Kwanini tarehe ya Pasaka hubadilika?

Kesho wakristu duniani kote wanasherekea kuzaliwa kwa Yesu kristu mfalme... duniani kote wakristu wana sherekea siku hii December 25 na ni kila mwaka. Swali langu n moja kwann kifo na ufufuko wa Yesu kusingekuwa na specific date kama Christmas...?? Heri ya Christmas wana Jamii Forum....!!!
 
Kesho wakristu duniani kote wanasherekea kuzaliwa kwa Yesu kristu mfalme... duniani kote wakristu wana sherekea siku hii December 25 na ni kila mwaka. Swali langu n moja kwann kifo na ufufuko wa Yesu kusingekuwa na specific date kama Christmas...?? Heri ya Christmas wana Jamii Forum....!!!
Sikukuu za kiislam zitategemea mwandamo ...
 
kwa sababu yenyewe hutakiwa kuwa katika mpangilio maalumu kuanzia alkhamis na ijumaa kuu hadi kufikia jumatatu ya pasaka... hivyo hakuna tarehe specific inayoangukia jumatatu kila mwaka ili kuleta mlinganyo wa siku zenye matukio maalumu......

hivyo kalenda ya kanisa katholiki ndio huonesha ni siku gani kwa mwaka husika
 
Ratiba ya pasaka inafata kalenda ya kiyahud ambaya ni fupi kuliko kalenda ya papa Gregory ( tunayotumia huku duniani)...aidha kama Luka inavyosema roho mtakatifu alisema na Mariam mwezi wa sita (Jewish calendar) ambao ni mwezi wa tatu katika Gregory calenda hivyo kuna uhalisia flan Yesu alizaliwa December kwa calenda ya Gregory...
 
Kesho wakristu duniani kote wanasherekea kuzaliwa kwa Yesu kristu mfalme... duniani kote wakristu wana sherekea siku hii December 25 na ni kila mwaka. Swali langu n moja kwann kifo na ufufuko wa Yesu kusingekuwa na specific date kama Christmas...?? Heri ya Christmas wana Jamii Forum....!!!
Sikukuu ya Pasaka Huwa inategemea muandamo wa Mwezi
 
Kwa hiyo walokole wanafata kalenda ya Papa Gregory wa Katoliki?

So walokole wanalithihaki Kanisa Katoliki ila wanafuata Kalenda yake?
Ndo hivyo duniani kote wakristu wanatuMia kalenda ya Kanisa katoriki.ni vile wajuaji Tu.
 
Ka elimu kangu nilikopata chini ya Mwembe niliambiwa kuwa Huwa wanapredict kuwa mwezi Fulani utaandama tarehe hii.Sasa baada ya hapo wanahesabia Jumapili ya ngapi Toka mwezi huo ulivyoandama.

Anayejua exactly jinsi wanavyohesabia atakuja Jazia.But Mwandamo wa Mwezi unahusika
 
Pasaka kwa kigiriki ni* "Pasach" sawa na

*>>kiebrania* "Pasach". *>>Kwa kiingereza* ni

Passover.Hivyo kwa tafsiri ya Biblia pasaka sio

"Easter".


Pasaka ni sikukuu ya mikate isiyotiwa chachu

Matendo 12:1-5.

Neno " Pasaka " kwa kiingereza ni "

Passover "

maana yake "kupita juu ya... "


* Katika Agano la kale pasaka inazungumzwa kuwa* :.M

ungu alimuagiza Musa kupaka damu katika miimo

ya milango ya Waisraeli wakati malaika AKIPITA kuangamiza wazaliwa wa. Kwanza wa wote wasio kuwa na hiyo alama ktk milango yao.

.....Kwa Waliopaka malaika alipita juu ya nyumba zao bila kuangamiza, waliokiuka alipita ndani na kuangamiza.


Kutoka 12:12-14; KJV.inasema "...i will

pass over you and the plague shall not be upon

you to destroy you.....And this day shall be unto

you for a memirial.

Hivyo pasaka ni kumbukumbu ya wana wa Israel toka

utumwani misri.

na Mungu akaagiza iendelezwe

hata nchi ya ahadi kanani.


