Kwanini uliacha kwenda kanisani?

Kwanini uliacha kwenda kanisani?

Nilisimamia kamati ya ujenzi kujenga choo na kukarabati maeneo mengine ya kanisa Kwa kua la choo lilikua la muhimu zaid tulienda kukopa vifaa hardware ili tuje kulipa baada ya michango ya waumini kutimia, nilienda na mpakwa mafuta na kuwa mdhamini hardware kwasababu nafahamika mno, kutokana na kutingwa kazini michango aliipokea mpakwa mafuta na sikua na shaka, miezi michache mpakwa mafuta alifanikiwa kuhama kutokana na kuomba mwenyewe, apo ulkuja utitiri mrefu wa wafanya biashara kuulizia madeni Yao, tulipigwa butwaa maana Kila deni lilipitishwa mchango ukatimia na mpakwa mafuta akakabidhiwa, alpofuatwa alkohamia kuulizwa alijibu kirahisi tu kuwa watoto wake awezi kulala nje au kufa njaa akati fedha anaziona, huku nako wazee wa kanisa wakajitoa kwenye sakata msala wakawaatuachia wadhamini tuliongozana na mpakwa mafuta madukani
 
Kiliendelea nini? Huyo mtu bado ni Mchungaji? Ila ukiangalia ni kama alikuwa na shida tofauti za kimaisha ila akawa anaomba msaada kwa kanisa kwa kusingizia akalipe madeni. Msimlaumu Mchungaji

Sent from my SM-G800F using JamiiForums mobile app
 
Ukweli ni kwamba ana tamaa na mashindano Yani akiona wa madhehebu mengine wanapewa magari nyumba na ofa nyingi kutoka Kwa waumini au taasisi zao ananung'unika sana anaenda kufosi kukopa na kuzira kulipa, kibaya ni kwamba taasisi yake ililijua hili mapema kwaio Huwa inamuhamisha mara Kwa mara kumfichia aibu zake
 
Kumbe ni tamaa tu... so madeni alilipa nani? Na hayo maneno yalifika hata 9M?

Sent from my SM-G800F using JamiiForums mobile app
 
Nilisimamia kamati ya ujenzi kujenga choo na kukarabati maeneo mengine ya kanisa Kwa kua la choo lilikua la muhimu zaid tulienda kukopa vifaa hardware ili tuje kulipa baada ya michango ya waumini kutimia, nilienda na mpakwa mafuta na kuwa mdhamini hardware kwasababu nafahamika mno, kutokana na kutingwa kazini michango aliipokea mpakwa mafuta na sikua na shaka, miezi michache mpakwa mafuta alifanikiwa kuhama kutokana na kuomba mwenyewe, apo ulkuja utitiri mrefu wa wafanya biashara kuulizia madeni Yao, tulipigwa butwaa maana Kila deni lilipitishwa mchango ukatimia na mpakwa mafuta akakabidhiwa, alpofuatwa alkohamia kuulizwa alijibu kirahisi tu kuwa watoto wake awezi kulala nje au kufa njaa akati fedha anaziona, huku nako wazee wa kanisa wakajitoa kwenye sakata msala wakawaatuachia wadhamini tuliongozana na mpakwa mafuta madukani
mpakwa mafuta kapita na kitita.
 
Heri ya Jumapili kwa nyote.

Niende madani sasa.

Kwa nini uliacha kwenda kanisani mpaka leo hii? Ni nani au nini kilikufanya usiende tena kanisani? Mbona ulikuwa muumini mzuri tu na ulikuwa kiongozi wa vijana? Mbona ulikuwa kiongozi wa kwaya nk?

Unaweza ku share hapa sababu hasa iliyokupelekea ukaacha kwenda kanisani? Je, uliona ni usanii tu?

Karibu!

Sent from my SM-G800F using JamiiForums mobile app
Baada ya Imani kufa... Kiukweli jf ilinifanya nikashindwa kuamini kilakitu
 
Umeandika hivi.

"Kama kuna ubaya ,bila shaka kuna wema pia".

Off point, irrelevant.

Mimi nakwambia usinywe haya maji, yamechanganyika na mkojo nusu kwa nusu.

Wewe unaniambia kama yamechanganyika basi kuna maji pia, unakunywa.
Soma post yako ya kwanza na nilichojibu kwa kina,hakuna mahali ambapo nimezungumzia kanisa specifically,qlq usinipeleke huko ,
 
Back
Top Bottom