Rafiki yake mkubwa alikuwa riz. Hivyo mnawaona watanzania wajinga sana. Kitu kibaya tunachofanya ni jamani tusiseme tusije tukamharibia mtu. Magufuli ametufundisha tuwe jasiri na tuongee, na watu sasa wanaongea lakini hataki kusikia.Nami niongezee ....Hivi kuwa na vyeti feki kuna madhara kwa taifa kuliko madawa ya kulevya....makonda alikua kwenye bunge la katiba. ...makonda alikua dc...kipindi cha kikwete...leo hii ndo vyeti vyake fake vimeleta madhara baada ya kuwataja wahusika wa madawa ya kulevya?..
Hiko cheti kianzio tu. Huyo Bashite sio mtu bright na matukio yanajionyesha. Uende kuvamia sehemu bila kukumbuka kuhusu camera. Naona ilikuwa Shock kuona ile clip. Unachukua magari ya serikali na ya "wauza unga" hufikirii kabisa ownership inaweza kuwa traced. Naamini hapa kuna evidence zaidi hata kuliko shutuma alizomnong'oneza mh mpaka Kabwe akatumbuliwa.
kitu ambacho ungeniambia na kukuelewa ni kwamba kuna ukomo wa kushtakiwa kosa Hilo la jinai. Mathalani ikipita miaka kumi basi hatuwezi kumshtaki. Twende kisheria zaidi.