sawima
JF-Expert Member
- Jul 9, 2019
- 5,646
- 8,736
Mkuu unanitishaDahhhh.....
Ila kwetu michango imezidi mnoooo.....
1. Zaka
2.Sadaka
3. Mavuno
4. Utoto mtakatifu
5. Ujenzi wa nyumba ya Paroko
6. Ukarabati wa kanisa
7. Mfuko wa parokia
8. Wageni wa kanisa
9. Viti vya jumuiya


Mkuu Hutaki kujua kama umeorodheshwa katika list ya wateule!? 🙂2005 Ndio mwaka rasmi niliacha kwenda kwa kanisa ilikua Nairobi,Ni baada ya Nabii kusema kila muumini juma lijalo aende kanisani na shilingi elfu kumi ( ksh) ili amuangalie kama ameandikwa kwenye kitabu cha uzima mbinguni.tangu siku hiyo sija kanyaga tena
🤣🤣🤣 Noma Mkuu Nabii alipiga pesa za kutosha.Mkuu Hutaki kujua kama umeorodheshwa katika list ya wateule!? 🙂
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Matapeli tu hawa Chief.Noma Mkuu Nabii alipiga pesa za kutosha.
Watu walitoa pesa balaah Mkuu.wasio kuwepo ktk kitabu ilibid awaombee then wanatoa pesa tena ana waangalia kama wamekua registeredMatapeli tu hawa Chief.
Dini ya kweli ishagaenda zake.. tumebakia na mifumo ya kitapeli na utengeneza fedha tu.
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Mimi niliacha kwenda kanisani baada ya kanisa kuacha kumhubiri Mungu likaanza kumhubiri shetani.Huwa kuna sababu mbalimbali ambazo humfanya mtu kutokupenda kuhudhuria ibada siku ya Jumamosi au Jumapili (kutokana na dhehebu).
Mimi sababu ilinifanya nisiwe nahudhuria kanisani ni pale mchungaji alipokuwa anahubiri kuhusu sadaka na matoleo tu kwa ibada tatu mfululizo.
Nini sababu yako?
Sikutishi mkuu, hiyo ndio hali halisi tulionayo huku kwetu. Sijui ama sina uhakika na huko kwengine..🤷Mkuu unanitisha![]()
Misa ya Kwanza unaombwa Mchango wa Bafu la Padre limetitia anaweza Kuzama na Wiki ijayo mkamosa wa Kuwaendeshea IbadaHuwa kuna sababu mbalimbali ambazo humfanya mtu kutokupenda kuhudhuria ibada siku ya Jumamosi au Jumapili (kutokana na dhehebu).
Mimi sababu ilinifanya nisiwe nahudhuria kanisani ni pale mchungaji alipokuwa anahubiri kuhusu sadaka na matoleo tu kwa ibada tatu mfululizo.
Nini sababu yako?
2005 Ndio mwaka rasmi niliacha kwenda kwa kanisa ilikua Nairobi,Ni baada ya Nabii kusema kila muumini juma lijalo aende kanisani na shilingi elfu kumi ( ksh) ili amuangalie kama ameandikwa kwenye kitabu cha uzima mbinguni.tangu siku hiyo sija kanyaga tena



believe me asilimia 95 walienda na hiyo pesa na jamaa akawapigaAbsolutelybelieve me asilimia 95 walienda na hiyo pesa na jamaa akawapiga
Daniel mgogo namkubali sanaWachungaji matapeli kama Ngwajiboi..wachungaji kutafuna kondoo zao hadharani..mahubiri yasiyo na wokovu wala kukemea dhambi wao ni kupanda na kuvuna..wachungaji wasaka pesa..michango makanisani iliyokithiri we uliona wapi pipi kununuliwa kwa milioni kama sio kuongezeana umaskini.
Viongozi wa dini kutokemea na kushirikiana na wanasiasa wanafiki na wauaji.
Ila mahubiri ya mchungaji mgogo yananivutia sana hope nikianza kusali ntaaza kwenye kanisa analohubiria.
#MaendeleoHayanaChama
Mtu kama Sylvester Gamanywa anakuwaje kiongozi wangu!
Una ID nyingi kinyama yaani🤣🤣🤣Misa ya Kwanza unaombwa Mchango wa Bafu la Padre limetitia anaweza Kuzama na Wiki ijayo mkamosa wa Kuwaendeshea Ibada
Misa ya Pili unaomba Mchango wa Taulo la Padre kwani lile la zamani Shetani kalipitia Kambani
Misa ya Tatu unaombwa Mchango wa Kunyonya Kinyesi cha Padre wakati anayekijaza ni Yeye Mwenyewe kwa Utashi wake
Misa ya Nne ya Watoto unaombwa Mchango wa Kumuwezesha Padre Kuzurula katika Vigango vya Jumuiya
Kwa hali hii Mtu kama GENTAMYCINE nikiacha kwenda Ibadani Kanisani na nikiendelea Kuiabudu Mizimu yangu ya Kizanaki na Kimakuwa nakosea?