Iceman 3D
JF-Expert Member
- Sep 3, 2016
- 20,611
- 67,105
Seli hufa kutokana na sababu nyingi, hivo kama kitu kinaitwa natural death ndo seli huchoka zenywe na kufa lakini pia zikisumbuliwa na kushindwa kupingana na usumbufu mwingine wowote hufaukisema tunakufa kwa sababu cell za mwili zinakuwa zishakufa , sasa vipi kuhusu watoto wadogo?? Cell zao zinakuwa zipo kwenye condition nzuri tu na wanakufa vile vile
*kufa ndio kitu ambacho mpaka kesho hakina majibu yenye uhakika