Kwanini unaenda bar na maeneo ya starehe?

Mimi huwa naenda kwa ajili ya kusikiliza mziki wenye 'vibe' pamoja na kuosha macho kwa kuona warembo walivyopendeza. Hii inaniondolea msongo wa mawazo wa kimaisha na kuendelea kutamani kuishi zaidi na zaidi.

Pia nakuwa sina muda wa kutembelea watu mbali mbali majumbani mwao, kwa sababu binadamu wa sasa wengi ni wanafiki, na kujikuta nikitembelea maeneo yaliyo changamka bila kumkwaza mtu pamoja na kutokuathiri mipangilio yangu n.k

Je wewe, kwa nini unaenda bar na maeneo ya starehe?​
Nakwepa stress home
 
Nyie mnaoenda bar kusikiliza mziki na kutafuta wanawake ndio hua mnatuharibia vibe wateja halali.

Wahudumu badala ya kutuhudumia wakata maji ninyi mnawasumbua na kuwashika makalio.

Enewei mimi naenda bar kula bia, ikiwa tulivu ndio safi zaidi, siku nyingine hata mziki usiwepo kabisa iwe kimyaaaa ni bia tu.
 
Mimi huwa naenda kwa ajili ya kusikiliza mziki wenye 'vibe' pamoja na kuosha macho kwa kuona warembo walivyopendeza. Hii inaniondolea msongo wa mawazo wa kimaisha na kuendelea kutamani kuishi zaidi na zaidi.

Pia nakuwa sina muda wa kutembelea watu mbali mbali majumbani mwao, kwa sababu binadamu wa sasa wengi ni wanafiki, na kujikuta nikitembelea maeneo yaliyo changamka bila kumkwaza mtu pamoja na kutokuathiri mipangilio yangu n.k

Je wewe, kwa nini unaenda bar na maeneo ya starehe?​
Naenda kulewa
 
Back
Top Bottom