Mtukufu Rais, chukua hatua za haraka, RC wako atakupaka tope lenye harufu mbaya ya ufisadi

Mnyanyembe wa Mboka

JF-Expert Member
Feb 10, 2017
2,348
3,036
Muheshimiwa Raisi, ikiwa ushilawadu unaufahamu kama ulivyothibitisha kwenye "Kituo Kishiriki cha Redio ya Serikali Clouds FM" naamini kabisa hata humu JF lazima utakua unapita kukagua baadhi ya mambo yanavyokwenda.

Ikiwa utaupitia uzi huu, nikua nakukumbusha tu kwamba, Tafadhali, chonde chonde nakuomba chukua hatua za haraka kuhusu huyu mkuu wa mkoa wako wa DSM, Ndg. Paul Makonda (Daudi Bashite) laa sivyo atakuchafulia utawala wako na hivyo kukupotezea imani kwa wananchi.

Kibaya zaidi tunaanza kupata mashaka kwa kuwa kila analolifanya tayari lina baraka zako, hivyo basi katika hayo anayo yafanya baadhi yake yanaanza kutoa harufu mbaya ya ufisadi. Mtukufu Raisi napata hofu, samahani kwa hisia zangu ila isije kua harufu hiyo pia ina baraka zako!!!

Nasema hivyo kwa sababu kila kukicha tunashuhudia mengi yanaibuka nyuma ya pazia kwa ushahidi unaofuatana bila ya shaka ndani yake (Consistent evidence, without readonable doubts) tena ni ushahidi ambao unamazingira yanayotosheleza kumtia mtu hatiani.

Tukianzia na zoezi zima la vita dhidi ya waingizaji, wasambazaji na watumiaji wa "Madawa ya Kulevya" ambayo RC Makonda alianza nayo, kwa staili ya kutaja Majina hovyo tena hadharani kabla ya uchunguzi wa kina, na baadae tukaona umempongeza kwa kumpa baraka zote juu ya zoezi hilo.

Lakini wajuzi wa mambo wakaipinga staili ile ya kutaja majina hovyo tena hadharani, huku wakilalamika kua chombo mahsusi kipo kwa ajili ya zoezi hilo, pia hata hiyo listi ya majina ilionekana na wajuzi wa mambo kua haikua rasmi, ni kama mtu aliamua kuandika kwa mkono tu tena kwa kukurupuka akiwa na lengo binafsi

Pia orodha haikuchapishwa wala kuwa na kumbukumbu ya chapisho kama nyaraka za serikali zinavyopashwa kuwa. Hali kadhalika utaona hata majina yenyewe, hayakuandikwa kiuchunguzi, yameandikwa kienyeji kwa kutumia "a.k.a" na mengine yamejirudia ili kujaza idadi ya majina iliyotajwa.

Mfano:
No. 49. Juma a.k.a Jimmy
No. 18. Idrisa Maunga - Msasani
No. 19. Boss Chizenga
No. 50. Boss Chizenga***

Ilipoonekana kuwa wajuzi wa mambo walio lalamika hawa kukosea, ghafla kama watu mlio amshwa kutoka usingizini mkakumbuka kua huu sio utaratibu rasmi, na ndipo ghafla mkakumbuka kuwa kuna chombo rasmi kilichoundwa kwa mujibu wa sheria, kusimamia jambo hili. Jambo ambalo utawala wako ulikiri kuwa mlilisahau ... hivyo basi utakubaliana na mimi kuwa mwanzo wa vita hii RC wako alikurupuka.

Sasa swali kwa nini akurupuke bila ya utaratibu au alikua na lengo binafsi, kwa nini umpe baraka zako kwa zoezi la kitaifa bila ya kufuata utaratibu? ulikua unajua sababu za kukurupuka kwake?

Tukiachana na hilo la orodha ya majina ya kiholela, mara baada ya orodha hiyo zikaibuka tuhuma za RC wako kugushi vyeti, mwanzoni ilikua kama masihara lakini kadri siku zilivyo kwenda viliibuka vitu vingi vilivyo ashiria ukweli wa jambo hilo, licha ya yeye wala muhusika yeyote kukanusha jambo hili na wewe ukaka kimya bila ya kuchukua hatua yeyote.

