NostradamusEstrademe
JF-Expert Member
- Jul 1, 2017
- 3,840
- 5,097
Tulipoambiwa tumchangie mchungaji anunue usafiri wakati mimi hata baiskeli sina.YESU alitembea kwa miguu wala alikuwa hatumii ngamia au punda.Dhehebu nali hifadhi
Wewe tuwakilishe mkuu usiwe na wasi wasi peponi unaingia bila hodiNinyi endeleeni tu kutokwenda kanisani kwa amani, hakuna anayewahukumu, japokuwa naamini hapa yenyewe nafsi zenu zinawasuta ndiyo maana mnajifanya kutafuta justification tu ya matendo yenu hamna lolote..!
Uko sahihi kabisa mkuu. Wengine wote ni walamba viatu tu hakuna cha walokole wala nini?Ni wasabato pekee waliobaki nje ya siasa za kusifu na kuabudu!
Unakuta wakati wa ibada wanaanza harambee na kuanza michango kwa kutaja watu tena ukivaa vizuri labda siku hiyo umebahatisha kasuti kako ndio unaanza kumbiwa utoe kulingana na suti yako mara wapambe wanakuja kukupepeaMichango
Michango
Michango
Ishu ya michango inanikera sana na ndiyo imenikimbiza mazima.
Bora nipambane na Mungu wangu kivingine.
Ulitaka uhubiriwe nini mtoa mada? Hayo unayotaka kuhubiriwa una uhakika utayafuata? Ukiambiwa mpende jirani yako kama nafsi yako utafanya hivyo? Ukiambiwa uache wivu, masengenyo, uzinzi n.k utaacha?
Wanafiki wengi wamejaa makanisani. Eti tumtangulize Mungu wakati jitu lenyewe lina roho mbaya kuliko sheitwaniYaani kutetea udhalimu wa ccm sitakanyaga kanisani
Mimi sio mhubiri mkuu, ila umesema kweli mahubiri ya kiislamu yanasisimua sana....muda wote mnafundishana na kuonyana kuhusu kumpendeza Mungu ila sisi huku daah ni mwendo wa kuelezana baraka tu za mwilini, utasikia kununua magari, kujenga kupata kazi. Yaani siku hizi ukisikiliza mahubiri ya kikristo ni kama vile unasikiliza warsha au semina ya wajasiriamali...kinachoongezeka ni kuwa tu huku anatajwa MunguSisi waislamu tunaitwa umma bora kwasababu ya kukatazana mabaya na kuamrisha mema. Kumbe huko hamfanyi hivyo sababu tu watu hawataacha mabaya na kutenda mema?
Hivi shehe wa mkoa wa daslam ni dini gani vileSisi waislamu tunaitwa umma bora kwasababu ya kukatazana mabaya na kuamrisha mema. Kumbe huko hamfanyi hivyo sababu tu watu hawataacha mabaya na kutenda mema?
Mi siwez acha aisee hata iwaje.Ninyi endeleeni tu kutokwenda kanisani kwa amani, hakuna anayewahukumu, japokuwa naamini hapa yenyewe nafsi zenu zinawasuta ndiyo maana mnajifanya kutafuta justification tu ya matendo yenu hamna lolote..!
Ninajua pa kukunyongea usijali,Mi siwez acha aisee hata iwaje.
Ahahahahahahah....kausha ..kausha!!!.Ninajua pa kukunyongea usijali,
Jiskie upo nyumbani..!! 😉
Sisi waislamu tunaitwa umma bora kwasababu ya kukatazana mabaya na kuamrisha mema. Kumbe huko hamfanyi hivyo sababu tu watu hawataacha mabaya na kutenda mema?