walimwengu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Jack Daniel

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Bro, timiza unayoyaweza , Dunia wala haipo Kasi ni walimwengu tu

    Salaam jamiiforum. Ni April 19 leo mwaka 2026, Siku zinakimbia, yaani bado siku kadhaa tu iadhimishwe siku ya wafanyakazi,bado wiki chache kufikisha nusu mwaka. Ama kweli siku hazigandi. Cha ajabu maisha ni kama yamesimama ,mishe hazisogei,mipango haitimii, anyway kila kitu kina wakati wake...
  2. Pakome

    JamiiForums Tanzania Kwa miaka mingi sana Walimwengu tulimweshimu sana Nicki Minaj lakini hatukujua kama ni mwehu, shutuma za kumwita Jay Z mchawi zitamgharimu

    Nicki Minaj anaonekana kama ana ajitambua lakini bado ana tatizo kubwa sana la kukosa akili Hivi majuzi amemuita Jay Z mchawi na hii ni kwasababu ya utajiri alio nao Jay Z Watu wasiokuwa na uelewa kila wanapowaona matajiri huwa wanawatupia kashafa chafu hakuna siku watawapongeza wala kuwasifia...
  3. ERTUGRUL BEY

    JamiiForums Tanzania Kwanini Uislamu unaaminiwa ni dini moja kwa walimwengu wote

    My people, Kwa Nini Uislamu Unaaminiwa Kuwa ni Dini Moja kwa Ajili ya Ulimwengu Wote Uislamu ni dini inayojitambulisha wazi kuwa ujumbe wa Mwenyezi Mungu kwa wanadamu wote, bila kujali rangi, kabila, taifa au zama. Tofauti na dini zilizokuja kwa jamii au watu maalumu, Uislamu unaaminiwa kuwa...
  4. D

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Walimwengu ninechanganyikiwa; Nimezifuma meseji za mpenzi wangu akimuomba jamaa amuoe kwa kutumia vocha yangu!!

    Mbaya zaidi amezituma muda mfupi tu baada ya kumtumia vocha, Kinachouma sana ni kwamba kazituma akiwa ndani ya gari anakuja kwangu baada ya kumtumia nauli (nilidhani atakuwa ananifikiria Mimi kumbe sivyo mbwa huyu)., Inasikitisha amemshawishi jamaa ikiwezekana abadilishe dini hata kwa kuzuga...
  5. Last_Joker

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania “Wanaume Kuwahi Kuoa: Ukomavu Kiakili au Presha Kutoka kwa Walimwengu?”

    “Bro una miaka 28 na bado hujaoa?” Hili swali linaulizwa kwa upole lakini linatia presha kichwani. Hasa ukitokea familia au jamii inayopenda harusi kuliko kunyanyuana kimaendeleo. 😂 Siku hizi kuna mjadala wa moto: wanaume wanaooa mapema, wanafanya hivyo kwa sababu wamekomaa kimaisha na kihisia...
  6. Nyafwili

    JamiiForums Tanzania Enai Na Abes Life

    Sasa Enai anarudi duniani kama binadamu tena, akiwa na jukumu moja kuu la kukusanya vipande 7 vya roho yake kabla ya siku 50 kuisha. . Kijana anayeitwa Enai anafariki ghafla. Kabla ya kuenda moja kwa moja peponi au kuzimu, anakwama katika hali iitwayo "Abes Life" – sehemu ya mpito ambapo roho...
Back
Top Bottom