Mtukufu Raisi kukaa kwako kimnya au mamlaka zako kulifumbia macho jambo hili la vyeti bila ya kutolea maelezo wala yeye mwenyewe kuzungumzia chochote, kunazaa mambo yenye harufu mbaya ya kifisadi ambayo hatutokosea tuki kuhusisha nayo, kwa sababu kila jambo analolifanya unampa baraka zako huku akijigamba hakuna atakae muweza.

Kwakifupi tu kumekua na tetesi kua RC yupo karibu sana na watu wanao itwa GSM of course hakuna asie fahamu kuwa hawa jamaa hawana historia nzuri katika nchi hii, mara baada ya orodha ile kutajwa tetesi hizi kuhusu GSM zilishika kasi ya moto wa kifuu katika kuthibitisha hilo watu wakaja na ushahidi wa tiketi wakimuonyesha RC kafanya safari na Engineer wa GSM kwenda South Africa.

Safari ambayo ampaka sasa haijajulikana ilikua ni ya kiserikali au binafsi, na hakuna mamlaka yako yoyote iliotoa ushirikiano wa kuweka wazi ukweli wa safari hiyo zaidi ya kupiga danadana kwa waandishi waliofuatilia safari hiyo kutoka kwa mamlaka moja kwenda nyingine, je inawezekana ulikua unajua safari hiyo?

Baada ya RC Makonda kurudi safari hiyo, wingu na anga la Nchi hii lilikua limegubikwa na sintofahamu ya Vyeti vya RC Makonda, hali kadhalika sinto fahamu ya safari yake na Engineer wa GSM ambao anashutumiwa kuwa niarfike zake wa karibu amabo walifikia kukarabati ofisi ya serikali kwa pesa zao mfukoni nahata kununua gari analotumia RC huyo kwa shughuli za serikali

Kana kwamba muheshimiwa hilo hukuliona umeendelea kumsifu RC wako Makonda na kumuacha arindime katika viunga mbalimbali vya jiji hili kama muwakilishi wako katika shughuli mbalimbali za kiserikali huku akijigamba kwambabyeye hawezekani bila ya wewe kuchukua hatua yeyote.

Mtukufu Raisi, mpaka kufikia leo hii tayari kuna uthibitisho usio tia shaka ndani yake kua RC Makonda katika orodha yake ya majina ya watuhumiwa wa Dawa za kulevya kuna watu waliwekwa ili kutishwa watoe hongo ya magari, na pia inaonekana kuna ukweli wa ushirikiano wa karibu kabisa na GSM watu ambao Mtukufu Raisi uligoma kabisa kuwaongelea uliponingia madarakani licha ya watu kulalamika kua wale ni simba walio vaa ngozi ya kondoo kutoka Home Shopping Centre mpaka GSM

Sasa Mtukufu Raisi huoni mpaka hapa tunaanza kupoteza imani na wewe na kuhisi kua labada na wewe umo katika michongo hii ya dili za Makonda ... Mtukufu kama haumo kwenye mchongo wadili hizi za kibabe za RC wako Makonda ambae atakua RC wa kihistoria nchi hii, kwa vituko na visa, nakuomba uchukue hatua za haraka dhidi yake laa sivyo ataivua nguo serikali yako na kuipaka tope jeusi linalo nuka harufu mbaya ya ufisadi na ubabe wa kidikteta.

Naomba Kuwasilisha Mawazo Binafsi,
Wenu Mnyamwela wa Mboka.
======

---------- Wengine ----------
Kutokana na Hali inayoendelea Sasa, ni vema Kawawa akafunika Kikombe, IMETOSHA.

Watu wameamua kumuanika hadharani Mh Daudi A. Bashite, na kwa jinsi huyu ndugu yetu alivyo Nina uhakika kabisa watu wanajua mambo yake mengi sana.