Leo sisi ni Israeli ya kiroho tunaadhimisha kutoka

*Misri ya utumwa wa dhambi kwenda kanani ya mbinguni.*

......Katika Agano jipya 1Wakorintho 5:7-8. Basi

jisafisheni mkatoe ile chafu ya kale ...

....kwa

maana PASAKA wetu amekwisha kutolewa kuwa

sadaka yaani kristo......

Hakuna andiko linaloagiza utunzaji wa,"Easter"

kama pasaka.

hili la EASTER limetoka wapi?.


*_UKWELI JUU YA EASTER_*

___________________________

Jina EASTER linatokana na "Ostera"

au"Eostre" ambaye ni. goddness of sprin

(mungu wa mavuno)

katika nchi za Anglo-

Saxon,

... Babeli anaitwa "Ishtar",

Syria anaitwa

"Ashtaroth",

Kiebrania anaitwa "Ashtoreth",

Kigiriki anaitwa "Eostre"

Germany anaitwa "Ostera"

"Ishter" hutamukwa. "Easter"


Hii ni siku ya mungu

*"Tamuz"* ambaye ni mtoto wa pekee wa mungu

jua na mungu mwezi

Nimrod ni mjukuu wa Nuhu kwa kijana wake

Ham.

Ham alikuwa na kijana aitwae Kushi.

Kushi

alioana na Semiramis wakapata mtoto anaitwa

*>Nimrod<*

Baada ya kifo cha baba yake Nimrod akamuoa mamayake mzazi Semiramis akawa mtawala

mwenye nguvu sana.

Soma> Mwanzo 10:8-10)


Siku moja Nimrod alienda vitani na akauawa na

adui zake

...Semiramis akasema Nimrod ameenda juu

kwenye jua hivyo akaitwa Baal yaan mungu jua

(the goddnes of sun).Semiramis akaagiza

*akumbukwe kwa kuwasha mishumaa wakati wa ibada* (ndivyo wanavyofanya madhehebu mengi mpaka leo)


Semiramis akajiita "Ishtar"(easter)

*mungu mke*

"moon goddnes".

Huyu "Ishtar " akatembea na

kijakazi wake akapata mimba akasema kapata

mimba ,kupitia " Sun rays(miali ya jua)" kutoka kwa

"BAALI (Nimrod) ambaye alikuwa

*mungu JUA au mungu mume.*

Akazaa mtoto akamwita " Tamuz ".


Kijana huyo l (Tamuz) baadaye aliuawa na Nguruwe pori

alipokuwa akiwinda.

"Ishtar" *ANAABUDIWA kama "mother of god and queen of heaven".*

Ndivyo walivyofanya Roman Catholic had leo."Ishtar" wanamwita Bikira Maria.


Baada ya kifo cha

Tamuz, mama yake

akatangaza siku 14 za maombolezo akap

iga *MARUFUKU ULAJI wa NYAMA* ktk Maombolezo hayo

......ndivyo wanavyofanya Romani Catholic ktk

Siku ya IJUMAA *(ijumaa kuu)* kabla ya Jumapili ya Easter" hawali nyama.

*...Tukio Hilo limevikwa hadhi ya KUMBUKUMBU YA MATESO YA YESU.*

Tazama hii:

Every year on the first

Sunday after the first full moon after the spring

equinox a celebration was made until today).

"Ishtar/Ashtoreth" is queen of Heaven,


* EASTER ni kumbukumbu ya TAMUZ "*

Tuwe makini na mafundisho yasiyo ya KWELI.

>>Ktk Waamuzi 2:11-13-inazungumza taifa lilivyo asi

na kumwabudu *"Baal"*

.>>1Samwel 7:3-4-Waisraeli waligeukia Baali na

*Ashtoreth*

>>1Wafalme 11:4-6-Suleimam alivyomuoa

mwanamke wa kimataifa akamgeuza na kuabudu

*"Ashtoreth"*

Kwa maelezo ya ziada pitia hiki kitabu:

*_>>The Easter Celebration - History of Its Hidden Origins_* (Traditions of North America and the Western World Book 1)
 
Back
Top Bottom