Kuna baadhi ya watu wa imani fulani mimi sisalimiani nao kwa kushikana mikono kwa kuwa mikono yao ni dampo la maradhi. Unless baada ya salamu ninawe na maji safi na salama pamoja na sabuni. Sasa huwezi jua this time umepata mayai ya ascaris, amoeba, nk. Hii ni kutokana na dhana kwamba vyooni hamna sabuni ni maji peke yake. Kwa waliosoma utaweza kukuta sabuni BUT kwenye choo cha kukaa kwa mfano utatumiaje sabuni? Unless a full shower after service is acceptable
Kwa umasikini wetu tunaiga kila jambo na tunapokea kila jambo. Vyoo vya kisasa kuna kitu wanaita douche basin au bidet ambalo linakaa vyooni na linakuwa na maji yenye pressure kali kwa kujisafi baada ya kujisaidia pasipo kushika kwa mikono kinyesi au mikojo. Wekeni hivi na tumieni ni healthy zaidi ya kushika kwa mikono mitupu.
Ama kwa hakika tufike mahala tuelimike na tustaarabike. Hawa jamaa wametufundisha tule mavi na twala, siye si wakosa uelewa. Mabadiliko katika kila sekta ni muhimu sana. With time everything changes, BUT hatutaki kubadili baadhi ya mambo fulani.
Kushika mavi kwa kujipaka maji bila sabuni ni uchafu na uzembe - HAUKUBALIKI!
Huyo anayewaambia kushika na bila sabuni - think twice.
Kuna hata magonjwa mangine yanahitaji staili hii ya kujisafi ili life cycle iendelee - tafuta na soma kuhusu Autoinfection
Tena ni mida ya lunch na hii topic nimeisoma muda mbaya kweli.