Nimeona mpaka watu wameanza kuzungumzia suala la kutorokea UK, na watu wanadai ushahidi upo, laiti kama Toka ilipotajwa tu mambo ya Vyeti ingechukuliwa hatua madhubuti huenda haya yasingewekwa hadharani.

Nimeanzisha thread hii kumshauri Magufuli kwamba mtu mzima akivuliwa Nguo hua anachutama, akijifanya anaendelea kiroho ngumu Aibu kubwa Zaidi itamsibu. Mtoe huyo Jamaa kwenye MFUMO, kama ni undugu au lolote mnaweza kuendelea tu bila huyu David kua katika nafasi aliyonayo Leo.

Najua hutishwi na yeyote, na najua Pia kwa jinsi ulivyo unawaza kuamua kuliacha kama lilivyo ili tu kuwakomoa wale unaowaita "wanufaika wa madawa" ILA Hili suala halitapita hivi hivi. Najua pia ukitaka utatawala unavyotaka wewe ila LEGACY BaBa..

LEGACY itakufanya uheshimike sana, wewe, Mwl Pombe Janeth, Akina Jesca, Jose na wengineo wataishi kwa Raha kwakujivunia Legacy yako.

Hawa wanaomrushia mishale Daudi wanakurushia na wewe, wameshasema Mengi sana na Nakuhakikishia ukiendelea kukaa kimya LITAKALOKUJA ni baya sana, baya Zaidi ya haya yote na watu wateweka ushahidi kama kawaida yao..

Magufuli Mvue huyo mwanao Madaraka atakuabisha siku sio nyingi. Watu hawana heshima ila ukiwaheshimu wanakuheshimu.

"Kawawa Funika kikombe"- JKN.

Tuhuma hizi zinazoelekezwa kwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam. Mh. Makonda kuwa anatumia cheti sio chake, na amedanganya majina yake, pia inasemekana majina aliyokuwa anayatumia kuwataja kama wauza madawa yanamaslahi ya kwake binafsi, pia inasemekana amehongwa mapesa na magari ambayo watu yanayaona na hata ushahidi wa magari hayo na kadi za magari zipo.

Tuhuma hizi sio ndogo Mh. Rais, mbaya zaidi inasikika kuwa ameomba VISA ya miaka Mitano ya kuishi United Kingdom yaani UK, na VISA hyo imekataliwa pia anahaha kutaka kurudishiwa pesa, lakin bado.

Hizi tuhuma kwa cheo kama chake hazifai, maana zinaligawa taifa letu.

Najua unapitiaga humu JF naomba hata wasaidizi wako wakushauri.

Mungu akutunze tunakuombea. Mh. Rais
 
Kwakweli juhudi zote ambazo niliamini mheshimiwa anazifanya kwa ajili ya taifa nimeamini ni gelesha tu haiingii akilini ukafumbia macho suala kama hili wakati kuna mamia ya watanzania wengine wamekua victim wa hili suala. Hii nchi mi ntahama.
 
Muheshimiwa Raisi, ikiwa ushilawadu unaufahamu kama ulivyothibitisha kwenye "Kituo Kishiriki cha Redio ya Serikali Clouds FM" naamini kabisa hata humu JF lazima utakua unapita kukagua baadhi ya mambo yanavyokwenda.

Ikiwa utaupitia uzi huu, nikua nakukumbusha tu kwamba, Tafadhali, chonde chonde nakuomba chukua hatua za haraka kuhusu huyu mkuu wa mkoa wako wa DSM, Ndg. Paul Makonda (Daudi Bashite) laa sivyo atakuchafulia utawala wako na hivyo kukupotezea imani kwa wananchi.

Kibaya zaidi tunaanza kupata mashaka kwa kuwa kila analolifanya tayari lina baraka zako, hivyo basi katika hayo anayo yafanya baadhi yake yanaanza kutoa harufu mbaya ya ufisadi. Mtukufu Raisi napata hofu, samahani kwa hisia zangu ila isije kua harufu hiyo pia ina baraka zako!!!

