Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 40,094
- 62,008
- Thread starter
- #141
Mambo yamebadilika mkuu, ile ya kusubiri mteja aje ilishapitwa na wakati, nyakati hizi ni kuwafuata huko waliko.mkuu kwa staili hiyo bado nina safari ndefu
Mambo yamebadilika mkuu, ile ya kusubiri mteja aje ilishapitwa na wakati, nyakati hizi ni kuwafuata huko waliko.mkuu kwa staili hiyo bado nina safari ndefu
sema unachotaka mremboeti maji nimekuwa chura
Mkuu unaweza kudefine ulevi kwa uelewa wako??Tulioacha pombe kwenda bar naona kama kunaweza kumludisha mtu kwenye gambe natamani kwenda ila sitamani kuludi kwenye ulevi tena
pumzi na uhai wa milele🙃sema unachotaka mrembo
Hizo pombe nakunywa mara nyingi tu. Lakini most of the time nanywea bar, tena sio bar, ni kwenye vi-grocery.Agiza boda boda akuletee
Hili ndio tatizo 😔😔😔😔Kweli pesa inatumika sana, ila kama utaweza kuisimamia bajeti yako vizuri inawezekana, kama utasema nitatumia elfu 20 tu na ukaweza kuishi ndani ya hiyo bajeti, hakutakuwa na shida.
Mwanamke unamjua vizuri!?, umeoa?!Hakikisha wanakula nyama choma kila wikiendi, stress zitapungua.
Ushaambiwa kunywa kistarabu hapo ndo ilipo maana ya uleviMkuu unaweza kudefine ulevi kwa uelewa wako??
hapo unaweza kutembea mpaka miguu ikarudi ndaniKwa nini?
Kuna wine isiyo na kilevi?isiyo na kilevi au gm
Aminapumzi na uhai wa milele🙃
ipoKuna wine isiyo na kilevi?
Mada mzuri kwa waendao maeneo hayo mimi sijawahi kwenda nikae pembeni tuMimi huwa naenda kwa ajili ya kusikiliza mziki wenye 'vibe' pamoja na kuosha macho kwa kuona warembo walivyopendeza. Hii inaniondolea msongo wa mawazo wa kimaisha na kuendelea kutamani kuishi zaidi na zaidi.
Pia nakuwa sina muda wa kutembelea watu mbali mbali majumbani mwao, kwa sababu binadamu wa sasa wengi ni wanafiki, na kujikuta nikitembelea maeneo yaliyo changamka bila kumkwaza mtu pamoja na kutokuathiri mipangilio yangu n.k
Je wewe, kwa nini unaenda bar na maeneo ya starehe?
Sawa.
kutokea wapiSawa.
Mimi natumia Altar wine. Ukiihitaji nijulishe , kijana wangu akuletee
Tanzania.kutokea wapi
TanzaniaTanzania.
Upo wapi?
Binafsi hawanizuzui kabisa, nawapata kwa bei chee.Maeneo mengi naona wahudumu wamejazia kweli, tutajenga kweli?