?Nyie mnaoenda bar kusikiliza mziki na kutafuta wanawake ndio hua mnatuharibia vibe wateja halali.
Wahudumu badala ya kutuhudumia wakata maji ninyi mnawasumbua na kuwashika makalio.
Enewei mimi naenda bar kula bia, ikiwa tulivu ndio safi zaidi, siku nyingine hata mziki usiwepo kabisa iwe kimyaaaa ni bia tu.
Ukinywea nyumbani huwezi kulewa?Naenda kulewa
Nyumbani siuzi biaUkinywea nyumbani huwezi kulewa?
Aya twende tukaone warembohapana
Ili kupata kiasi fulani itakuhitaji ujue unazalisha kiasi gani piahahahaa imposible mkuu
Agiza boda boda akuleteeNyumbani siuzi bia
eAya twende tukaone warembo
mkuu huo mchongo magumashiIli kupata kiasi fulani itakuhitaji ujue unazalisha kiasi gani pia
Nilikuwa sijui, basi njoo unipe tu kampani huku ukipata maji baridi.mwanamke akaone warembo inakuja vipi hapo
e
Kwa nini?mkuu huo mchongo magumashi
mkuu kwa staili hiyo bado nina safari ndefuTupo uchumi wakati mkuu, wakutafuta masoko na wateja
eti maji nimekuwa churaNilikuwa sijui, basi njoo unipe tu kampani huku ukipata maji baridi.