Nasema hivyo kwa sababu kila kukicha tunashuhudia mengi yanaibuka nyuma ya pazia kwa ushahidi unaofuatana bila ya shaka ndani yake (Consistent evidence, without readonable doubts) tena ni ushahidi ambao unamazingira yanayotosheleza kumtia mtu hatiani.

Tukianzia na zoezi zima la vita dhidi ya waingizaji, wasambazaji na watumiaji wa "Madawa ya Kulevya" ambayo RC Makonda alianza nayo, kwa staili ya kutaja Majina hovyo tena hadharani kabla ya uchunguzi wa kina, na baadae tukaona umempongeza kwa kumpa baraka zote juu ya zoezi hilo.

Lakini wajuzi wa mambo wakaipinga staili ile ya kutaja majina hovyo tena hadharani, huku wakilalamika kua chombo mahsusi kipo kwa ajili ya zoezi hilo, pia hata hiyo listi ya majina ilionekana na wajuzi wa mambo kua haikua rasmi, ni kama mtu aliamua kuandika kwa mkono tu tena kwa kukurupuka akiwa na lengo binafsi

Pia orodha haikuchapishwa wala kuwa na kumbukumbu ya chapisho kama nyaraka za serikali zinavyopashwa kuwa. Hali kadhalika utaona hata majina yenyewe, hayakuandikwa kiuchunguzi, yameandikwa kienyeji kwa kutumia "a.k.a" na mengine yamejirudia ili kujaza idadi ya majina iliyotajwa.

Mfano:
No. 49. Juma a.k.a Jimmy
No. 18. Idrisa Maunga - Msasani
No. 19. Boss Chizenga
No. 50. Boss Chizenga***

Ilipoonekana kuwa wajuzi wa mambo walio lalamika hawa kukosea, ghafla kama watu mlio amshwa kutoka usingizini mkakumbuka kua huu sio utaratibu rasmi, na ndipo ghafla mkakumbuka kuwa kuna chombo rasmi kilichoundwa kwa mujibu wa sheria, kusimamia jambo hili. Jambo ambalo utawala wako ulikiri kuwa mlilisahau ... hivyo basi utakubaliana na mimi kuwa mwanzo wa vita hii RC wako alikurupuka.

Sasa swali kwa nini akurupuke bila ya utaratibu au alikua na lengo binafsi, kwa nini umpe baraka zako kwa zoezi la kitaifa bila ya kufuata utaratibu? ulikua unajua sababu za kukurupuka kwake?

Tukiachana na hilo la orodha ya majina ya kiholela, mara baada ya orodha hiyo zikaibuka tuhuma za RC wako kugushi vyeti, mwanzoni ilikua kama masihara lakini kadri siku zilivyo kwenda viliibuka vitu vingi vilivyo ashiria ukweli wa jambo hilo, licha ya yeye wala muhusika yeyote kukanusha jambo hili na wewe ukaka kimya bila ya kuchukua hatua yeyote.

Mtukufu Raisi kukaa kwako kimnya au mamlaka zako kulifumbia macho jambo hili la vyeti bila ya kutolea maelezo wala yeye mwenyewe kuzungumzia chochote, kunazaa mambo yenye harufu mbaya ya kifisadi ambayo hatutokosea tuki kuhusisha nayo, kwa sababu kila jambo analolifanya unampa baraka zako huku akijigamba hakuna atakae muweza.

Kwakifupi tu kumekua na tetesi kua RC yupo karibu sana na watu wanao itwa GSM of course hakuna asie fahamu kuwa hawa jamaa hawana historia nzuri katika nchi hii, mara baada ya orodha ile kutajwa tetesi hizi kuhusu GSM zilishika kasi ya moto wa kifuu katika kuthibitisha hilo watu wakaja na ushahidi wa tiketi wakimuonyesha RC kafanya safari na Engineer wa GSM kwenda South Africa.

Safari ambayo ampaka sasa haijajulikana ilikua ni ya kiserikali au binafsi, na hakuna mamlaka yako yoyote iliotoa ushirikiano wa kuweka wazi ukweli wa safari hiyo zaidi ya kupiga danadana kwa waandishi waliofuatilia safari hiyo kutoka kwa mamlaka moja kwenda nyingine, je inawezekana ulikua unajua safari hiyo?

