Mfagio
JF-Expert Member
- May 13, 2014
- 647
- 685
IT wenyewe ndo hao wanawapata kwa email watafanya nini zaidi ya kwenda ofisini kupiga story na kusubili tareh za kwenda ATMMimi sijashangaa maana system yao tu ilikuwa mbovu tangu kwenye application.
Kuna watu walishindwa kutuma application kisa gusystem gubovu li IT ni bongee la kilaza na bado lipo ofisini.
Maumivu watu wameanza kuyapata Toka kwenye kuapply.