Seran
JF-Expert Member
- Feb 7, 2025
- 29,739
- 86,393
Am living to the fullest!Maisha mafupi, jitahidi uishi kwa furaha
Y.O.L.O💃🏽
Am living to the fullest!Maisha mafupi, jitahidi uishi kwa furaha
Very same situation ila siyo bar , Tumetoka Tarangire, night Kali saa 4-5 hivii Hapo Chugadansi bamnyogode, Mchizi kichizi kusogea dirishani Na Tims + All staa zimenyooka ile laana, Oya arifu miguu hii hapa, Bei Kitonga 150 , zote kwa pamoja ,Pombe inaongea , kuna miaka fulani niuziwa viatu elfu 60 bar vya kushoto vyote
Hana jeuri kibaka huyu😄Anaenda kukanyagia kluchi😁
Kweli pesa inatumika sana, ila kama utaweza kuisimamia bajeti yako vizuri inawezekana, kama utasema nitatumia elfu 20 tu na ukaweza kuishi ndani ya hiyo bajeti, hakutakuwa na shida.Eeh hapo umenena sana bana, mimi pia naenda kwa vibe na kuosha macho, lakn pesa ndo inaumiza bana. Muziki mzuri na mabibi wazuri ni dawa ya moyo kweli.
Ila ww kenge maji unanitafuta sana kudadeki zako 😂Kwa pesa gani bwanawee!😅
AàaahHana jeuri kibaka huyu😄
Kama wewe ni mwana wa wana/mtu wa watu hata uende bila hela hela itatumika, Tuu maana utapewa na ukipewa automatically unawiwa kutoa , Lazima ufuate kadi, ama uhamishe kutoka bank au ulipe Kwa kuscanKweli pesa inatumika sana, ila kama utaweza kuisimamia bajeti yako vizuri inawezekana, kama utasema nitatumia elfu 20 tu na ukaweza kuishi ndani ya hiyo bajeti, hakutakuwa na shida.
Wengi wanaamini kule ni mawindoni ingawa si kwa wote.Mimi mara nyingi huwa ninaenda na gobole langu kuwinda swala.
Pombe haikufai, utakuja kubakwa huko utulie kwenu Boya wwUwii umenikumbusha juzi nimenunua mimi pia vya kulia vyote aisee🤣
Kwahy stress zako unaenda kuwapelekea wenye furaha zao, kaa na waliokupa stress nyau wwKujichanganya na wenye furaha!
Unaweza kumpa ofa yule anayekuhudumia huku wewe ukiwa unakunywa vitu visivyo na ulevi.Tulioacha pombe kwenda bar naona kama kunaweza kumludisha mtu kwenye gambe natamani kwenda ila sitamani kuludi kwenye ulevi tena
Kule hakuna kuuziana mafuta wala udongoHua naenda huko ili kufanya mahubiri ili Kondoo wapotevu wamrudie bwana.
🤣Unampa offer barmed ya beer alafu ww unakunywa majiUnaweza kumpa ofa yule anayekuhudumia huku wewe ukiwa unakunywa vitu visivyo na ulevi.
Wewe mpaka sukari ikupande maparody yako yafufuke kukupa back up😎Ila ww kenge maji unanitafuta sana kudadeki zako 😂
Mm nikirudi na parody zangu naanza na zile picha na video zako 😎Wewe mpaka sukari ikupande maparody yako yafufuke kukuoa back up😎
Hii ni chuga bablai, mambo hayaendi kwa macho tu, lazima uyapige quality control , budaa kapiga 150K, delivery imefika salama, ila wote wamekuwa lefthand drive 😂Very same situation ila siyo bar , Tumetoka Tarangire, night Kali saa 4-5 hivii Hapo Chugadansi bamnyogode, Mchizi kichizi kusogea dirishani Na Tims + All staa zimenyooka ile laana, Oya arifu miguu hii hapa, Bei Kitonga 150 , zote kwa pamoja ,
😂😂😂😂😂
Wana Tumezicheki zote Ziko sawa , mchizi katoa hela Tunafika Home Zote Miguu ya kushoto
Jamani viatu nimenunua gulioni mchana, ukishindaga njaa unakuwa na kisirani! Nishakwambia tega kikombe nikutilie pesa ya lunch hutaki😆Pombe haikufai, utakuja kubakwa huko utulie kwenu Boya ww