Kwanini uliacha kwenda kanisani?

Kwanini uliacha kwenda kanisani?

sawa mchicha miba tunaona matokeo yako ya kupumuliwa sana kisogon na wanaume wenzio mkund* na akili vyote vipo loose
Kwako matusi ni majaaliwa mtoto mjaa laana wewe, halafu unajitakatifusisha kutopenda na kulaani wanawake!

Haramu kwako kwa wengine ni halali na hauwezi kuibadili dunia watu wakafuata maisha upendayo wewe mtu mmoja, huo mfumo unaufahamu sana.

Lakini inadhani ninaongea na mvuta bhangi siyo kwa matusi hayo. kha!
 
Kanisa ni watu walioitwa kwa ajili ya kusudi la Mungu. Kanisa ni watu waliookoka. Mungu huokoa watu wake kwa lengo na kusudi lake. Sio kila Kanisa linalojiita Kanisa ni Kanisa kweli kweli. Mengine ni makusanyiko tu ya kidini ambayo kimsingi hata Mungu muumba mbingu na nchi hawajui. Mtu aliyeokolewa aakaliona kusudi la Mungu kumleta hapa duniani, hawezi kuchoka kuhudhuri aibadani kumwabudu Mungu Aliye hai! Hakuna raha duniani kama ile ya kuwa na ushirika na Muumba.

USHAURI: amua kumpa Yesu maisha yako kwa maana ya KUOKOKA, kisha Mungu atakuonesha eneo sahihi la kumwabudia nawe utapata raha nafsini mwako.

YESU NI MWOKOZI
 
Kuokoka ni kitendo gani..?
 
Siasa kwenye dini, utasikia Paroko na kitambo lake " Magufuli kafanya makubwa tumchagueni, Mara kafukuza korona" pumbavu kabisa.
 
Carleen Ungekuwa muumini wa kanisa la Gwajiboy ungeendelea kwenda kanisani.. kwa sasa akiwa ni mchungaji/mwanasiasa. Ukijumuisha na swala la wazi lililotokea Kawe linalovunja amri ya 'Usiibe' na 'Usiseme uongo'....Kuna msemo unasema 'hauwezi kuwa mwanasiasa bila kusema uongo'
Huwezi kuwatumikia mabwana wawili, Mungu na Kaizari. Kati ya hao wawili uchaguzi ulio nao ni mmoja tu. Ama utamtumikia Mungu ama Kaisari.
 
Kwako matusi ni majaaliwa mtoto mjaa laana wewe, halafu unajitakatifusisha kutopenda na kulaani wanawake!

Haramu kwako kwa wengine ni halali na hauwezi kuibadili dunia watu wakafuata maisha upendayo wewe mtu mmoja, huo mfumo unaufahamu sana.

Lakini inadhani ninaongea na mvuta bhangi siyo kwa matusi hayo. kha!
Ulipo Quote hizi 👇dharahu zako kwenye comment yangu na kuacha kutoa mchango wa mawazo yako #Ulijiona bora sana si!!? ndy
👇
Hapo ninatilia mashaka na afya yako ya mwili au akili.

Hakuna mwanaume 'timamu' anayelaani kuangalia mwanamke mzuri hapa duniani.

Kuangalia urembo wa asili walioumbwa nao wanawake si dhambi pia ni dawa inayotibu msongo wa mawazo.

Nimeshangaa sana kukutana na comment kama hii itokayo kwa mtu mwanaume anayedai kulaani kuangalia wanawake wazuri wazuri!
 
Kanisani au misikiti ni shule za kujifunzia habari za Mungu

Ukishamju Mungu huna haja kuendelea kwenda huko.

Niliacha kwenda huko nilipomjua Mungu.
 
Baada ya kugundua mungu wa kwenye biblia ameruhusu utumwa na kila afanyalo ni kwaajili ya waisrael pekee na sio mataifa mengine
 
Niliacha kwenda kanisani sababu ya kuyaheshimu masanamu tuliyoyatengeneza, hasa kipindi cha ijumaa kuu na Xmas. Nikaamua kuslimu, huko ndiko nilikokutana na dini ya kweli ya Mwenyezi Mungu na mtume wake
Huku ndio panakufaa,mnampiga shetani mawee
 
Michango

Michango

Michango

Ishu ya michango inanikera sana na ndiyo imenikimbiza mazima.
Bora nipambane na Mungu wangu kivingine.
Fikiria kwa mwaka mzima uchangie:
1.SADAKA
2.SHUKRANI
3.HARAMBEE
4.MATOMOLO
5.MCHANGO WA VIWAWA
6.ZAKA
7.SHUKRANI YA MWAKA
8.MICHANGO YA UJENZI WA MAKANISA, MAJUMBA YA MAPADRI,
9. MCHANGO WA JUMUIA
Hapo kwenye biashara nako nadaiwa na TRA, HLMASHAURI, KODI, NK.
mbaya zaidi mapadri wenyewe baadhi yao wanagonga mademu zetu mitaani.
UKIFIKIRIA KWA MAKINI NA KUPIGA HESABU MWAKA MZIMA UTAONA JUMLA YA PESA ULIZOPOTEZA
 
Ninyi endeleeni tu kutokwenda kanisani kwa amani, hakuna anayewahukumu, japokuwa naamini hapa yenyewe nafsi zenu zinawasuta ndiyo maana mnajifanya kutafuta justification tu ya matendo yenu hamna lolote..!
Kuna wanaoenda kanisani hawana nia ya kusali, yaani basi tu jamii imuone anahudhuria kanisani, nje ya kanisa wana matabia mabaya unaweza zimia. Huko ni kupoteza muda
 
Nawaza jinsi gani nitafunga ndoa bila kuingia kanisani, kama ni lazima basi ni hicho tu kitanirejesha huko... japo nitawekewa vikwazo kama vyote!
Ukikaribia kuoa anza kwenda kanisani, jumuiya kwa sana...fanya Kama mwaka mmoja hivi ukishaoa unapunguza unaenda mara moja moja ili watoto wasikose huduma ya ubatizo/ kipaimara. Ndivyo wengi wanavyofanya
 
Back
Top Bottom