adriz
JF-Expert Member
- Sep 2, 2017
- 17,478
- 39,556
Mtu kupigwa Kuna ubaya gani ?Allah karuhusu Wanaume kupiga wake zao.
By the way tulikuwa tunaongelea usawa. Mtoa mada kasema Uislam kuna usawa kwa watu wote.
Je? Kuna sehem wameandika pia kwamba wanaume i wakifanya uasi wapigwe na wake zao?.
Alaf kule peponi wanawake kaz yao ni kutombwa tu.
Yaan mwanamke wa kiislam atende mema duniani ili upate uzima wa milele wa kutombwa.
Wagalatia Elimu yenu ndogo pamoja uwezo wa kufiri kiasi cha kupelekea kufuata mambo kibubusa .
Kabla ya kusema kupiga umeona process zake mtu anazotaka kupitia ? hapo uoni kwanza mtu anatakiwa aonywe na aelimishwe kwa taratibu zote halafu kupiga ni jambo la mwisho kabisa.
Na kupiga mafundisho yanasema si kama unapuga mwizi , haitakiwi kumjeruhi Wala kumpiga usoni ni kama kumsukuma tu kidogo au kumgusa kwa njia ya kumuonya na sio kupiga mnakojua nyie ngumi , bakora na makonde mazito