Kwanini Uislamu unaaminiwa ni dini moja kwa walimwengu wote

Kwanini Uislamu unaaminiwa ni dini moja kwa walimwengu wote

My people,​


Kwa Nini Uislamu Unaaminiwa Kuwa ni Dini Moja kwa Ajili ya Ulimwengu Wote

Uislamu ni dini inayojitambulisha wazi kuwa ujumbe wa Mwenyezi Mungu kwa wanadamu wote, bila kujali rangi, kabila, taifa au zama. Tofauti na dini zilizokuja kwa jamii au watu maalumu, Uislamu unaaminiwa kuwa ni mwendelezo na ukamilisho wa ujumbe wa mbinguni uliokusudiwa kuongoza ulimwengu mzima.

1. Ujumbe Wake ni wa Kijumla
Uislamu haukubagua watu kwa misingi ya nasaba au jiografia. Qur’ani inawahutubia wanadamu wote, si Waarabu pekee wala kizazi fulani. Mtume Muhammad ﷺ alitumwa kama Mtume wa watu wote, jambo linalothibitisha kuwa Uislamu haukufungwa na mipaka ya taifa au bara. Huu ni ujumbe unaovuka lugha na tamaduni.

2. Unalingana na Fitra ya Mwanadamu
Uislamu unaendana na maumbile ya asili ya binadamu. Unatambua mahitaji ya kiroho, kimaadili na kimwili kwa uwiano. Unafundisha kumuabudu Mungu Mmoja, kufanya mema, kuepuka madhara, na kuishi kwa haki. Mafundisho haya hayapitwi na wakati, kwa sababu yanagusa kiini cha utu wa mwanadamu.

3. Kanuni Zake ni za Haki na Usawa
Uislamu unasimamia haki bila upendeleo. Watu wote ni sawa mbele ya Mwenyezi Mungu; kilicho bora ni uchamungu na matendo mema, si rangi, mali au cheo. Kanuni hii imeifanya dini hii kupokelewa na watu wa mataifa mbalimbali, kwani inabomoa tabaka na kujenga heshima ya kibinadamu.

4. Uislamu Unajumuisha Maisha Yote
Tofauti na mifumo inayogusa ibada pekee, Uislamu unatoa mwongozo wa maisha kwa ujumla: ibada, familia, uchumi, siasa, haki za binadamu, na mahusiano ya kijamii. Hii inaufanya Uislamu uwe dini kamili inayoweza kuongoza jamii katika zama zote, iwe ni nyakati za kale au za kisasa.

5. Qur’ani ni Kitabu cha Milele
Qur’ani Tukufu imehifadhiwa bila kubadilishwa, na ujumbe wake bado ni hai na unaeleweka katika kila kizazi. Inahimiza elimu, tafakuri, na matumizi ya akili. Maudhui yake yanagusa masuala ya maisha ambayo bado ni changamoto kwa binadamu wa leo, jambo linaloifanya iwe rejea ya kudumu kwa wanadamu wote.

6. Mtume Muhammad ﷺ ni Rehema kwa Wote

Mtume Muhammad ﷺ alitumwa kama rehema kwa walimwengu wote. Maisha yake yanaonesha mfano wa huruma, subira, uadilifu na uvumilivu. Alizungumza na watu wa tabaka zote na aliishi kama kielelezo cha maadili ya Uislamu kwa vitendo, si kwa maneno pekee.

Hitimisho
Uislamu unaaminiwa kuwa ni dini ya ulimwengu wote kwa sababu ujumbe wake ni wa kijumla, unaendana na fitra ya mwanadamu, unasimamia haki na usawa, na unatoa mwongozo kamili wa maisha. Ni dini inayounganisha wanadamu chini ya maadili ya kumtambua Mungu Mmoja, kupendana, na kuishi kwa amani. Katika ulimwengu uliojaa migawanyiko, Uislamu unajitokeza kama mwaliko wa umoja na uongofu kwa wote.

Ni hayo tu!
adriz anajifanyaga kujificha watu tumeshakujua.
 
Kafie mbele Yahudi Netanyahu worshipper , sina muda wa kubishana na wabugia mabange
Tumeshajua ID zako humu. Unajifanya mjanja umejulikana.

Bado hujanijibu swali langu. Dingi yake Mudi mzee Abdullah alikuwa muislam?
 