Baada ya RC Makonda kurudi safari hiyo, wingu na anga la Nchi hii lilikua limegubikwa na sintofahamu ya Vyeti vya RC Makonda, hali kadhalika sinto fahamu ya safari yake na Engineer wa GSM ambao anashutumiwa kuwa niarfike zake wa karibu amabo walifikia kukarabati ofisi ya serikali kwa pesa zao mfukoni nahata kununua gari analotumia RC huyo kwa shughuli za serikali

Kana kwamba muheshimiwa hilo hukuliona umeendelea kumsifu RC wako Makonda na kumuacha arindime katika viunga mbalimbali vya jiji hili kama muwakilishi wako katika shughuli mbalimbali za kiserikali huku akijigamba kwambabyeye hawezekani bila ya wewe kuchukua hatua yeyote.

Mtukufu Raisi, mpaka kufikia leo hii tayari kuna uthibitisho usio tia shaka ndani yake kua RC Makonda katika orodha yake ya majina ya watuhumiwa wa Dawa za kulevya kuna watu waliwekwa ili kutishwa watoe hongo ya magari, na pia inaonekana kuna ukweli wa ushirikiano wa karibu kabisa na GSM watu ambao Mtukufu Raisi uligoma kabisa kuwaongelea uliponingia madarakani licha ya watu kulalamika kua wale ni simba walio vaa ngozi ya kondoo kutoka Home Shopping Centre mpaka GSM

Sasa Mtukufu Raisi huoni mpaka hapa tunaanza kupoteza imani na wewe na kuhisi kua labada na wewe umo katika michongo hii ya dili za Makonda ... Mtukufu kama haumo kwenye mchongo wadili hizi za kibabe za RC wako Makonda ambae atakua RC wa kihistoria nchi hii, kwa vituko na visa, nakuomba uchukue hatua za haraka dhidi yake laa sivyo ataivua nguo serikali yako na kuipaka tope jeusi linalo nuka harufu mbaya ya ufisadi na ubabe wa kidikteta

Naomba Kuwasilisha Mawazo Binafsi
Wenu Mnyamwela wa Mboka

Nakushangaa kutumia muda wako mwingi kutoa ushauri kwa mtu asiyejali
 
Hawana masikio.....sirro kasaidiwa uchunguzi mkubwa na mange kimambi lakini anajidai hauoni yule mzee....
 
Huenda Bashite ni kama daraja kati ya matajiri na juu na juu huenda anapiga pesa zaidi ya magari ya kifahari na nyumba ikiwemo na safari za nje za Bashite
 
Hakuna haja ya kubembeleza mtu,lililobaki ni kupaza sauti,media si zipo,

watu watumie hata press conference kueleza huu uchafu,
magwiji wa documentary watengeneze CD na kuzisambaza kwa wananchi zikieleza huu uchafu mpaka kila mtu ajue unafiki wa hawa watu,
mtakaa mnabembeleza bembeleza mtu kwani kawa mungu huyo?
 
Kwahio suala la vyeti mmeona halilipi mmekuja na sound nyingine?????

Bavicha tunawadharau sana.....GSM kama wanalipa kodi na kufanya mambo yao kihalali haina shida.....hata wakimpa ghorofa acheni wivu...

Bashite atawaongoza hadi 2020 labda Mungu aamue vinginevyo....chadema mnamhofia sana Makonda maana anawavuruga na kuwapeleka mchakamchaka Dar es Salaam.....mmeshindwa kushughulika na maendeleo ya watu mmeona mpambane na mpambanaji Makonda mnajisumbua na kujichelewesha bure....

Shughulikieni kero za wananchi mitaani nyie ndio mmepewa halmaahauri na jiji
 
Muheshimiwa Raisi, ikiwa ushilawadu unaufahamu kama ulivyothibitisha kwenye "Kituo Kishiriki cha Redio ya Serikali Clouds FM" naamini kabisa hata humu JF lazima utakua unapita kukagua baadhi ya mambo yanavyokwenda.

