Imenipasa kuwaza sana mana kila comment on nilyosoma haijibu swali bali inarudia swali na kulifanya gumu zaidi.. Muulizaji ameringanisha kifo cha binadamu na ubovu wa vitu vilivyounda mwanadamu kiumbo akihusisha na ubovu wa vitu alivyo tengeneza mwanadam.. Kifo goes beyond physical..yaani nikweli kwamba gali ikihalibika piston ring inatolewa inaeekwa nyingine na ni kweli kwamba binadamu akipata shida ya figo anaweza wekewa figo Inge na akaishi (this stry is physical)..linapokuja swala la kufa haliusiani kabisa na kubadilishiwa viungo vya mwili.. Ni kitu cha asili ndicho kinacho amua kufa kwa binadamu.. Yaani mnaweza wote kuugua ugonjwa wa aina moja na mkapata tiba ya aina moja ila mmoja anaweza pona na mwingine anaweza kufa thats natural selection..hivo kwanini tunakufa n kwa sababu asiri ya kuwepo (existance) kwa binadamu ime amua kuto kuwepo..japo kuna sabab za kibinadamu zinaweza kusukuma au kushadadia hii asiri ya kuwepo kwa binadam ikasukuma kuto kuwepo(kufa) kwa binadamu.. Mfano maradhi na kuishi miaka mingi,.ndio maana sio lazima mzee afe na kijana asife,, ndio mana kunaweza kuwa na mzee wa miaka 100 anaugua lakini hafi ila mtoto wa siku moja anaweza kufa eti kwa sabb tuu amedondoka kutoka juu ya kitanda.. Hivyo labda n fupishe.. Nguvu hiyo ninayoitaja wana yesu au Mohamed wanaweza kuita nguvu ya MUNGU(kuumba na kuchukua) wanaojiita wana science and nao wanaweza itaftia jina lake.. Kifupi tuu kuna nguvu ya asili ya uwepo wa binadamu ndiyo sababu ya kufa kwa binadamu pia...
Naruhusu kukosolewa nawasilisha hoja