Azul
JF-Expert Member
- Sep 10, 2021
- 739
- 1,568
hahahaha ukachoka kusaliii mwambaaa, ukafanya mambo mengineMi nadhani nilifika mahali nikachoka tu. Japo bado hua naenda kwa nadra sana
NB: Sijaacha kusali na kumuomba Mungu.
hahahaha ukachoka kusaliii mwambaaa, ukafanya mambo mengineMi nadhani nilifika mahali nikachoka tu. Japo bado hua naenda kwa nadra sana
NB: Sijaacha kusali na kumuomba Mungu.
Usipotangaza ndio unakuwa forgiven?Huwezi kumkuta Muislamu hata akiwa haendi msikitini ,haswali na mfanya maasi akijianika na kujisifia kuwa haendi msikitini ,labda huyo awe ameachana na imani ya mara nyingi huwa ujasiri huo kwani nafsi yake itakuwa inamsuta.
Misingi ya Uislamu ni haitakiwi mtu kutangaza uovu wake ikiwa Mwenyezi Mungu amemsitiri kwani ni uovu mkubwa mtu kufanya kibri katika maasi na kujisifia kuliko hata uovu wa kosa lenyewe.Na kuna uwezekano mkubwa asitubie kwa kuona ni kitu kizuri ila yule mwenye hofu na akaficha aibu zake kuna uwezekano mkubwa wa kupata rehma akatubu au kusamehewa.
Ila nashangaa upande wenu kila mtu anafunguka bila wasiwasi kama amefanya jambo ambalo zuri , huu sio uzi wa kwanza upo uzi mwingine watu wakijisifia masiku ambayo wasiyoenda Kanisani wakijiona watabe . Unakuta na mtu humu anahubiri neno la biblia lakini u amkuta kesho anapost uzi jinsi anavyogegeda watoto wa watu tena wakati mwingine akijisifu bila aibu.
Swali zuri sana!Usipotangaza ndio unakuwa forgiven?
Ulichokiongea ni kikubwa kuliko vichwa vya waaminio wengi mkuu.Kwa sababu niligundua Mungu hayupo na habari za kuwapo Mungu ni hadithi za kutungwa na watu tu.
Niligundua hivyo baada ya kufikiri sana kuhusu "the problem of evil", yani jinsi gani Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote kuumba ulimwengu unaoweza kuwa na mabaya, dhambi na shida ni contradiction, na mpaka leo hakuna aliyeweza kutatua contradiction hii.
Nina maswali yaliyokosa majibu ndio maana na hakuna aliyeweza kunijibu kwa ufasaha maswali yangu. Nadhani miaka ya hivi karibuni nitahamia kule...Heri ya Jumapili kwa nyote.
Niende madani sasa.
Kwa nini uliacha kwenda kanisani mpaka leo hii? Ni nani au nini kilikufanya usiende tena kanisani? Mbona ulikuwa muumini mzuri tu na ulikuwa kiongozi wa vijana? Mbona ulikuwa kiongozi wa kwaya nk?
Unaweza ku share hapa sababu hasa iliyokupelekea ukaacha kwenda kanisani? Je, uliona ni usanii tu?
Karibu!
Sent from my SM-G800F using JamiiForums mobile app
Wewe una 99% ni dume.Ulichokiongea ni kikubwa kuliko vichwa vya waaminio wengi mkuu.
Una mpango wa kurudi?Hakuna sababu ila niliacha AUTOMATICALLY tu.
Ooh kuleee...Nina maswali yaliyokosa majibu ndio maana na hakuna aliyeweza kunijibu kwa ufasaha maswali yangu. Nadhani miaka ya hivi karibuni nitahamia kule...
Ni kweli.
Ndiyo... nataka unioe ili uwe unanipa rinda tu (situmii k...m@)Ni kweli.
Unataka nikuoe
Ushaharibu baada ya kuweka matusi mkuu.Ndiyo... nataka unioe ili uwe unanipa rinda tu (situmii k...m@)
Sent from my SM-G800F using JamiiForums mobile app
acha ujinga, baki kwenye mada...Ndiyo... nataka unioe ili uwe unanipa rinda tu (situmii k...m@)
Sent from my SM-G800F using JamiiForums mobile app
Mfano ukafungua biashara kubwa hapo ulipo, je, utatumia nguvi ipi isiyoonekana kuilinda?mimiamadiwenani niliacha kuamini mungu yupo baada ya kuona video fulani kisha kufanya utafiti wangu.... kiukweli niseme tu, naona maisha yangu yamekua bora zaidi sasa ambavyo siamini kwenye mambo ya mbinguni na kuzimu
sijakuelewaMfano ukafungua biashara kubwa hapo ulipo, je, utatumia nguvi ipi isiyoonekana kuilinda?
Sent from my SM-G800F using JamiiForums mobile app
Ntahakikisha nakusogeza kwa Yesu awe bwana na mwokozi wa maisha yakomimiamadiwenani niliacha kuamini mungu yupo baada ya kuona video fulani kisha kufanya utafiti wangu.... kiukweli niseme tu, naona maisha yangu yamekua bora zaidi sasa ambavyo siamini kwenye mambo ya mbinguni na kuzimu
Hapana. Nimekuwa mkweli! Napenda sana ku thrust anal.Ushaharibu baada ya kuweka matusi mkuu.
Kusema kweli mchungaji wangu alifumaniwa na MKE wa mtu, kuanzia hapo nikaona kwenda kanisani ni kupoteza muda tu na kuliwa sadaka zangu













