Kwanini uliacha kwenda kanisani?

Kwanini uliacha kwenda kanisani?

Nawaza jinsi gani nitafunga ndoa bila kuingia kanisani, kama ni lazima basi ni hicho tu kitanirejesha huko... japo nitawekewa vikwazo kama vyote!
Kwani kabla ya hizi dini hazijaja watu walikuwa hawaoani na kufunga ndoa ama mpaka Uende kizungu ndo ujione Uko sawa.
Assume hakuna wazungu waliokuja afrika.
 
Unaacha kwenda kanisani kwa sababu hutaki kumtolea Mungu, baadaye unaenda kununua changudoa. Ole wako wewe mtoa pist na wanaokuunga mkono. Hata wazungu walipoleta injili Afrika kuna watu walitoa pesa yao huko Ulaya.
 
Kichwa cha habari kilipaswa kuwa" kwanini uliacha kwenda kwenye nyumba ya ibada" na sio "kanisani"

Anyway,.

Mimi niliacha kwenda msikitini kwa sababu ya uwepo wa majini. Acha niishie hapa.

Nitakuja kuwapa stori kamili wakati mwingine.
 
Ww ndio una vuruga kabisa kwaio ww wataka kusema wenye midhambi pale kanisan ndo wanahitajika

Mchungaji yupo madhabaun anaomba chawi liko apo apo
Yes wenye dhambi ndiyo wanaotakiw hasa... yesu mwenyewe alisema"Sikuja kuwaita watu wema, bali wenye dhambi ili wapate kutubu."
 
Ninyi endeleeni tu kutokwenda kanisani kwa amani, hakuna anayewahukumu, japokuwa naamini hapa yenyewe nafsi zenu zinawasuta ndiyo maana mnajifanya kutafuta justification tu ya matendo yenu hamna lolote..!
Kuna jamaa angu huku katombew* mke na mchungaji tena wa KKKT na huyo mchungaji ni maarufu sanaa..

Bado tu jamaa akasalishwe na mgoni wake?

Yaani akaseme Bwana awe nanyi huku kala papuchi ya mke wangu.

#YNWA
 
Unaacha kwenda kanisani kwa sababu hutaki kumtolea Mungu, baadaye unaenda kununua changudoa. Ole wako wewe mtoa pist na wanaokuunga mkono. Hata wazungu walipoleta injili Afrika kuna watu walitoa pesa yao huko Ulaya.
Hao hoo wazungu kule Congo wakati King Leopold anawakata na kuwaua watu kisa wameshindwa kukusanya utomvu wa rubber wa kutosha, eti mchungaji anakuja kusalia mtu kabla ya kunyongwa au familia yake kuteketezwa. Hawakuwa na guts za kukemea alichokuwa anafanya King Leopold. Ile ilikuwa tu biashara kama biashara nyingine. Sijawahi kusoma popote kama hizi dinizilishiriki kuwazuia wazungu wasitugeuze watumwa na kututumikisha.
 
Huwa kuna sababu mbalimbali ambazo humfanya mtu kutokupenda kuhudhuria ibada siku ya Jumamosi au Jumapili (kutokana na dhehebu).

Mimi sababu ilinifanya nisiwe nahudhuria kanisani ni pale mchungaji alipokuwa anahubiri kuhusu sadaka na matoleo tu kwa ibada tatu mfululizo.

Nini sababu yako?
Hofu ya jehanamu iliponiisha,nikaacha kwenda kanisani
 
Aisee.Tulimpa dada yetu jukumu la kufatilia mirathi ya baba,bahati mbaya mirathi ikatoka tukiwa mbali kikazi,sister akachukua million 5 akapeleka kanisani km fungu la kumi. Aisee tulimmaind lkn haikusaidia kitu
Toka hapo mimi church kwa heri ilikuwa 2012 sijawah kanyaga

Sent from my SM-G531H using JamiiForums mobile app
 
Kwani kabla ya hizi dini hazijaja watu walikuwa hawaoani na kufunga ndoa ama mpaka Uende kizungu ndo ujione Uko sawa.
Assume hakuna wazungu waliokuja afrika.

Ni kweli Mzee, tatizo mkumbo wa kijamii... na ndo ishakuwa namna sahihi.

Ndoa za kimila zipo ila huyo mke naye ni hadi akuelewe, hata bomani kiserikali tu.
 
Hapo ninatilia mashaka na afya yako ya mwili au akili.

Hakuna mwanaume 'timamu' anayelaani kuangalia mwanamke mzuri hapa duniani.

Kuangalia urembo wa asili walioumbwa nao wanawake si dhambi pia ni dawa inayotibu msongo wa mawazo.

Nimeshangaa sana kukutana na comment kama hii itokayo kwa mtu mwanaume anayedai kulaani kuangalia
Et!!! Kuangalia urembo wa asili walioumbwa nao wanawake si dhambi pia ni dawa inayotibu msongo wa mawazo.

Akili yako ni ya havyo na ulicho kiandika ni pumba tupu
 
Yes wenye dhambi ndiyo wanaotakiw hasa... yesu mwenyewe alisema"Sikuja kuwaita watu wema, bali wenye dhambi ili wapate kutubu."
Yule mchaw hakwenda kanisan kutubu alienda pale ili kujusafisha nachon kwa watu na ndivyo ipo ivo kuna watu wanaenda kanisan kujisafisha tu nachon kwa watu huyu mchaw ambae ni wakala wa shetan inashindikana hata mchungaj kumshtukia wachaw huna wanawapima iman zenu wakigundua hpo kanisan kwenu hamba kitu wanakuja kibao mnaxonewa apo apo nyiny hamuon na mabiblia mmeshika lkn iman zenu ni haba
 
Huwa kuna sababu mbalimbali ambazo humfanya mtu kutokupenda kuhudhuria ibada siku ya Jumamosi au Jumapili (kutokana na dhehebu).

Mimi sababu ilinifanya nisiwe nahudhuria kanisani ni pale mchungaji alipokuwa anahubiri kuhusu sadaka na matoleo tu kwa ibada tatu mfululizo.

Nini sababu yako?
Siendi kwenda kanisani wala msikitini kwa sababu hizi dini ni man made, sie tumedanganywa tu.
 
Back
Top Bottom