Ikiwa utaupitia uzi huu, nikua nakukumbusha tu kwamba, Tafadhali, chonde chonde nakuomba chukua hatua za haraka kuhusu huyu mkuu wa mkoa wako wa DSM, Ndg. Paul Makonda (Daudi Bashite) laa sivyo atakuchafulia utawala wako na hivyo kukupotezea imani kwa wananchi.

Kibaya zaidi tunaanza kupata mashaka kwa kuwa kila analolifanya tayari lina baraka zako, hivyo basi katika hayo anayo yafanya baadhi yake yanaanza kutoa harufu mbaya ya ufisadi. Mtukufu Raisi napata hofu, samahani kwa hisia zangu ila isije kua harufu hiyo pia ina baraka zako!!!

Nasema hivyo kwa sababu kila kukicha tunashuhudia mengi yanaibuka nyuma ya pazia kwa ushahidi unaofuatana bila ya shaka ndani yake (Consistent evidence, without readonable doubts) tena ni ushahidi ambao unamazingira yanayotosheleza kumtia mtu hatiani.

Tukianzia na zoezi zima la vita dhidi ya waingizaji, wasambazaji na watumiaji wa "Madawa ya Kulevya" ambayo RC Makonda alianza nayo, kwa staili ya kutaja Majina hovyo tena hadharani kabla ya uchunguzi wa kina, na baadae tukaona umempongeza kwa kumpa baraka zote juu ya zoezi hilo.

Lakini wajuzi wa mambo wakaipinga staili ile ya kutaja majina hovyo tena hadharani, huku wakilalamika kua chombo mahsusi kipo kwa ajili ya zoezi hilo, pia hata hiyo listi ya majina ilionekana na wajuzi wa mambo kua haikua rasmi, ni kama mtu aliamua kuandika kwa mkono tu tena kwa kukurupuka akiwa na lengo binafsi

Pia orodha haikuchapishwa wala kuwa na kumbukumbu ya chapisho kama nyaraka za serikali zinavyopashwa kuwa. Hali kadhalika utaona hata majina yenyewe, hayakuandikwa kiuchunguzi, yameandikwa kienyeji kwa kutumia "a.k.a" na mengine yamejirudia ili kujaza idadi ya majina iliyotajwa.

Mfano:
No. 49. Juma a.k.a Jimmy
No. 18. Idrisa Maunga - Msasani
No. 19. Boss Chizenga
No. 50. Boss Chizenga***

Ilipoonekana kuwa wajuzi wa mambo walio lalamika hawa kukosea, ghafla kama watu mlio amshwa kutoka usingizini mkakumbuka kua huu sio utaratibu rasmi, na ndipo ghafla mkakumbuka kuwa kuna chombo rasmi kilichoundwa kwa mujibu wa sheria, kusimamia jambo hili. Jambo ambalo utawala wako ulikiri kuwa mlilisahau ... hivyo basi utakubaliana na mimi kuwa mwanzo wa vita hii RC wako alikurupuka.

Sasa swali kwa nini akurupuke bila ya utaratibu au alikua na lengo binafsi, kwa nini umpe baraka zako kwa zoezi la kitaifa bila ya kufuata utaratibu? ulikua unajua sababu za kukurupuka kwake?

Tukiachana na hilo la orodha ya majina ya kiholela, mara baada ya orodha hiyo zikaibuka tuhuma za RC wako kugushi vyeti, mwanzoni ilikua kama masihara lakini kadri siku zilivyo kwenda viliibuka vitu vingi vilivyo ashiria ukweli wa jambo hilo, licha ya yeye wala muhusika yeyote kukanusha jambo hili na wewe ukaka kimya bila ya kuchukua hatua yeyote.

Mtukufu Raisi kukaa kwako kimnya au mamlaka zako kulifumbia macho jambo hili la vyeti bila ya kutolea maelezo wala yeye mwenyewe kuzungumzia chochote, kunazaa mambo yenye harufu mbaya ya kifisadi ambayo hatutokosea tuki kuhusisha nayo, kwa sababu kila jambo analolifanya unampa baraka zako huku akijigamba hakuna atakae muweza.

