YE67NBE
JF-Expert Member
- Nov 30, 2015
- 15,154
- 36,361
Duh.Mimi napenda sana kwenda kanisani toka mtoto, nahisi napata amani ya moyo na inanisaidia kuwa na hofu ya kimungu ndani yangu. Hata baadhi ya vitu vya ajabu naogopa kufanya kwa kujua ni dhambi na Mungu ananiona.![]()
Mkuu nimetumia lugha isiyo rasmi kidogo gramatically!Ku "thrust anal" ni kufanyaje tena?
Mambo ya MAFANTASY!

Project MSHAMBA HACHEKWI on prayers...........................nice.....
nakusubiri sasa😂
Utashangazwa, ngoja ujichanganye ukutane na DUSHE lenye misuliiii!!
Kwako Kaka Amadi.



ila bichwa kwahiyo mimi dume?!Kwamba hata siri za uhalisia wa kuumhwa dunia wao wanazo? Hata siri za Mungu wao wanazo? Hiyo nilisikia pia, kuwa ni full ujasusi wa hatari sana.Mwanzo niliacha bila sababu nilijua nitarejea ila baada ya kujua ukweli kwamba roman catholic ni miongon mwa secret societies, na madhebu yote yalianzishwa na watu baada ya kuhasi kanisa la roman catholic, nimeapa kwamba sito kwenda kanisani na kama nitaenda basi nitaenda kimwili kuifurahisha jamii na si kiroho( vatican wana siri nyingi mno)
Sizungumzi chochote mpaka mwanasheria wangu aje.ila bichwa kwahiyo mimi dume?!



Zab 1:1-2 SUVMUNGU HAYUPO, SHETANI HAYUPO, UCHAWI HAUPO.....
hivi vitu unavipa nguvu kwenye akili yako ndo maana unaona vipo....
ili biashara ikue inabidi utoe huduma bora kwa wateja wako kuliko ushindani wako, basi.... hamna nguvu ya ziada.....
najua utabisha, fanya utafiti wako mwenyewe utaweza elewa ninachomaanisha
Brother hivi wewe siyo lecturer kweli?Sizungumzi chochote mpaka mwanasheria wangu aje.![]()























































































































































Ahh kanisani wana mlolongo wa sadaka kama 5 hivi na zote wanataka noti sio miatano wala mia mbili. Ukijidai muumuni bora unaacha zaidi ya 5k kwa j2 mojaHeri ya Jumapili kwa nyote.
Niende madani sasa.
Kwa nini uliacha kwenda kanisani mpaka leo hii? Ni nani au nini kilikufanya usiende tena kanisani? Mbona ulikuwa muumini mzuri tu na ulikuwa kiongozi wa vijana? Mbona ulikuwa kiongozi wa kwaya nk?
Unaweza ku share hapa sababu hasa iliyokupelekea ukaacha kwenda kanisani? Je, uliona ni usanii tu?
Karibu!
Sent from my SM-G800F using JamiiForums mobile app
Ni tukio gani hilo ulipigwa church? Lilihusu hela?Msikitini ;-Nilichoka kutawadha hasa asubuhi halafu swala zinachosha sana asubuhi,dhuhuri,alasiri,magharib na usiku saambili!
Kanisani😛igwa tukio MOJA na askofu, mwenyekiti wa kanisa,mchungaji wangu MMOJA hivi,halafu kuna uzi mwembamba unaotenganisha Kati ya kumtolea Mungu na kuwachangia WATU wanaojiita watumishi wa Mungu!halafu usanii mwingi sana!!
NB
Namuomba Mungu nyumbani KILA siku asubuhi au jioni!!
I guess 90+% you are a lecturer somewhere brother.!
Vipi ukiwa unatoa sarafu?Ahh kanisani wana mlolongo wa sadaka kama 5 hivi na zote wanataka noti sio miatano wala mia mbili. Ukijidai muumuni bora unaacha zaidi ya 5k kwa j2 moja

Kwa KOMWE HILI au lingine?I guess 90+% you are a lecturer somewhere brother.!
Sent from my SM-G800F using JamiiForums mobile app
Utamuonyesha mkanganyiko kupitia maandiko katika vitabu vya dini yake (very well )Imani hazipo katka Dini, fungua akili yako Em fany pitia vizuri maandiko ya kitabu cha Dini yako alaf uone mkanganyiko uliopo humo,
ukishindwa sema tukusaidie kuuona huo mkanganyiko na uongo wa vitabu vya Dini.
Mm skuhizi hata nikiwa na 5k naichenchi nipate 100 kama tano ndio sadaka hiyo mbali na hapo bora nikasaidie maskini na wasiojiweza