Kwanini uliacha kwenda kanisani?

Kwanini uliacha kwenda kanisani?

Wewe cute wife unaonekana unakwenda kanisani bila reasoning!

Sent from my SM-G800F using JamiiForums mobile app

Mimi napenda sana kwenda kanisani toka mtoto, nahisi napata amani ya moyo na inanisaidia kuwa na hofu ya kimungu ndani yangu. Hata baadhi ya vitu vya ajabu naogopa kufanya kwa kujua ni dhambi na Mungu ananiona.
 
Zipo njia nyingi zakupush madai yako ya kuwa mimi ni dume bila kudhalilisha utu wako mkuu wangu.

Nimekubali mie ni dume kukurahisishia maisha ila kama utaheshimu matusi yananikwaza mkuu
Okay! Ila nimekutukana kivipi jamani? Kwa sababu ya neno 'rinda'? Hapana bhana ni perception yako tu. But okay!

Sent from my SM-G800F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom