Kwanini uliacha kwenda kanisani?

Umejibu vema

Sent from my SM-G800F using JamiiForums mobile app
 
Waumini tumchangie Mtumishi anunue gari ya kumsaidia katika shughuli za kanisa. Ili mimi nikitaka Gari naambiwa nisali
 
Aseee! KATIKA Uzi huu, hii ni fundisho kubwa Sana
 
Daaah brother suala la huyo mama limenitoa machozi[emoji24][emoji24][emoji24] sasa hizo hela zilikuwa na kazi gani? Hivi kuna hela inayoweza kulinganishwa na utu/uhai wa mtu?

Sent from my SM-G800F using JamiiForums mobile app
 
Ni kumuamini pekee au na kufuata amri zake? Na amri zake unajua ni zipi?

Sent from my SM-G800F using JamiiForums mobile app
Kumuamini kwanza.
Kufuata amri zake kunafuata baada ya kujua kwamba huwezi kushinda dhambi kwa nguvu zako pekee bali unamhitaji Mungu akusaidie.
Sadaka ya Yesu ilitosha kufuta dhambi zako na umetakaswa milele kama ukiamini.
Haushiki amri za Mungu/Haujitahidi kushika amri za Mungu ili uende mbinguni bali kwa kuwa wewe ni kiumbe kipya kilichopokea roho wa Mungu na kupokea asili ya Mungu hivyo unashika amri za Mungu (Kumpenda Mungu na jirani) kwa kuwa wewe una asili ya upya ambapo roho wa Mungu ameungana na roho yako.
Kifupi ni kwamba tukirudi agano la kale biblia inasema kuhusu habari za waliongatwa na nyoka Waliambiwa wamtazame nyoka na watapona.
Imani kwa hapa sio kumshika nyoka na kumpiga+kuangalia nyoka aliyeinuliwa,HAPANA bali ni Kuamini tu kwa kumuangalia nyoka aliyeinuliwa.
Matendo ya kushika sheria yanasaidia wale ambao sio waamini kuona mwenendo wetu ulivyo na kupitia matendo unaweza ukamshawishi mtu kutaka kujua imani yako na kujifunza.Kinyume pia ni sawa,matendo mabaya huwasukuma wasioamini mbali na Kristo.
Waefeso 2:6-10 inaonesha kwamba "tumeokolewa (tulioamini) kwa imani wala si kwa matendo ili tusije tukajisifu"
Matendo (amri) ni muhimu kufuata kwa faida ya wanadamu/kuwavuta wanadamu kwa Kristo.
 
Mmmh! Wewe una neno tofauti mno...! Unamfahamu Yeye ashindaye?

Sent from my SM-G800F using JamiiForums mobile app
 
Je, kufanya ngono na mwanamke yaani kuzini, ni dhambi?

Sent from my SM-G800F using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…