Kwanini TRA wameficha majina ya waajiriwa wapya? Kuna siri gani? Huu ni utaratibu mpya wa Utumishi wa Umma?

Nitazungumzia upande wa Tax Management Officer II.
Mchakati wa usahili wa mahojiano iliendeshwa kwa umakini wa hali ya juu sana, lakini, namna mchakati ulivohitimishwa kwa kupitia hizo e-mails bila kuchapisha majina ya walioshinda usahili huo na kupata kazi umeondoa umakini ulioshuhudiwa katika stage ile.
Namna mchakati ulivotamatika inatia mashaka kwa TRA na Bodi ya wahasibu na wakaguzi (NBAA) waliokua wanaendesha zoezi zima la usahili. Ni jambo la kushangaza na kusikitisha, ajabu wanahimiza uwajibikaji.
Amini nakumbia wengi ni connections, kuna mtu hakuitwa Oral, na kwenye mafunzo ya Ajira yupo mbele kabisa! Hii ni Africa
 
Ndo maana hata wao hawaoneshi sura za furaha cos wanajua wamezurumu haki za watu ila mungu ni mkubwa kila mtu huumpa na kumnyima kwa sababu anazozijue yeye.
Wanaweza wakawa wamepata kwa haki kabisa sema tuu kutotangaza waliopata kazi kunafanya kila mtu aonekane mdhambi!
 
Mkuu wengi walioitwa wengine hata hawakuitwa Oral, wengi ni watoto wa wakuu wa Idara ndani ya TRA.
Mmhhh! Ni kweli kuna mtu hakuitwa oral kaitwa kazini? Unajua kuweka hadharani majina waliopata kazi kunapunguza tuhuma kama hizi!
 
Sijajua kwa sababu gani TRA wamefanya hivi, lakini wote waliofanikiwa kupata kazi hizi walitumiwa Emails kwamba wamefanikiwa so kama hukutumiwa ni automatically haukufanikiwa, the same to kama pdf ya majina ingetoka, kama hukufanikiwa basi hata kwenye majina mtu usingekuwepo. Cha msingi ni kuendelea kupambana tu. Kumbuka tu naunga mkono uwazi na ukweli, lakini pia naheshimu taratibu zao na njia walizotumia.
Ili uweze kua fair kwenye kutumia email. Inatakiwa uwa notify wote waliopata na wasiopata kwa email 2 tofauti
 
Ili uweze kua fair kwenye kutumia email. Inatakiwa uwa notify wote waliopata na wasiopata kwa email 2 tofauti
Yeah this is true kabisa. Wale ambao hawakufanikiwa pia walitakiwe watumiwe email kwamba hawajapata. This is a challenge na nakubaliana na wewe. Afu hii issue sijui kwanini, sio kwa TRA pekee hadi kwa taasisi nyengine za private wana tabia ya kukaa kimya kama myu hujafanikiwa
 
Nimecheka kama mazuri 😂😂
Pole yao wapambanaji waliotoswa.

Nimewaza tu namna watu walihangaika kusoma,wakisubiri paper,,bado paper lenyewe watu wa banking wakasumbuliwa sana

Na bado ajira wamekosa

Tz ni kiboko🙌
Labda Mungu aje aingilie kati.
kwann unasema watu wa banking wakasumbuliwa?
 
Sijajua kwa sababu gani TRA wamefanya hivi, lakini wote waliofanikiwa kupata kazi hizi walitumiwa Emails kwamba wamefanikiwa so kama hukutumiwa ni automatically haukufanikiwa, the same to kama pdf ya majina ingetoka, kama hukufanikiwa basi hata kwenye majina mtu usingekuwepo. Cha msingi ni kuendelea kupambana tu. Kumbuka tu naunga mkono uwazi na ukweli, lakini pia naheshimu taratibu zao na njia walizotumia.
Hizi sio taratibu,hapo wameficha majina ya watoto zao na ndugu zao.haiwezekani Ata hizo email za walioitwa kazini haikutaja jina imesema tu dear applicant.kwann email za kuitwa kwenye usaili ziwe na majina na kuitwa kazini zisiwe na majina?hiyo ni kuficha hili watu wasianze kucompare pdf la kuitwa kwenye interview na kuitwa kazini.This is totally un accepted
 
Back
Top Bottom