Ingekuwa Rashid ni askofu wako ungeendelea kwenda? Mimi badala ya kusali ningekuwa naikumbuka Ile miuno yake..ningejitia dhambi bure bora kukaa nyumbani nisali na TVHaha..
Mwalimu bwana, series ya Askofu Rashid nilifanikiwa kuitia machoni ila bado haikuwa sababu ya Mimi kutokwenda ibadani.
Uliingia Ibada zote tatu??kuhusu sadaka na matoleo tu kwa ibada tatu mfululizo.
Pole Sana...mkuu natumai huko uliko Sasa hakuna majini?Kichwa cha habari kilipaswa kuwa" kwanini uliacha kwenda kwenye nyumba ya ibada" na sio "kanisani"
Anyway,.
Mimi niliacha kwenda msikitini kwa sababu ya uwepo wa majini. Acha niishie hapa.
Nitakuja kuwapa stori kamili wakati mwingine.
Mngemkata kwenye fungu lake la.kugawana.Aisee.Tulimpa dada yetu jukumu la kufatilia mirathi ya baba,bahati mbaya mirathi ikatoka tukiwa mbali kikazi,sister akachukua million 5 akapeleka kanisani km fungu la kumi. Aisee tulimmaind lkn haikusaidia kitu
Toka hapo mimi church kwa heri ilikuwa 2012 sijawah kanyaga
Sent from my SM-G531H using JamiiForums mobile app
Pokea...MAGARI I RECEIVE...POKEA Majumba I receive ..pokea MUME I receive..Mimi sio mhubiri mkuu, ila umesema kweli mahubiri ya kiislamu yanasisimua sana....muda wote mnafundishana na kuonyana kuhusu kumpendeza Mungu ila sisi huku daah ni mwendo wa kuelezana baraka tu za mwilini, utasikia kununua magari, kujenga kupata kazi. Yaani siku hizi ukisikiliza mahubiri ya kikristo ni kama vile unasikiliza warsha au semina ya wajasiriamali...kinachoongezeka ni kuwa tu huku anatajwa Mungu
MashaAllah...Nakuombea Mwenyezi Mungu mwingi wa rehema..akukunjulie riziki na akifanyie Mambo yako yawe mepesi..Niliacha kwenda kanisani sababu ya kuyaheshimu masanamu tuliyoyatengeneza, hasa kipindi cha ijumaa kuu na Xmas. Nikaamua kuslimu, huko ndiko nilikokutana na dini ya kweli ya Mwenyezi Mungu na mtume wake
Pole Sana...mkuu natumai huko uliko Sasa hakuna majini?
Kiukweli kabisa mahubiri ya siku hizi asilimia 80 hayana hata upakoPokea...MAGARI I RECEIVE...POKEA Majumba I receive ..pokea MUME I receive..
Upuuzi mtupu.MashaAllah...Nakuombea Mwenyezi Mungu mwingi wa rehema..akukunjulie riziki na akifanyie Mambo yako yawe mepesi..
Hakina dini ya kweli.Mbele Ya Allah Ni uisilamu...
Nawaambia ndg zangu,tatizo la waislam kwa sasa tunapenda ndogo twapenda saana ndogo mpk shetan anatukwepa huko jehanam-Ustaadhi.Pokea...MAGARI I RECEIVE...POKEA Majumba I receive ..pokea MUME I receive..
Mchungaji hula kondoo na kondoo hula nyasi..Pale nilipotongozwa na mchungaji mkuu wa kanisa nikaona isiwe tabu nikakata mguu wangu


Wewe n I.... kweli sasa kabla kulikuwa na mapapa wangapi?Siku Papa Francis alipotangaza mashoga wanakubalika kwenye kanisa wakati Biblia inapinga kabisa ushoga, nikajua hizi ndizo dini bandia tunazosoma kwnye Biblia, wale wanaosemwa na Yesu sikuwajua ninyi kamwe!
Sawa.Upuuzi mtupu.