Kwakifupi tu kumekua na tetesi kua RC yupo karibu sana na watu wanao itwa GSM of course hakuna asie fahamu kuwa hawa jamaa hawana historia nzuri katika nchi hii, mara baada ya orodha ile kutajwa tetesi hizi kuhusu GSM zilishika kasi ya moto wa kifuu katika kuthibitisha hilo watu wakaja na ushahidi wa tiketi wakimuonyesha RC kafanya safari na Engineer wa GSM kwenda South Africa.

Safari ambayo ampaka sasa haijajulikana ilikua ni ya kiserikali au binafsi, na hakuna mamlaka yako yoyote iliotoa ushirikiano wa kuweka wazi ukweli wa safari hiyo zaidi ya kupiga danadana kwa waandishi waliofuatilia safari hiyo kutoka kwa mamlaka moja kwenda nyingine, je inawezekana ulikua unajua safari hiyo?

Baada ya RC Makonda kurudi safari hiyo, wingu na anga la Nchi hii lilikua limegubikwa na sintofahamu ya Vyeti vya RC Makonda, hali kadhalika sinto fahamu ya safari yake na Engineer wa GSM ambao anashutumiwa kuwa niarfike zake wa karibu amabo walifikia kukarabati ofisi ya serikali kwa pesa zao mfukoni nahata kununua gari analotumia RC huyo kwa shughuli za serikali

Kana kwamba muheshimiwa hilo hukuliona umeendelea kumsifu RC wako Makonda na kumuacha arindime katika viunga mbalimbali vya jiji hili kama muwakilishi wako katika shughuli mbalimbali za kiserikali huku akijigamba kwambabyeye hawezekani bila ya wewe kuchukua hatua yeyote.

Mtukufu Raisi, mpaka kufikia leo hii tayari kuna uthibitisho usio tia shaka ndani yake kua RC Makonda katika orodha yake ya majina ya watuhumiwa wa Dawa za kulevya kuna watu waliwekwa ili kutishwa watoe hongo ya magari, na pia inaonekana kuna ukweli wa ushirikiano wa karibu kabisa na GSM watu ambao Mtukufu Raisi uligoma kabisa kuwaongelea uliponingia madarakani licha ya watu kulalamika kua wale ni simba walio vaa ngozi ya kondoo kutoka Home Shopping Centre mpaka GSM

Sasa Mtukufu Raisi huoni mpaka hapa tunaanza kupoteza imani na wewe na kuhisi kua labada na wewe umo katika michongo hii ya dili za Makonda ... Mtukufu kama haumo kwenye mchongo wadili hizi za kibabe za RC wako Makonda ambae atakua RC wa kihistoria nchi hii, kwa vituko na visa, nakuomba uchukue hatua za haraka dhidi yake laa sivyo ataivua nguo serikali yako na kuipaka tope jeusi linalo nuka harufu mbaya ya ufisadi na ubabe wa kidikteta

Naomba Kuwasilisha Mawazo Binafsi
Wenu Mnyamwela wa Mboka

Asante kwa mada hii. Yaani umewakilisha mawazo yangu kama vile tulikuwa tunaongea kabla ya wewe kuandika. Nimejiuliza sana, kipi kinamkera Rais zaidi? Watu kushurutisha achukue hatua au ubabe na ufisadi? Rais inaonekana hapendi kushurutishwa na anataka maamuzi yawe yake sio kutokna na "pressure" za watu. Lakini je, hata kwa "consistent overwhelming evidence leaving little doubt?". Kama kuna kitu kinacho hatarisha malengo ya Rais, ni huyu RC. Anavyozidi kukaa kimya ndivyo wanavyozidi kuwa kitu kimoja na sasa kuna issue ya magari ya watuhumiwa ambayo inaonekana kama "extortion" - yaani rushwa ya kutumia ubabe. Watu wametumbuliwa with less evidence given. Sidhani kama kuna Rais hapa Tanzania pamoja na historia yetu ya Rushwa ambae angeendela kuziba masikio kwa issue kama hii
 
Back
Top Bottom