Kwanini tunakufa?

kaka unaongelea kufufua maiti wakati magonjwa yanayopelelekea watu kufa ndiyo yanaongezeka regardless hiyo sayansi unayosema inapanda kwa kasi sana.

Magonjwa kama Kansa, Kisukari, Pressure nk yote haya hayana dawa hadi muda huu na yanapukutisha watu ni balaa duniani kote sasa unategemea ni lini utapata hiyo technology ya kufufua maiti? Labda uniambie ufufue maiti iwe robot.....
sijasema sayansi inapanda kwa kasi sana. Ila nimesema kuna uwezekano hapo mbeleni teknolojia ikaweza kuhuwisha kiumbe kilichokufa. pia sijasema kwamba lazima sisi kama binadamu tutafikia teknolojia hiyo ila nimesema kuna "uwezekano".
 
Chenye mwanzo kina Mwisho , uishi mpaka lini? Inabidi uache nafasi kwa mwingine. Labda maisha baada ya kifo kama ni kweli.
 
wewe umejuaje kwamba kila mtu ana kusudi maalumu?
Hilo kusudi maalumu unapewa na nani?
na kila mtu kusudi lake anaelekezwa vipi na huyo mgawa kusudi?
kwa mfano wewe kusudi lako ni nini?
Kwanza unaamini katika uwepo wa Mungu ?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom