Kwanini tunakufa?

Naomba kuzungumza kiscience

Tuna kufa kwa sababu ya hewa tunayovuta.
Yaan oxygen

Kivipi yaan
Asili ya Oxygen ni kuunguza ndipo ifanye kazi ina asili ya moto kwa maana nyingine na ndo maana pasipo oxygen hakuna moto halii hii hupelekea mapafu kuungua kwa speed ambayo inaaminika ni ndogo au ya chin sana ambapo huanza mara tu baada ya kuzaliwa
Kadri unavyozidi ungua mapafu ndio siku zako za kuishi hipungua kwan mapafu yanafikia hatua ya kutumia hewa ndogo kuliko mahitaj

Amiini hili kwa nadharia ya mlevi
Walev wa vinywaj vikal kama gongo au tindikali au bangi hukuta miili yao ikisinyaa siku hadi siku mpaka kupelekea kifo. Vinywaj hivyo vinaasili ya moto pia na ndio chanzo cha ini au figo kufel ikiwemo mapafu pia kushindwa kuhimili kazi yake.

Majaribio yaliyopo kwa sasa ni kuangalia namna ya kupunguza makali ya oxygen hii itasaidia watu kuishi miaka mingi zaid

Aaah ok naishia hapa ila **** mengi ya kuandika
 
kuna hili body structure(miundo/muundo wa mwili) alafu kuna environment system(mfumo wa mazingira)..
ki uhalisia tu miili ya viumbe hai ilivyo imeundwa ktk mfumo wa kufa ndio maana unaweza kuugua,kutoboka,kuungua n.k ambapo mambo haya hupelekea kifo.
kwanini tunakufa..?
kuna uwiano mkubwa kati ya mazingira na viumbe hai kama nilivyosema mazingira yanamfumo wake ambapo na kifo ni sehemu moja wapo ya hayo,so tunakufa ili kuleta uwiano ktk mazingira,binadamu/viumbe wakizidi ktk mazingira kuna mambo yataenda mrama na itakuwa imeharibu mfumo wa mazingira. so ili kubalance that why we die...
binadamu tunaweza kuona kifo ni kitu kibaya lkn kiuhalisi ni perfect ktk environment
 
kwa hiyo sababu ndiyo hiyo ya kujaa au?? Nashindwa kuelewa kabisa kwa nini tunashindwa kufufuana pindi tukifa , maana hii sayansi yetu imefika mbali sana
Mkuu mungu pale kwenye kitengo cha pumzi kuna siri kubwa sana kaweka kiasi kwamba binadam ata awemtaalam vipi ni ngumu kuweza kutengeneza!!!!
 
hilo swali lina wahusu sana wanao waamini wanasayansi zaidi kuliko uwepo wa Mungu. Kama sayansi ndio kila kitu basi mtu angekuwa anafufuliwa. ila kwavile ni ngumu sana hapo ndipo inabidi muelewe kuwa kuna nguvu ya Muumba wa mbingu na ardhi. anae control maisha ya viumbe wake.
Mungu ndiye pekee mwenye siri ya kifo. Na tunakufa ili kurudi kwake kupeleka hesabu ya matendo tuliyokuwa tukiyafanya duniani.
 
Itabidi hili jukwaa liunganishwe na la dini na jukwaa la uchawi... au libadilishwe jina tu... mie kila nikiingia na kutana na maruweruwe tu...
 
Habari wana jamvi, natumai wote mu wazima na mimi kwa upande wangu ni mzima na bukheri wa afya.

Kama heading inavyosema hapo, nataka kujua ki undani zaidi kwanini tunakufa? Na kwanini binadamu akifa anashindwa kufufuliwa, kama tatizo lilikuwa ni figo kufeli kwanini baada ya kufa marehemu akiwekewa figo nyingine hafufuki?

Maana katika maisha ya kawaida kitu kikiharibika kabisa kama vile gari kikiwekewa kitu kipya kinapona na kinarudia hali yake ya mwanzoni.
Binadamu hajaumbwa na binadamu mwenzake mpaka aweze fuduliwa..
[HASHTAG]#Mshana[/HASHTAG] Jr iwapo kungekuwa na gari lililoumbwa na Mungu nadhani hata nalo kupona ingekiwa mbinde
 
hilo swali lina wahusu sana wanao waamini wanasayansi zaidi kuliko uwepo wa Mungu. Kama sayansi ndio kila kitu basi mtu angekuwa anafufuliwa. ila kwavile ni ngumu sana hapo ndipo inabidi muelewe kuwa kuna nguvu ya Muumba wa mbingu na ardhi. anae control maisha ya viumbe wake.
Mungu ndiye pekee mwenye siri ya kifo. Na tunakufa ili kurudi kwake kupeleka hesabu ya matendo tuliyokuwa tukiyafanya duniani.
wengine humu humu wanakwambia Mungu hayupo kama chamilton na kaka yake kiranga
 
Habari wana jamvi, natumai wote mu wazima na mimi kwa upande wangu ni mzima na bukheri wa afya.

Kama heading inavyosema hapo, nataka kujua ki undani zaidi kwanini tunakufa? Na kwanini binadamu akifa anashindwa kufufuliwa, kama tatizo lilikuwa ni figo kufeli kwanini baada ya kufa marehemu akiwekewa figo nyingine hafufuki?

Maana katika maisha ya kawaida kitu kikiharibika kabisa kama vile gari kikiwekewa kitu kipya kinapona na kinarudia hali yake ya mwanzoni.
sababu ni HAKI yetu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom