Kwanini Tanzania hatuna furaha? Nini kifanyike?

Kwanini Tanzania hatuna furaha? Nini kifanyike?

Vijana amkeni!
Uko vizuri mkuu. Vijana waache tabia topevu(IIiyokita mizizi) ya kunyosheana vidole eti ni yule pale ananikwamisha, ni huyu hapa hataki kufanya hivi na vile...... na blaa blaa nyiiiingi. Vijana wazinduke kutoka usingizini wauone wajibu wao wa kuchapa kazi, wazilinde rasilmali za Taifa na waoneshe Uzalendo wao kwa kiwango cha juu. Sio eti kama ilivyo sasa; wazee wanalia Hali ngumu na Vijana nao wanalia Hali ngumu; Wazee wanalia Huduma mbovu, Vijana nao wanalia huduma mbovu, Wazee walia, Vijana nao wanalia. Hapo ni nani atakayemsaidia mwenzake?? Tulitegemea kwamba Vijana ndo Taifa la LEO na kwa hiyo wanatambua hilo na watawajibika ipasavyo. Watoto ni Taifa la KESHO inafaa waandaliwe vizuri mno ili wasije kufika hapa tulipo sisi wa leo.
 
Natumaini ni kwema wakuu.

Kwa mujibu wa ripoti mpya ya orodha ya nchi zenye furaha duniani, Tanzania(136) tumepitwa mpaka na Somalia(122).

Imesikitisha sana hii habari ni kana kwamba naishi nchi ya majonzi,huzuni, na masononeko!
Hii imeondoka kutoka changamoto na sawa imekuwa tatizo/shida kwa Watanzania.Kipato duni,chakula cha kubahatisha kisanii,usafiri kwa wenye maisha ya kati hadi chini ni balaa.Halafu CCM haitaki kusikia "NO REFORM NO ELECTION"!Sonona itatorokea dirisha gani hapo?
 
Mpaka sasa comments zinaonesha CCM ndio tatizo la kutukosesha furaha.
Sio kweli. Kwa mfano Hadi March 2025 (mwaka huu) Maeneo mengi ya Nchi mvua hazijanyesha vizuri. Kwa hiyo Mwakani tunatarajia kuwepo na upungufu mkubwa wa chakula hapa nchini. Tukiwa na njaa tutakosa furaha. Je, hao jamaa CCM wanahusikaje na ukame uliojitokeza? Hao CCM wanauwezo gani kuondosha Ukame? Mbona na wao wanalia-lia kama sisi tusiokuwa na Chama? Mimi nadhani mambo mengine siyo ya Kisiasa na kwa hiyo ufumbuzi wake hautoweza kupatikana kwenye siasa.
Unaonaje kama:-
1. Unapata chakula safi na cha kutosha
2. Unapata huduma nzuri na toshelevu za kijamii e.g Elimu, Afya, Maji, Usafiri, Mawasiliano, Ulinzi na Usalama, Kiimani hubughudhiwi, n.k.
4. Unakuwa na Amani ya moyoni na miongoni mwa Jamii unamoishi
5. Unakuwa uko huru kufanya mambo yako kwa namna unayotaka lakini bila kuvunja sheria zilizopo.
Kama hayo 1-5 yapo na unayapata; utakuwa na sababu gani za msingi kwenda kuikumbatia Siasa???
 
Sio kweli. Kwa mfano Hadi March 2025 (mwaka huu) Maeneo mengi ya Nchi mvua hazijanyesha vizuri. Kwa hiyo Mwakani tunatarajia kuwepo na upungufu mkubwa wa chakula hapa nchini. Tukiwa na njaa tutakosa furaha. Je, hao jamaa CCM wanahusikaje na ukame uliojitokeza? Hao CCM wanauwezo gani kuondosha Ukame? Mbona na wao wanalia-lia kama sisi tusiokuwa na Chama?
1-5 yote ni tatizo kubwa na wadau wanadai chanzo kikuu ni mifumo iliyowekwa na CCM wametoa mpaka na mifano.
 
Wananchi tuna hali ngumu tukilalamika tunaambiwa tuhamie Burundi, wenye degree wanaambiwa waende VETA hiyo raha itatokea wapi?
hahaha kweli dah! ni changamoto sana kuna wengine walisema bongo bahati mbaya.
 
sasa mkuu tupo Tanzania, unasema kupata furaha tuende kwa Yesu yeye yuko mbinguni, tunaendaenda vipi?
Hakuna hata haja ya kufunga safari kumfuata mbinguni. Kikubwa Ni kumkubali tu, yeye mwenyewe atafunga safari kuja kwako.
 
Hakuna hata haja ya kufunga safari kumfuata mbinguni. Kikubwa Ni kumkubali tu, yeye mwenyewe atafunga safari kuja kwako.
Hebu nipe details kinaga ubaga nielewe inakuaje.
 
Sio kweli. Kwa mfano Hadi March 2025 (mwaka huu) Maeneo mengi ya Nchi mvua hazijanyesha vizuri. Kwa hiyo Mwakani tunatarajia kuwepo na upungufu mkubwa wa chakula hapa nchini. Tukiwa na njaa tutakosa furaha. Je, hao jamaa CCM wanahusikaje na ukame uliojitokeza? Hao CCM wanauwezo gani kuondosha Ukame? Mbona na wao wanalia-lia kama sisi tusiokuwa na Chama? Mimi nadhani mambo mengine siyo ya Kisiasa na kwa hiyo ufumbuzi wake hautoweza kupatikana kwenye siasa.
Unaonaje kama:-
1. Unapata chakula safi na cha kutosha
2. Unapata huduma nzuri na toshelevu za kijamii e.g Elimu, Afya, Maji, Usafiri, Mawasiliano, Ulinzi na Usalama, Kiimani hubughudhiwi, n.k.
4. Unakuwa na Amani ya moyoni na miongoni mwa Jamii unamoishi
5. Unakuwa uko huru kufanya mambo yako kwa namna unayotaka lakini bila kuvunja sheria zilizopo.
Kama hayo 1-5 yapo na unayapata; utakuwa na sababu gani za msingi kwenda kuikumbatia Siasa???
Ni kweli vijana lazima tupige kazi Ili tujipate.

Hivi ni nani anayetoa ruhusa/kibali au nani anauwezo wakujenga mambwawa makubwa ya kutunzia maji Ili yaje yatumike kwenye kilimo Cha umwagiliaji pindi mvua itapokuwa adimu.

Wakina nani wanaochochea upepo mzuri au m-baya wa shughuli mbalimbali za kijamii,kiuchumi na kisiasa kwenye eneo husika.
 
Hata kama ni wewe umalize degree uambiwe uende veta
Utapeliwe na LBL
Utapeliwe na Kalynder
Utapeliwe na Dr.Manguruwe
Utapeliwe na Nicole utakuwa na furaha kweli?
 
Hebu nipe details kinaga ubaga nielewe inakuaje.
Hahaha! Tumia mbinu hii, ukiwa mtaani kwako au popote pale, we uwe unaulizauliza watu kuwa "nitampataje yesu?" Ni rahisi Sana kuelekezwa. Mbona watu wengi tu wanajua namna ya kumpata yesu
 
Back
Top Bottom