Allah karuhusu Wanaume kupiga wake zao.

By the way tulikuwa tunaongelea usawa. Mtoa mada kasema Uislam kuna usawa kwa watu wote.

Je? Kuna sehem wameandika pia kwamba wanaume nao wakifanya uasi wapigwe na wake zao?.

Alaf kule peponi wanawake kaz yao ni kutombwa tu.

Yaan mwanamke wa kiislam atende mema duniani ili akienda peponi arudishiwe bikra na awe anatombwa milele.
😂😂😂😂😂😂😂
 
Mtu kupigwa Kuna ubaya gani ?

Wagalatia Elimu yenu ndogo pamoja uwezo wa kufiri kiasi cha kupelekea kufuata mambo kibubusa .

Kabla ya kusema kupiga umeona process zake mtu anazotaka kupitia ? hapo uoni kwanza mtu anatakiwa aonywe na aelimishwe kwa taratibu zote halafu kupiga ni jambo la mwisho kabisa.

Na kupiga mafundisho yanasema si kama unapuga mwizi , haitakiwi kumjeruhi Wala kumpiga usoni ni kama kumsukuma tu kidogo au kumgusa kwa njia ya kumuonya na sio kupiga mnakojua nyie ngumi , bakora na makonde mazito
Uongooo, mbona huko madrasa watoto wananyukwa balaa, kisa kushindwa kusoma juzuu??
 
Tumeshajua ID zako humu. Unajifanya mjanja umejulikana.

Bado hujanijibu swali langu. Dingi yake Mudi mzee Abdullah alikuwa muislam?
Akili yako ndogo sana.

Tafuta wavuta bange wenzako mjadiliane nao , nina miaka kibao sijawahi kujadiliana na wewe mambo ya kidini na sitofanya hivyo akili yako ndogo sana haustahili mtu mwenye akili kujadiliana na wewe
IMG_20220419_163155.jpg

1000027044.jpg
 
Uongooo, mbona huko madrasa watoto wananyukwa balaa, kisa kushindwa kusoma juzuu??
Sheria zipo na sio wote wanatimiza , Mimi mwenyewe niliwahi kuacha madrasa nipo darasa la 3 baada ya kupigwa kama mbuzi kwa kusingiziwa sijawahi kurudi kusoma madrasa mpaka Leo nilivyokuwa mkubwa ndio nikaanza kusoma mwenyewe vitabu na kwa walimu privately
 
Akili yako ndogo sana.

Tafuta wavuta bange wenzako mjadiliane nao , nina miaka kibao sijawahi kujadiliana na wewe mambo ya kidini na sitofanya hivyo akili yako ndogo sana haustahili mtu mwenye akili kujadiliana na wewe
View attachment 3527216
View attachment 3527215
Narudia tena na usipojibu hili swali nitakuzaba mfululizo wa makofi.

Mshua wake Mudi mzee Abdullah alikuwa muislam?

C'mon!
 
Milele ni ya Mungu pekee ,ukisema Quran ni kitabu cha milele(external)maana yake hakijaumbwa . Kama hakijaumbwa basi nacho ni Mungu pia.

Hapo kwa Mohamed kwamba ni rehema kwa walimwengu kuna ukakasi sana. Mohamed sio mfano bora hata kidogo kwani alioa mtoto wa miaka 6,alipora mke wa mtoto wake wa kufikia.

Mohamed alikuwa ana wakula watumwa wake wa kike,wake zake walipomjia juu akashushiwa verse ya kumruhusu kufanya atakavyo. Mkewe mtoto (Aisha) akasema,inaonekana Mungu wako na haraka sana ya kukushushia verse za kutimiza haja zako.

Mohamed alimpora mfuasi wake mwanamke mateka wa vita(Safi ya) baada ya kuambiwa kuwa alikuwa mwanamke mzuri kuliko wote wa eneo lile. Kisha akamuoa bila mahari na kumlala usiku wa siku hiyo hiyo.

Mlinzi wa Mohamed alikesha nje ya hema lake, Mohamed alipotoka asubuhi na kumkuta pale akamuuliza kwanini yuko pale? Akajibu nilihofia huyu mwanamke asije akakudhuru kwa maana tumeua watu wote wa familia yake.

Huyu mtu hakuwa rehema kwa walimwengu hata kidogo. Kasome historia ya dini yako vizuri.
 
Back
Top Bottom