Kwani vita vya Israel na Palestine vimeanza 2021 acha uzwazwaYaani dunia ilikuwa shwari mpaka Trump mwenyewe akawa ndio gumzo .Establishment wamerudi madarakani vita vishaanza .Wakimuuliza Biden Netanyahu vipi anajibu Sisi tunateta Israel .I meant madarakani
Umemkumbusha vyema kabisa.Si kweli kwamba hapakuwa na vita au umesahau
1. Syria
2. Uturuki ilivyoshambulia Syria
3. Marekani ilivyowatungua Waajemi
Ushabiki !!!!
Umesahau Baba ake Zainabu Suleiman alivyouwawa na drones za USA kule IraqSi kweli kwamba hapakuwa na vita au umesahau
1. Syria
2. Uturuki ilivyoshambulia Syria
3. Marekani ilivyowatungua Waajemi
Ushabiki !!!!
TRUMP kachukua dunia sasa wewe ulitaka amshabikie nani?china? mbona wewe ulimtukuza sana osama na kulia alipokufa,hiyo siyo haibu kwa mmatumbiMtanzania mmmatumbi kumshabikia Trump..
Hai make sense kabisa
Mimi namkubali sana Trump mkuuMtanzania mmmatumbi kumshabikia Trump..
Hai make sense kabisa
Mimi namkubali sana Trump mkuu